Uchaguzi 2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

Hi
Wanabodi,

Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila).

Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai na iwe mbwai yeye ndie mpeperusha fulagi. Nyepesi anahahasa kutaka suluhu ila kachero hataki kusikia ukizingatia keshaingiza pensheni yake huko kununua mbolea na viatilifu vingine vya kuukuza mti wa mzambarau.

Kule kwenye mti wa msumbawanga, unaambiwa Mr. Know Ol hafuati maelekezo Wala utaratibu. Amesema yeye ni alwatan almaarufu. Yeye ndio kajiweka juu ya kila kitu na ndio maana inasemekana cheamani na KM wamesusa kimtindo. Mr No Everithingi anaonekana kuwa mzoefu wa mapambano ya kipontio Pilato ila n mwepesi mithili ya unyoya wa kuku yanapokuka masuala ya kikaisari. Cheamani alisikika akisema "mwaka huu Kama nitapata wabunge 20 itakuwa muujiza".

Haya jogoo ameshawika, upande wa pili wazee wa mchicha, matembele, sukumawiki na spinachi nasikia mambo yao kwatu. Wanateleza Kama wako kwenye mgongo wa ngisi. Sasa hivi wamekodisha mwewe wanampanda na amewaongezea umaarufu.

Tusubiri
Siami kabisa katika upinzani ,kwa kuwa hivi ni vyama vya watu binafsi.Jiulize maswali.Kikao kikuu cha ACT kilimteua Membe kuwa ,mgombea URAIS.Leo hii ,MTU yupo barabarani tu ,anasema Member sio mgombea ,tunaungana na LISSU.Hii ni sahihi?Wapinzani wanalia na katiba ,je wao sana vyama vya umma?Au ni vyama vya watu binafsi vinavyofucus ruzuku?Au ni vyama vya biashara.
 
Deal ilijionyesha mwanzo,mapokezi makubwa ya kinafiki na kumteua ghafla bila mshindani,walikuwa wanatafuta kuchomoa pesa zake.Lakini nayeye kawakamata pabaya anaweza AKAKINUKISHA.
Niguse unuke!! Sasa ACT watamjua mbobezi si mtu wa mchezo mchezo.
 
Wanabodi,

Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila).

Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai na iwe mbwai yeye ndie mpeperusha fulagi. Nyepesi anahahasa kutaka suluhu ila kachero hataki kusikia ukizingatia keshaingiza pensheni yake huko kununua mbolea na viatilifu vingine vya kuukuza mti wa mzambarau.

Kule kwenye mti wa msumbawanga, unaambiwa Mr. Know Ol hafuati maelekezo Wala utaratibu. Amesema yeye ni alwatan almaarufu. Yeye ndio kajiweka juu ya kila kitu na ndio maana inasemekana cheamani na KM wamesusa kimtindo. Mr No Everithingi anaonekana kuwa mzoefu wa mapambano ya kipontio Pilato ila n mwepesi mithili ya unyoya wa kuku yanapokuka masuala ya kikaisari. Cheamani alisikika akisema "mwaka huu Kama nitapata wabunge 20 itakuwa muujiza".

Haya jogoo ameshawika, upande wa pili wazee wa mchicha, matembele, sukumawiki na spinachi nasikia mambo yao kwatu. Wanateleza Kama wako kwenye mgongo wa ngisi. Sasa hivi wamekodisha mwewe wanampanda na amewaongezea umaarufu.

Tusubiri
Unadhani Bavicha wataelewa huu ujumbe?

Watafunie watafunane
 
Wakati mzungu anaangaikia kukuza ufahamu mtu mweusu anaangaikia majungu.mwisho wa siku anaishia kuita wenye ufahamu beberu. Sasa mbuzi jike sijui nani?
 
Wanabodi,

Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila).

Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai na iwe mbwai yeye ndie mpeperusha fulagi. Nyepesi anahahasa kutaka suluhu ila kachero hataki kusikia ukizingatia keshaingiza pensheni yake huko kununua mbolea na viatilifu vingine vya kuukuza mti wa mzambarau.

Kule kwenye mti wa msumbawanga, unaambiwa Mr. Know Ol hafuati maelekezo Wala utaratibu. Amesema yeye ni alwatan almaarufu. Yeye ndio kajiweka juu ya kila kitu na ndio maana inasemekana cheamani na KM wamesusa kimtindo. Mr No Everithingi anaonekana kuwa mzoefu wa mapambano ya kipontio Pilato ila n mwepesi mithili ya unyoya wa kuku yanapokuka masuala ya kikaisari. Cheamani alisikika akisema "mwaka huu Kama nitapata wabunge 20 itakuwa muujiza".

Haya jogoo ameshawika, upande wa pili wazee wa mchicha, matembele, sukumawiki na spinachi nasikia mambo yao kwatu. Wanateleza Kama wako kwenye mgongo wa ngisi. Sasa hivi wamekodisha mwewe wanampanda na amewaongezea umaarufu.

Tusubiri
Huyo atakuwa ni bundi wa kichina, huku kwetu ni yeye tu. Kampeni zinazidi kupamba moto mpaka yule fisadi wa ndege bp imepanda
 
Ingekuwa ni wewe umetumia kiinua mgongo chako kukodiaha shamba na ukaanza kupalilia mti ghafla mwenye shamba anakuambia achana na huo mti, tupalilie mti wa jirani.

Wale vijana uliowaandika kazi na wawekezaji wenzanko utawasikia tuu huko kwa media wanamnadi mkulima mwenzako. Wee utakubaliana na hilo?
Wamuache aendelee na kampeni zake atavuna alichopanda
 
Ya kweli hayo ? Ila mista cheaman mbona kama kapunguza kiherehere nowdayz ?
Mambo mengi. Kwanza mambo jimboni kwake si rahisi sana, halafu kupoteza fedha nyingi kwenye kitu ambacho huna hakika utakipata si jambo la busara.
 
Back
Top Bottom