Mr Nice afunguka kuhusu utajiri wake

Mr Nice afunguka kuhusu utajiri wake

Mi ananifuraisha eti akikumbuka analia dah, kweli mr nice kapinda

Kuna siku nilikuwa mahali binamu nikasikia wanamuongelea alivo kuwa ana hela bana akamsahau mganga wake akamdharau mganga si ndo akamfanyia eti yake ndo akaanza kuporomoka sasa sijui kama ni kweli au la
 
1.5 bilioni ya enzi za mr. nice ni zaidi ya 5 bilioni za sasa, so "mtanzania wa kwanza . . . . . . ." jipange.
 
Kuna some nilikuwa mahali binamu nikasikia wanamuongelea alivo kuwa ana hela bana akamsahau mganga wake akamdharau mganga si ndo akamfanyia eti yake ndo akaanza kuporomoka sasa sijui kama ni kweli au la

Inaweza kuwa kweli binamu, Unajua mali za kishirikina hazidumu na wala huwezi kuzifanyia mambo ya maana, zilikuja kimiujiza na zinaondoka kwa miujiza. Yani unaweza kuwa millionaire ila cha maana unachokifanya hakionekani zaidi ya kutapanya ovyo
 
AHahaha haha jaman watu wachawi humu, muacheni mwenzenu bhana anajipanga na TAKEU style part 2, mi ananichekesha tu eti akikumbuka analia dah

we unaamini kuwa hizo 1.5 billion alizokuwa nazo kwenye akaunti zimepotea tu hivi hivi
 
Kuna mwngine nae atakuja dai hivyo hivyo ngoja aendelee tu kuleta magari ya zamani na kudanganya kanunua kwa bethidei

jamaa kwa show moja si anaingiza zaidi ya mil 30 na huwa anapiga show hata mara 2 hata 3 kwa wiki kwa nini ashindwe kumnunulia gari maza ake,mil 38 kwa domo ni kawaida siku hizi kwa jamaa,anapiga video hadi mil 130 hiyo 30 na 8 si ya kawaida tu.au ni mbwembwe hamna kitu.
 
labda aje na - "The Return of TAKEU Style in TZEE" hapo ataliteka soko la watoto tena.. ila sio mziki wa sasa style za "BASI NENDA" na "NGOLOLO"
 
Kuna siku nilikuwa mahali binamu nikasikia wanamuongelea alivo kuwa ana hela bana akamsahau mganga wake akamdharau mganga si ndo akamfanyia eti yake ndo akaanza kuporomoka sasa sijui kama ni kweli au la

yes hata mi nlisikiaga ndo mara nyingi inakuwaga hvyo
 
dah jamaa alijenga sana jina bar za sinza, ndo basi tena golden chance never come twice. poor mr.nice kama vip jaribu kwenye injili
 
Back
Top Bottom