mkunyegere
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 453
- 93
Kachoka asijute sana ndio maisha, labda ajaribu uvuvi atatoka tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikosea masharti pesa zikarudi zilipotoka, mkuu pesa bilioni 2 na kitu haziwezi potea hivhivJamaa nyota ilififia gafla sana sijui alikosea wapi
Ila kweli. Haiwezekani ule bata la 2b. Tena 2003 huko alikuwa anakunywa pombe ganiAlikosea masharti pesa zikarudi zilipotoka, mkuu pesa bilioni 2 na kitu haziwezi potea hivhiv
Ila kweli. Haiwezekani ule bata la 2b. Tena 2003 huko alikuwa anakunywa pombe gani
Au labda jamaa pesa haikufika hata 500m maana hata kwa leo tu 2b huwezi imaliza
Huyu mpaka leo namdai 20,000/
Nlimkopeshaga kabla haja heat alipo heat jiiiiii
Sema nafasi alipata sema aluchezea
Ova
Kuna kipindi ana heat nkakutana entered airport anapokelewa amebebwa juu juu kama mfalmeAmewapa funzo vijana waliopo kwenye Game kuwekeza na kuacha asana....Nakumbuka alikuwa anahojiwa na salama Jabir long time 2004 au 2005 alikuwa ameweka meno ya Dhahabu.
Kuna kipindi ana heat nkakutana entered airport anapokelewa amebebwa juu juu kama mfalme
Nikajipekecha kumaogelea yenyewe ikawa mbinde mpaka namfikia, nkamkumbushia deni langu langu la 20k akawa anacheka tu,anasema baharia tukionana dar ntakucheki
Baadaye huko ndiko akashuka
Akienda bar anakunywa anakimbia bill
Sana sana sehemu nyingi nlizokuwa namkuta alikuwa anataka kupigwa na mabaunsa w
Tunahishia kumuamulia
Ila kama nafasi aliipata bana maana soko la afrika mashariki na kati alilikamata
Ova