Mr Nice afunguka kuhusu utajiri wake

Alijiimbia jide hataki kuwa HISTORIA, tutakuja kusikia baadae, ooh nilipigaga picha na akina nelly na chris brown, nilikuwa mtanzania wa kwanza kushiriki BET , tutaona binamu , sisi wachawi aka ma haters tupo apa tunaangalia movie inavyoenda.

haki ya Mungu! daaah! wabongo hakunaga kama sisi, kwa hiyo wewe ukilala unamuota platnum, ukitembea unamuona kwa mbele, ukinywa maji unamuona kwenye glass, ukitazama juu unamuona kwenye mawingu, mtu akiita Mr. nice wewe unaskia kaita diamond, warumi ukiskia mapenzi DHATI wewe unatishaaaa unampenda mpaka hujielewi. #oneloveEnezaUpendo .
 
Last edited by a moderator:
mimi nilikuwa ninajua kwenye post za kiba tu ndipo platnum hutajwa kumbe kila post yupo, yani ni kama maji vile, #shikamoo dangote kama wewe hakunaga.
 
najua nidhamu ya ilimponza mr nice akawa anajimwaga na madada na kutumia pesa ovyo na ulevi ila ubunifu alikua nao. nlikua napenda sana miuno yake. nyimbo ya nini nina kuita naipenda sana
 
Uje uwe wanguu uje uwe wanguuuuu. . . . Ilikuwa balaa balaaa
 
alitamba sana huyyu mjamaa namuombea mema kwa Mungu naamini mlango mmoja ukifunga mwingine unafunguka
Kwenye watu ambao walitakiwa wafanye mziki kama hobby na si kazi kwa sasa basi huyu jamaa maana kama ela alitengeneza lkn ndo hivyo.
 
Kwenye watu ambao walitakiwa wafanye mziki kama hobby na si kazi kwa sasa basi huyu jamaa maana kama ela alitengeneza lkn ndo hivyo.
hakika, ila nampenda sababu ni mtu anaejielewa sema basi tuu na anafanya anachokiamini, anampenda sana Mungu, kila sehemu atamtaja pia ana moyo wa kusaidia anasaidia sana watoto na yatima. kuna sehemu nimepitia story na maisha yake hakika nimejifunza vitu vingi kutoka kwake. Mwenyezi Mungu ambariki milango mingine ifunguke.
 
Unakubalijee uwe historia kabla siku yako haijafika[emoji441] iweje Leo uwe historia kabla siku yakoo haijafikaa, [emoji441]
 
Alijiimbia jide hataki kuwa HISTORIA, tutakuja kusikia baadae, ooh nilipigaga picha na akina nelly na chris brown, nilikuwa mtanzania wa kwanza kushiriki BET , tutaona binamu , sisi wachawi aka ma haters tupo apa tunaangalia movie inavyoenda.
Mungu anawaumbua tu
 
Mkuu maneno yako yana ukweli flani ndani yake.
 
Mkuu usiseme hvyo, Kuna watu wengi walishika pesa ndefu sana na investment kila mahali. Sasa hvi wanaomba hela ya sigara kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…