Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari wakuu!
Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia.
Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia ngazi, au niseme mpaka alipoachishwa kazi.
Kama Mh.Magufuli anakupenda na ana mpango na wewe basi cha kwanza atahakikisha usamala (ulinzi) wako. Serikali ina walinzi wengi kutoka katika Vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.
Ukiona hujaachiwa hata mgambo mmoja basi hapo panga plan B tu. Ushatemwa Mr. na kama kakuachia angalau city auxiliary police man au mgambo mmoja basi utaula na kung'ara tena na sisi tunaofurahia anguko lako tutateseka tena.