Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimesema kama ni kiongozi aliyepumzishwa bado atapewa ulinzi na kama hana mlinzi wa serikali hata mmoja ndo basi tena
CCM haihitaji heshima yako we bakuli!
Angekuwa madarakani Bashite angeshatoa tamko kuhusiana na ujio wa Lisu. Au angemfosi Siro apige bitiKimsingi CCM haina heshima yoyote, bali imeogopwa kwa vitendo vya kikatili vya Bashite na kundi lake la watu wasiojulikana. Hivyo j3 kwenye ujio wa Lisu, kiongozi wao atakuwa hayuko kwenye nafasi yake.
Angekuwa madarakani Bashite angeshatoa tamko kuhusiana na ujio wa Lisu. Au angemfosi Siro apige biti
Anakwenda kushindana na Gwajyboy uchungaji wa kondoo Nanukuu "...misikiti yote itakuwa sunday school" na kisha "...amani ya Tanzania inaletwa na kanisa!!"Ehehehehehee.
Vipi ana platoon inamlinda au yuko na Bible tu?
Jamaa alikuwa na dharau.
Ilibaki kidogo sana aanzishe siku ya kumwabudu yeye na baba yake
Atoroke kwenda nchi gani? Pngine Somalia..... Mtu mwenye kila kitu feki hana pakwendaAnalindwa asitoroke
Raha amekula kuliko watu wote duniani
Habari wakuu!
Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia.
Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia ngazi, au niseme mpaka alipoachishwa kazi.
Kama Mh.Magufuli anakupenda na ana mpango na wewe basi cha kwanza atahakikisha usamala (ulinzi) wako. Serikali ina walinzi wengi kutoka katika Vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.
Ukiona hujaachiwa hata mgambo mmoja basi hapo panga plan B tu. Ushatemwa Mr. na kama kakuachia angalau city auxiliary police man au mgambo mmoja basi utaula na kung'ara tena na sisi tunaofurahia anguko lako tutateseka tena.
Nilifikiri tumeshafunga ukurasa huu.Habari wakuu!