Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane
Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa yajayo yanafurahisha
Lebo ya Konde imebaki na deni kwa Ibraah tu
Kwahiyo ondoeni shaka bill ya kitumbua/king'amuzi chake Kajala imeshalipiwa sasa hivi anapata channel zote mengine yatafuata baadae