Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane

Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa yajayo yanafurahisha

Lebo ya Konde imebaki na deni kwa Ibraah tu

Kwahiyo ondoeni shaka bill ya kitumbua imeshalipiwa sasa hivi anapata channel zote

View attachment 3324815
Kama hizi habari ni za kweli
Achana na mtoa habari huyo konde ndiyo pimbi mwenyewe sasa.
Lakini lengo lake kuu hapo ni kuitwa babu fulani anatafuta kili tu na lazima atoe ngoma
 
Kama hizi habari ni za kweli
Achana na mtoa habari huyo konde ndiyo pimbi mwenyewe sasa.
Lakini lengo lake kuu hapo ni kuitwa babu fulani anatafuta kili tu na lazima atoe ngoma
Watanzania ndio walivyo mkuu ukiwapa habari hawahangaiki nayo wanahangaika na wewe uliyewapa
 
wamakonde wengi huwa hawana habari na kujenga au kupeleka maendeleo kwao, hizo fedha zote na zile alizomnunulia gari zingetosha kuwachimbia visima kadhaa wamamkonde wenziwe ili kuwasaidia na adha ya maji.
 
Noma sana, kaona alipie kwanza king'amuzi chake apate channel zote
 
wamakonde wengi huwa hawana habari na kujenga au kupeleka maendeleo kwao, hizo fedha zote na zile alizomnunulia gari zingetosha kuwachimbia visima kadhaa wamamkonde wenziwe ili kuwasaidia na adha ya maji.
Ameona bora ajenge jina Mjini 🤗
 
Porojo tu, Kajala ana mjukuu nani wa kumuwekea milioni 70? tusidanganyane, usikute yeye ndio kaomba warudiane na , Dar Es Salaam ilivyojaa pisi kali za 2000s ametoka kwenye soko akalee wajukuu...

Mastaa wengi waathirika, walishawaka kitambo, tajiri yeyote akiweka fungu la maana anapita, unampa mtu milioni 20 au 10 utatumia condom kweli?
Bullshit..
Million 10 kwa K hizi hizi au kuna nyingine mmegundua.
 
Million kwa K hizi hizi au kuna nyingine mmegundua.
Unashangaa hilo dogo hivto..
Mtu anampangishia mwanamke apartmnt, usafiri na pesa ya matumizi..
Biashara anafunguliwa n.k
Hap kwa hesabu za haraka inafika 50 Mils..
 
Back
Top Bottom