Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane

Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa yajayo yanafurahisha

Lebo ya Konde inapumulia ICU kwasababu ya kumalizia hela zote kwenye vitumbua ameshindwa kuchagua kati ya kazi au kitumbua


View attachment 3324815
Upuuzi mtupu
 
Hapo Konde au/na Kajala wamemlipa Pimbi awaongelee na Pimbi kamcheki Mr Why Asambaze habari jf na si ajabu mleta uzi ndio Pimbi mwenyewe.
Kitumbua kimeshalipiwa bill yake ni muda wa Konde kutazama channels mkuu
 
Back
Top Bottom