Konde haoni mbele wala nyuma kanasa mazimaPorojo tu, Kajala ana mjukuu nani wa kumuwekea milioni 70? tusidanganyane, usikute yeye ndio kaomba warudiane na , Dar Es Salaam ilivyojaa pisi kali za 2000s ametoka kwenye soko akalee wajukuu...
Mastaa wengi waathirika, walishawaka kitambo, tajiri yeyote akiweka fungu la maana anapita, unampa mtu milioni 20 au 10 utatumia condom kweli?
Bullshit..
Uzuri ni mtazamo.Porojo tu, Kajala ana mjukuu nani wa kumuwekea milioni 70? tusidanganyane, usikute yeye ndio kaomba warudiane na , Dar Es Salaam ilivyojaa pisi kali za 2000s ametoka kwenye soko akalee wajukuu...
Mastaa wengi waathirika, walishawaka kitambo, tajiri yeyote akiweka fungu la maana anapita, unampa mtu milioni 20 au 10 utatumia condom kweli?
Bullshit..
Porojo tu hizi, gharama za kupasha kiporo zinakuwa ni kubwa kuliko za kuoa bikra!Mr Pimbi ameeleza uma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni sabini ili warudiane
Ameenda mbali na kusema kuwa Kajala alitaka kulipwa milioni mia moja lakini baada ya negotiation dau la Harmonize likaishia milioni sabini, hii ni dhahiri kuwa Harmonize anaendekeza sana chini bila kufahamu kuwa yajayo yanafurahisha
Lebo ya Konde inapumulia ICU kwasababu ya kumalizia hela zote kwenye vitumbua ameshindwa kuchagua kati ya kazi au kitumbua
View attachment 3324815
Hatari sana ila kaamua kuchukua kitumbua kwanza ya Konde atajua badae au sioLebo ya Konde inapumulia ICU kwasababu ya kumalizia hela zote kwenye vitumbua ameshindwa kuchagua kati ya kazi au kitumbua
Kitumbua ghali zaidi Africa Mashariki na kati na jumuiya ya SADC na ECOWAS kujumlisha Jangwa la Sahara na Nchi za Magharibi mwa Africa, Hakika ya kale ni dhahabu😁
Vijana wa hovyo sana.Hatari sana ila kaamua kuchukua kitumbua kwanza ya Konde atajua badae au sio