Mr Pimbi ameeleza umma kuwa Harmonize amemlipa Kajala milioni Sabini ili warudiane

Kama hizi habari ni za kweli
Achana na mtoa habari huyo konde ndiyo pimbi mwenyewe sasa.
Lakini lengo lake kuu hapo ni kuitwa babu fulani anatafuta kili tu na lazima atoe ngoma
 
Watanzania ndio walivyo mkuu ukiwapa habari hawahangaiki nayo wanahangaika na wewe uliyewapa
 
wamakonde wengi huwa hawana habari na kujenga au kupeleka maendeleo kwao, hizo fedha zote na zile alizomnunulia gari zingetosha kuwachimbia visima kadhaa wamamkonde wenziwe ili kuwasaidia na adha ya maji.
 
Noma sana, kaona alipie kwanza king'amuzi chake apate channel zote
 
wamakonde wengi huwa hawana habari na kujenga au kupeleka maendeleo kwao, hizo fedha zote na zile alizomnunulia gari zingetosha kuwachimbia visima kadhaa wamamkonde wenziwe ili kuwasaidia na adha ya maji.
Ameona bora ajenge jina Mjini 🤗
 
Million 10 kwa K hizi hizi au kuna nyingine mmegundua.
 
Million kwa K hizi hizi au kuna nyingine mmegundua.
Unashangaa hilo dogo hivto..
Mtu anampangishia mwanamke apartmnt, usafiri na pesa ya matumizi..
Biashara anafunguliwa n.k
Hap kwa hesabu za haraka inafika 50 Mils..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…