Mradi gani wa kiuchumi unaweza kuanzisha kwa kutumia fedha za mafao kiasi cha Tshs 90,000,000/-?

Mwambie afungue Danguro prime location hasa Sinza au Kinondoni. Unaweza ukafikiri natania, ila think critically, hulipi Leseni, hulipi withholding tax, hulipi income tax, hulipi Value added tax (VAT), hulipi service development levy (SDL), we unakunja tu pesa unatia kibindoni. Achukue watoto wabichi wa kihaya na kimbulu, wakipiga kazi kwa kujituma, mwezi tu.., anajenga hotel.
 
mama afanye biashara ya fixed tu deposit kama unampenda.. hata mia asiwekeze kwenye business yoyote . miaka 60 sio miaka ya kujifunza biashara
 
Akisema ajenge nyumba,atamaliza moja kwa m 50,ingine iishie kwenye lenta,harafu hiyo moja atapangisha kwa laki mbili tu kwa mwezi,fixed account au hiyo bonus account way to go
 
Take my advise jenga guest house maeneo ya mjini kwa gest kiwango itakula 60mil zinazobaki afungue mradi anaopenda kea vile alikuwa na grosary anaweza kuwa na bar jiran na gest yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu mna hela jamani….si unigaie na mimi??? lol...anzisha biashara ya kukopesha watu,,,sijui inaitwa kuku na bata microfinance company..lols
 
Naomba niungane na watu walioshauri vizuri, huyu mama ameshatumika vilivyo,akili yake imechoka,umri huo wa 60 yrs kinga ya mwili kwa maradhi, imeshuka, ndo maana serikali haimuhitaji tena, mama huyu anahitaji kupumzika, tena mapumziko murua yatakayofanya akili yake irelax, hiyo fedha yake ipo katika risk sana, fixed deposit ktk uchumi huu ambao thamani ya fedha sio stable sana ni shida, just imagine, ameweka fedha bank wakati dola moja ni tsh 2000 na ndani ya mwaka mmoja inakuwa tsh 3000 ina maana purchasing power imeshuka, akinunua nyumba au kujenga pia kuna risk, risk ya moto, pia turnover rate ni ndogo sana, ubishi wa wapangaji nk, kila jambo lina risk, kuna msemo nilisikia wanauchumi wanasema "Do'nt put all your eggs in one burket" hii ina maana sana, usiweke mayai yako yote katika kapu moja, kwa kuwa kapu likianguka mayai yote yatapasuka na hivyo utapoteza yote, mi nashauri achanganye achukue 40m ajenge nyumba ya kupangisha, 30million aweke fixed deposit, 10m anunue mashamba, 10 m aanze kula bata ajiweke vizuri kiafya nk mwisho nyie watt mkae mbali na hiyo hela ya mama, mtagombana, mtapata laana, tafuteni zenu, ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuwa mchumi sio kujua kila kitu,haya mambo ya uwekezaji yanahutaji ideas pia.
Pia hajapanga ku invest 90M mahali pamoja ndio maana nimeandika huu uzi kuomba ushauri
Economician,
Wapo watu kazi Zao kuratibu na kuandika gani za biashara tafuta hao na uwalipe acha blabla
 
Miksiolojisti, nawe sasa ukijapata mafao uje uitumie hiyo kanuni yako na usiishie kushauri tu.
Tatizo la washauri wengi huishia kutema madini tu, lakini mwenyewe ukimwangalia katia viraka ni hohehahe.
Mawazo yako mazuri nimeyapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Mkuu ukichaa kwa kupata faida kubwa, ama kwa kupata hasara?
Ungedokeza ilivyokuwa bwana, ili nasi tujifunze kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee mbona sijawahi sikia hiyo?Hebu muulize vizuri....
Ninachojua huwa wanapewa baada ya miezi mitatu kama sijakosea!

Enewei sijafuatilia haya mambo mda mrefu labda ndio mambo ya kikokotoo kipya!
Mkuu mbona hayo ni mambo ya current affairs ambayo yanakupasa kuyajua hata kama havikuhusu?

Zamani pensheni enzi za Mkapa kurudi nyuma walikuwa wanapewa kila baada ya miezi 6.

Ulipoingia utawala wa Kikwete, ukawekwa utaratibu ulioutaja wa miezi mi3mitatu.

Ilipoingia awamu ya 5, wastaafu wanalipwa kila mwezi kufuatana na % alizokadiriwa kutokana na kiwango cha mshahara wake aliostaafia.

Kwa maelezo ya mtoa mada, kiasi hicho cha kiinua mgongo alicholipwa ama atakacholipwa mazazi wake, kikokotoo lazima kiteme laki5 kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Take my advise jenga guest house maeneo ya mjini kwa gest kiwango itakula 60mil zinazobaki afungue mradi anaopenda kea vile alikuwa na grosary anaweza kuwa na bar jiran na gest yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, guest house iliyokamilika 'full acommodation' mil 60!

Ya ukubwa gani, ama unaongelea 'kijigest' (gest bubu)?

Embu changanua ujenzi wake kuanzia kiwanja hadi finishing hadi kuijaza accomodation.

Nyie acheni kurahisisha hivyo jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see my father. Mungu amusimamie katika maisha yake ya Retirement.
 
Mkuu una uzoefu na hii Business mana mie nipo Singida and my Father amestaafu na amepata the same amount of Money. N mie nilikua na idea hii
 
Hivi akiamua kula bata hiyo milioni kumi inaweza kuchukua kama siku ngapi hadi kwisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…