Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

We endelea tu kutetea mambo hata kama ni ya kipumbavu manake leo nimepata jibu kwamba unasukumwa na ukabila!!!
Unajua nimeshangaa sana: Hivi hapa Tanzania ni kabila gani la kumcheka mwenzake ??? Sisi ni watu masikini mno kuanza kunyoosheana vidole. Inaonekana haya mambo ndiyo wanayazungumza kwenye Circles zao huko....
 
Kunitukana mimi hakutazuia bandari ya Bagamoyo kujengwa: Ni suala muda tu na wewe utashuhudia Raisi Magufuli akitia saini na utakuja hapa kumsifia. Hivyo sina wasiwasi kabisa...
Yap. Kumbe una akili ehe! Unafikiri ikijengwa kwa masharti mazuri kuna mtu ataumia? Mbona hata mimi nitafurahi! Watu tunakataa ujinga wa kusema eti ''tukubali tu kwani wanatoa fedha zao''.
 
Hizi gati saba unazozungumzia ni za general cargo kuna gati tatu 8-11 zinazoendesha na ticts amabzo ni special container terminals...na pia kuna gati ya 12 ya meli za mafuta
 
We endelea tu kutetea mambo hata kama ni ya kipumbavu manake leo nimepata jibu kwamba unasukumwa na ukabila!!!
Hiyo ni conclusion yako na siwezi kukufanya uamini kivingine. Ila ujinga wa kusema ''tukubali tu wanajenga kwa fedha zao'' ubaki nao huko huko kwenu. Hata barmaid huwa wana akili nzuri zaidi na wanajua mteja akiwanunulia pombe siyo bure per se..
 
Wapinzani mnapotea. Mimi sio mwanaCCM lakink katika viongozi wa Tz ninao-waamini sana katika nchi hii basi ni JPM.
Sina shaka na raisi katika uzalendo wake.
 
Yap. Kumbe una akili ehe! Unafikiri ikijengwa kwa masharti mazuri kuna mtu ataumia? Mbona hata mimi nitafurahi! Watu tunakataa ujinga wa kusema eti ''tukubali tu kwani wanatoa fedha zao''.
Hata yangekuwa ni mabaya, lazima ungekuja kusifia hapa kwasababu ndiyo kula yako hiyo: Utafanyaje sasa wakati huna jinsi ???
 
Unajua nimeshangaa sana: Hivi hapa Tanzania ni kabila gani la kumcheka mwenzake ??? Sisi ni watu masikini mno hata kunyosheana vidole. Inaonekana haya mambo ndiyo wanayazungumza kwenye Circles zao huko....
Ndicho wanachoongea... kwamba wale ni waswahili tu wale! Wale hivi, wale vile! Hata kama ukimchunguza JPM wakati anaingia madarakani, na mwenyewe aliingia na notion hiyo hiyo...kwamba, ukanda huu upo hivi, ule uko vile!!!

Cha ajabu, savfiri Lindi hadi Kagera, Dar es salaam hadi Kigoma. Kisha toka Ruvuma hadi Mara... kote huko kumejaa umaskini wa kutisha lakini anatokea mtu na akili zake anataka kuaminisha watu kwamba kwao ni matajiri... pathetic!!

Ndo washamba wenyewe anaowangumzia Zitto Kabwe hawa!
 
Haa haa. Safari hii limebuma kwa Zitto. Alizoea good time wakati wa Kikwete. Awamu hii ameona hakuna mwenye time naye akaona aseme ni washamba. Hata kama ni washamba lakini wananchi ndiyo wameamua tena. Wakati wa ''watu wa mjini'' ulikuwa wa Kikwete. na walikuwa watu wa mjini kweli kweli. Sasa mnaona shida gani kuwaachia washamba nao waonyeshe ''ushamba'' wao?
 
Hiyo ni conclusion yako na siwezi kukufanya uamini kivingine. Ila ujinga wa kusema ''tukubali tu wanajenga kwa fedha zao'' ubaki nao huko huko kwenu. Hata barmaid huwa wana akili nzuri zaidi na wanajua mteja akiwanunulia pombe siyo bure per se..
Mkabila wewe, huna lolote! Usingehusisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na ukanda!! Kaijengeni Chato basi hiyo bandari! Na unavyosisitiza suala la "...huko kwenu" unaonesha wazi ulivyo na chuki na watu wa maeneo fulani!!

Narudia, huko kwenu ambako mpo smart ni wapi?! Mbona na nyie ni mimaskini tu ya kutupwa? Au hiyo akili mliyonayo inawasaidia kwenye nini ikiwa inashindwa kuwaondolea umaskini?

Hivi kuna ujuha duniani kama kukubali 700 billion out of 425 trillions?! Waliokubali ujuha kama huo ni watu wa pwani wale?! Acha kujifanya kwamba nyie ndo bora wakati wapuuzi tu msio na mbele wala nyuma!! Nchi hii mikataba mingapi ya hovyo hovyo imeingiwa... wahusika ni watu wa pwani?!

Acha chuki wewe!!
 
We jamaa unatia aibu... mjadala wa kitaifa umeugeuza kuwa wa kikanda... pathetic!! Narudia, endelea kutetea hata upumbavu kwa sababu tu unafanywa na mtu wa kwenu!!!

Ndo maana mkiambiwa makontena yaliyopo bandarini yana dhahabu inayoweza kujaa lori la tani 7, mnapiga makofi na kushangilia lakini mwisho wa siku mnakubali 700Billion tena ya mafungu halafu tena mnashangili! Yaani upande mmoja mnashangilia kuwa na dhahabu inayoweza kujaa kwenye lori la tani 7 halafu baadae mnakuja kushangilia 700B kwa dhahabu ile ile mliyoambiwa inajaa lori kwa sababu tu anayesema ni "poti!"

Aibu sana hii!!

Anyway, Mkuu Malcom Lumumba, endelea na hawa mazuzu wako manake nilikukuta mkipeana vitofa; wacha nifanye kazi za watu manake dah, yaani nimeshangaa sana leo!!!
 
Kwahiyo ukiambiwa kwamba mradi fulani una-operate under Build-Operate-Transfer, kwako hiyo ni sawa na Free Arabian Cuisine siyo?!

Bro if you don't understand the mechanics of PFI/PPP, it's better to keep quiet.
 
Ndiyo taabu ya wengi. Kila anayeunga mkono pale rais anapofanya mazuri basi ametoka Chato au anatoka CCM. Ndugu yangu wee. Magufuli wala sijawahi kumwona live macho kwa macho. Ni kwenye TV tu. Ila anaponya jambo zuri huwa sisiti kumpa credit. Tafuta michango yangu ya kabla Magufuli hajawa rais uone msimamo wangu ulivyokuwa.
 
Tatizo letu kubwa Watanzania ni kuwafanya viongozi kuwa ndio wenye kufikiri kuliko sisi raia wote.

Tukubaliane katika uhalisia, Rais wetu alikosea namna ya kushughukia mradi wa bandari ya Bagamoyo. Kiongozi makini, kwa mradi mkubwa na wenye faida nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja, huwezi kutoka na kuanza kuuponda kwa maneno ya ajabu na kejeli. Waliotangulia siyo wajinga wa kukubali mradi usio na faida kabisa.

Rais alistahili kujipa muda na kuuchunguza zaidi. Yawezekana kulikuwa na mapungufu fulani au hata uwezekano wa kuuboresha ili kupata faida zaidi. Ili kufikia huko alihitaji diplomasia ya kiuchumi na biashara na intelijensia. Lakini kuja hadharani na kuanza kuongea namna alivyoongea, kwa kiongozi mkubwa kama yeye, kwa kweli ilisikitisha sana, na hasara yake itakuwa ni kwa vizazi vingi.

Tatizo kubwa ka Rais wetu ni kuwaaminisha watu kuwa yeye ni mzalendo zaidi kuliko mwananchi mwingine,yeyote, na hivyo ni kile kinachofanywa na yeye tu, ndiyo kina tija kwa Taifa. Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.

Nchi hii ina wananchi wenye uzalendo wa hali ya juu, pengine hata kumshinda mh. Rais lakini wakitoa mawazo tofauti na ya Rais, watatangazwa kwa bidii sana kuwa ni wasaliti na mawakala wa mabeberu. Uzalendo wa kweli, nguzo yake kubwa ya kwanza ni uelewa. Kama uelewa wako ni mdogo, wewe hata uzalendo wako utakuwa na walakini.

Rais asiwe mwepesi wa kuongea mambo ambayo athari yake ni kubwa kwa Taifa.
 
Kumbe umedandia gari kwa mbele? Ukaja kwa kasi na kusema ''tukubali tu kwani wanajenga kwa fedha zao'' huku umeacha kazi za maana. Haya kwa heri kafanya hizo kazi za maana.
 
Hicho kichwa siyo kiwango chako.
Huyo ni mchumi mbobezi.
Tafuta mwingine.

Jibu swali, siyo kutoa majibu ya kinyonge hapa. Sitaki akili za kushikiwa. Kama huwezi kujibu, muite Zito aje kujibu hoja.
 
Trust me,
He's way beyond your pay grade.

The topic at hand is whether PFI/PPP is a free Chinese cuisine or not.

Leave aside the personalities, stick to the issues. As discussing oneness earnings is a weakness, and I'm such weaker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…