Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hahaahaaa!! Bila kusahau kauli nyingine ya Magu kwamba Watanzania tukijua dhahabu iliyojaa mle, basi tungelia; matokeo yake badala ya kulia, wanaishia kukubali 700B badala ya 425 Trillion walizoamisha watu!!!
Kaka unaposema MELIKUBWA wengi humu hawaelewi kitu,hii nondo imeshiba vilivyo basi tu tumelogwa.Investment ya Bandari inalipa mara 100 zaidi kuliko Dreamliner tulizoagiza japo ukishakuwa na rangi ya mgomba akili unaziacha uani.Wafuatilie maendeleo ya nchi kama SINGAPORE waone nini kinawaingizia hela na maendeleo waliyonayo.Hawana natural resources hata robo tu ya tulizonazo ila Bandari kwao ndo kila kitu na wanapiga hela hatari($)Djbout bandari yao inaweza pokea Meli kubwa? Umemuelewa Zitto kwamba Lamu itahudumia hadi south Africa? Kwani South Africa haina Bandari?
Inazungumziwa Bandari ya kuwezesha meli kubwa kutia nanda kitu ambacho hakipo kabisa kwenye bandari karibia zote za Africa
Faida baada ya miaka 99 kupita,tokea tupate Uhuru miaka 99 haijafika halafu tuwape wachina miaka 99Mtukufu Magufuli ameahidiwa vingi na Kenya kwa ajili ya uchaguzi wa 2020 lakini China siyo wajinga wapo kimya wanamhadaa kama wapo pamoja nae lakini moshi wa Ruangwa waliuona na hawapo mbali na ule moshi na pia wanajua kila kitu hata Spika ndungai mpaka leo anaumia moyoni.
Kwa kifupi Bandari ya Bagamoyo ingeleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kuipelekea Tanzania kupiga hatua kubwa kimaendeleo, wapinzani wengine wa Bandari ya Bagamoyo ni msumbiji na Bandari ya Darban ambayo pia ina uwezo wa kupokea meli kubwa.
Yeye akiona Kenya wamefanya jambo tu hatalazimisha na magufur halifanye magufur hafanyi mambo kwa kuangalia Kenya wamefanyanini na wanataka kufanya niniLamu Port Maybe the Whitest of all White Elephants – Jaindi Kisero | BUILDesign
According to theory, grandly designed infrastructure projects tend to pose high corruption risks. Corrupt influence may be brought to bear especially atbuildesign.co.ke
Wasome wakenya wenye akili wanavyouona huo ni mradi wa kipumbavu kuwahi kutokea Kenya, mimi Siwezi kushabikia huyu zumbukuku anaetaka tuuze nchi yetu kisa kushindana na Kenya, huyu hafai kabisa kuwa kiongozi sababu atafanya maamuzi kimihemko badala ya kutumia weledi
Mozambique,Zambia,Congo Malawi Mkapa aliwawekea bandari hapo Mtwara mpaka leo Kimya jamaa wanafix mambo yao kule wanatimka hamna maongezi mengi.Kwanza hiyo bandari ni white elephant, waliijenga ili kuhudumia shehena ya Ethiopia na Sudan ndio maana mradi unaitwa lapsset lakini cha kushangaza Ethiopia imejenga railway to Djibouti
Wangefaidi kama kipindi kile Ethiopia ilivyokua haina mahusiano mazuri na Djibouti lakini baada ya kusameeana na kuungana mpaka Rais wa Ethiopia kapewa nobel maana yake hiyo Lamu haitapata hata container moja la Ethiopia
Bandari Ya Mombasa ni kubwa na haijatumika yote kiasi cha kuhitaji bandari nyingine ya ziada
Bandari ya Bagamoyo ikikamilika wachina wataifaidi wao, nasiku wakija kutukabidhi chakavu itabidi serikal iingie gharama ipya jakuijenga, maana wachina vitua vyao ni feki, bora wangekuwa wa jerumani vitu vyao imara na madhubutiMimi nilishawai kusema humu kwamba idara ya usalama wa taifa ya Kenya imeingilia mchakato wa ujenzi wa bandari Bagamoyo na bomba la mafuta kutoka Tanga kwenda Uganda
Bila Magufuli kuchukua hatua na kuacha ukisikiliza watu wanaohongwa kuja kumshauri ujinga hasa maafisa wa TISS hii miradi haitafanikiwa na tutaendelea kuiangalia Kenya ikipaa kiuchumi bandari ya Bagamoyo ikikamilika ina uwezo wa kuhudumia nchi zaidi ya 10 kusini mwa jangwa la Sahara.
Ngoja nikuandikie kwa kiswahili na kukuwekea rejea za sheria kabisa kisha ntakutumia PM.Nikipata muda, nataka kujifunza zaidi hilo suala!!
Huyo kijana aliwahi kusema eti Bagamoyo ingeipiku Amsterdam!ZZK anatueleza mkakati wa Bandari ya Bagamoyo kuwa ni gateway ya imports.
Kwa mchumi yeyote ningetegemea angekuwa na in-depth analysis ya how do we strengthen production ya mazao ghafi na processing ili kuwa na certain ya exports.
JK toka 2013 mpaka 2015 anatoka madarakani alisita kusaini a go ahead. Unadhani kwanini year 1 imepita hakusaini,
Year 2 imepita hakusaini.
Year 3 anatoka madarakani early November bila kusaini. Nini alikiona kama sio favourable clauses ya mkataba mpaka 3 years zikakatika hakutia mkono.
Dr. Mpango waziri wa Fedha alikuwa mkuu wa Tume ya Mipango wakati wa JK; bila shaka alikuwa sehemu ya walimshauro JK asiwe "fasta" kusaini.
ZZK uliponda sana initiative za JPM na Prof. Kabudi kukaa na Barick na kushikilia makanikia in the name of tutashitakiwa. Leo hii uongo wako umeonekana wazi mchana peupe.
By the way, show by numerical projections namna gani Bagamoyo port could make a difference kwenye kuongeza revenues ambapo Mtwara, Tanga na Dar zime-fail ili ku-justify hoja yako.
Kama hujui kinachoongelewa bora ukanyamaza kuliko kuandika viroja! Eti faida baada ya miaka 99... dah! Yaani nyie watu ndo maana mnadanganywa kirahisi sana kwa sababu hata mambo madogo yanawashinda!Faida baada ya miaka 99 kupita,tokea tupate Uhuru miaka 99 haijafika halafu tuwape wachina miaka 99
Faida baada ya miaka 99 kupita,tokea tupate Uhuru miaka 99 haijafika halafu tuwape wachina miaka 99
Hakika taifa linahitaji maombi bila kujali imani zetu!!!Bandari ya bagamoyo ikikamilika wachina wataifaidi wao, nasiku wakija kutukabidhi chakavu itabid serikal iingie gharama ipya jakuijenga,maana wachina vitua vyao ni feki, bora wangekuwa wa jerumani vitu vyao imara na madhubuti
Itakuwa umefanya jambo la mbolea sana!!!Ngoja nikuandikie kwa kiswahili na kukuwekea rejea za sheria kabisa kisha ntakutumia PM.
Hii nchi ina viroja si kidogo... yaani ukiwasikiliza hawa viongozi wetu, mtu unaweza kupatwa na kiharusi bila kutarajia!!Nakumbuka wakati ule akijifanya kuongea kwa uchungu huku akitaka kulia eti "Watanzania tumeibiwa sana"
Sasa kama unajua tumeibiwa sana mbona umesamehe Trillion 424, Wewe mzee vipi?
Huyu Mzee akitoka madarakani aondolewe kinga ashitakiwe maana huu ni zaidi ya uhujumu uchumi!
Tume kaunda mwenyewe, kapewa findings za kitaalamu ya kiasi tulichoibiwa halafu kaenda kuyasamehe matrilion, ajabu sana hii!!
Kagame aliwahi kumwambie Kikwete yafuatayo:
" I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, "
MWISHO WA KUNUKUU
Hivi hizi bandari tulizo nazo sasa hivi zimeshajaa?
Au ni mwendo ule ule wa kukurupuka kisa wewe ni mpinzani
Zitto janjajanja nyingi...toto tundu, mdaka fursa!!Kwakweli Zitto amewandika mazito ila tu sio mtu wakuaminika... lazima kuna kitu nyuma sio kwa maandalizi ya maandishi hayo, Zitto asingekua mnafiki angekua the best presidential material wa nchi hi, anaupeo mwingi