Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Hahaahaaa!! Bila kusahau kauli nyingine ya Magu kwamba Watanzania tukijua dhahabu iliyojaa mle, basi tungelia; matokeo yake badala ya kulia, wanaishia kukubali 700B badala ya 425 Trillion walizoamisha watu!!!

Nakumbuka wakati ule akijifanya kuongea kwa uchungu huku akitaka kulia eti "Watanzania tumeibiwa sana"
Sasa kama unajua tumeibiwa sana mbona umesamehe Trillion 424, Wewe mzee vipi?
Huyu Mzee akitoka madarakani aondolewe kinga ashitakiwe maana huu ni zaidi ya uhujumu uchumi!
Tume kaunda mwenyewe, kapewa findings za kitaalamu ya kiasi tulichoibiwa halafu kaenda kuyasamehe matrilion, ajabu sana hii!!
 
Djbout bandari yao inaweza pokea Meli kubwa? Umemuelewa Zitto kwamba Lamu itahudumia hadi south Africa? Kwani South Africa haina Bandari?

Inazungumziwa Bandari ya kuwezesha meli kubwa kutia nanda kitu ambacho hakipo kabisa kwenye bandari karibia zote za Africa
Kaka unaposema MELIKUBWA wengi humu hawaelewi kitu,hii nondo imeshiba vilivyo basi tu tumelogwa.Investment ya Bandari inalipa mara 100 zaidi kuliko Dreamliner tulizoagiza japo ukishakuwa na rangi ya mgomba akili unaziacha uani.Wafuatilie maendeleo ya nchi kama SINGAPORE waone nini kinawaingizia hela na maendeleo waliyonayo.Hawana natural resources hata robo tu ya tulizonazo ila Bandari kwao ndo kila kitu na wanapiga hela hatari($)
 
Shida kubwa ya nchi za Africa ni kuwa kama wachumba wa kike (lazima yeye afuatwe mchumba wa kiume) na sio yeye kumfuata mchumba wa kiume hivyo kuishia kujihami. Jamani ni mfano tu mazee msilete chuki

Nasema hivyo kwa sababu sisi badala ya kutongoza wawekezaji wao wanatutongoza na tunaweka ngumu. Kwa hiyo inakuwa ni ngumu kujiamini kwa tunachokifanya badala tunaanza kudai kuwa tutaliwa na sio kuwala.

Mimi ningependa miradi mikubwa ya uwekezaji kama hii ibuniwe na na sisi, hata gharama zake tuzijue sisi na hata condition tuweke sisi na anayekubaliana na sisi ndo aje. Lakini hii ya muwekezaji kuwa ndio anatumbembeleza lazima mambo kama haya ya kutoaminiana yatajitokeza.

Waarabu walio amua kujenga dubai hawakutegemea wawekezaji wa nje waliamua kufanya wenyewe, hata sisi tukiamua kufanya jambo kubwa tujitahidi kutumia resource zetu na zikipungua bora hata kukopa kuliko kukimbilia kuwapigia magoti wawekezaji ambao kimsingi wanaweza wakawa na masharti magumu sana,

Landson Tz
 
Mtukufu Magufuli ameahidiwa vingi na Kenya kwa ajili ya uchaguzi wa 2020 lakini China siyo wajinga wapo kimya wanamhadaa kama wapo pamoja nae lakini moshi wa Ruangwa waliuona na hawapo mbali na ule moshi na pia wanajua kila kitu hata Spika ndungai mpaka leo anaumia moyoni.

Kwa kifupi Bandari ya Bagamoyo ingeleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kuipelekea Tanzania kupiga hatua kubwa kimaendeleo, wapinzani wengine wa Bandari ya Bagamoyo ni msumbiji na Bandari ya Darban ambayo pia ina uwezo wa kupokea meli kubwa.
Faida baada ya miaka 99 kupita,tokea tupate Uhuru miaka 99 haijafika halafu tuwape wachina miaka 99
 

Wasome wakenya wenye akili wanavyouona huo ni mradi wa kipumbavu kuwahi kutokea Kenya, mimi Siwezi kushabikia huyu zumbukuku anaetaka tuuze nchi yetu kisa kushindana na Kenya, huyu hafai kabisa kuwa kiongozi sababu atafanya maamuzi kimihemko badala ya kutumia weledi
Yeye akiona Kenya wamefanya jambo tu hatalazimisha na magufur halifanye magufur hafanyi mambo kwa kuangalia Kenya wamefanyanini na wanataka kufanya nini
 
Kwanza hiyo bandari ni white elephant, waliijenga ili kuhudumia shehena ya Ethiopia na Sudan ndio maana mradi unaitwa lapsset lakini cha kushangaza Ethiopia imejenga railway to Djibouti

Wangefaidi kama kipindi kile Ethiopia ilivyokua haina mahusiano mazuri na Djibouti lakini baada ya kusameeana na kuungana mpaka Rais wa Ethiopia kapewa nobel maana yake hiyo Lamu haitapata hata container moja la Ethiopia

Bandari Ya Mombasa ni kubwa na haijatumika yote kiasi cha kuhitaji bandari nyingine ya ziada
Mozambique,Zambia,Congo Malawi Mkapa aliwawekea bandari hapo Mtwara mpaka leo Kimya jamaa wanafix mambo yao kule wanatimka hamna maongezi mengi.
 
Wachina si waende kujenga bandari Nigeria au Guinea.
 
Mimi nilishawai kusema humu kwamba idara ya usalama wa taifa ya Kenya imeingilia mchakato wa ujenzi wa bandari Bagamoyo na bomba la mafuta kutoka Tanga kwenda Uganda

Bila Magufuli kuchukua hatua na kuacha ukisikiliza watu wanaohongwa kuja kumshauri ujinga hasa maafisa wa TISS hii miradi haitafanikiwa na tutaendelea kuiangalia Kenya ikipaa kiuchumi bandari ya Bagamoyo ikikamilika ina uwezo wa kuhudumia nchi zaidi ya 10 kusini mwa jangwa la Sahara.
Bandari ya Bagamoyo ikikamilika wachina wataifaidi wao, nasiku wakija kutukabidhi chakavu itabidi serikal iingie gharama ipya jakuijenga, maana wachina vitua vyao ni feki, bora wangekuwa wa jerumani vitu vyao imara na madhubuti
 
ZZK anatueleza mkakati wa Bandari ya Bagamoyo kuwa ni gateway ya imports.

Kwa mchumi yeyote ningetegemea angekuwa na in-depth analysis ya how do we strengthen production ya mazao ghafi na processing ili kuwa na certain ya exports.

JK toka 2013 mpaka 2015 anatoka madarakani alisita kusaini a go ahead. Unadhani kwanini year 1 imepita hakusaini,
Year 2 imepita hakusaini.

Year 3 anatoka madarakani early November bila kusaini. Nini alikiona kama sio favourable clauses ya mkataba mpaka 3 years zikakatika hakutia mkono.

Dr. Mpango waziri wa Fedha alikuwa mkuu wa Tume ya Mipango wakati wa JK; bila shaka alikuwa sehemu ya walimshauro JK asiwe "fasta" kusaini.

ZZK uliponda sana initiative za JPM na Prof. Kabudi kukaa na Barick na kushikilia makanikia in the name of tutashitakiwa. Leo hii uongo wako umeonekana wazi mchana peupe.

By the way, show by numerical projections namna gani Bagamoyo port could make a difference kwenye kuongeza revenues ambapo Mtwara, Tanga na Dar zime-fail ili ku-justify hoja yako.
Huyo kijana aliwahi kusema eti Bagamoyo ingeipiku Amsterdam!
Nikajua hana hoja bali 'upopo' unamsumbua.
 
Faida baada ya miaka 99 kupita,tokea tupate Uhuru miaka 99 haijafika halafu tuwape wachina miaka 99
Kama hujui kinachoongelewa bora ukanyamaza kuliko kuandika viroja! Eti faida baada ya miaka 99... dah! Yaani nyie watu ndo maana mnadanganywa kirahisi sana kwa sababu hata mambo madogo yanawashinda!
 
Ndugu yangu Malcom Lumumba, ngoja nikuachie Mtanzania mwenzako huyu!!
Faida baada ya miaka 99 kupita,tokea tupate Uhuru miaka 99 haijafika halafu tuwape wachina miaka 99
Bandari ya bagamoyo ikikamilika wachina wataifaidi wao, nasiku wakija kutukabidhi chakavu itabid serikal iingie gharama ipya jakuijenga,maana wachina vitua vyao ni feki, bora wangekuwa wa jerumani vitu vyao imara na madhubuti
Hakika taifa linahitaji maombi bila kujali imani zetu!!!
 
Faida za bandari ya bagomoyo kujengwa na investors wa kichina ni hii ifuatayo

1.Wachina wana mpango mkakati wa ile project yao ya one belt one road, bandari ya bagamoyo ingekuwa ni piece muhimu sana kwenye huu mkakati maana mzigo mwingi kuingia na kutoka kuelekea china ungepitia hapo na eneo zima la afrika ya kati lingelishwa na bandari hii na multiplier effect ingekuwa kubwa.

2. Pesa za mradi ni Foreign Direct investment, hatuingizi pesa ya mlipa kodi mle zaidi ya kulease ardhi ambayo inabaki hapahapa nchini, haisombwi na train kuhamishiwa china

3. Kitendo cha mchina kujenga bandari yeye na kuiendesha yeye maana yske atahakikisha anailisha mzigo wa kutosha, Itakuwa ni bandari busy kwelikweli, kwa hiyo utaona kwamba kitendo cha hiyo bandari kujengwa na mchina tayari imeshajihakikishia biashara

4. Uwepo wa hiyo bandari nchini ungewarahisishia wachina kuhamishia baadhi ya production units nchini kutoka kwao China ambapo production costs zimeanza kuongezeka na hivyo kuikosesha china competetive edge dhidi ya mataifa mengine ya asia kwenye cheap products
 
Nakumbuka wakati ule akijifanya kuongea kwa uchungu huku akitaka kulia eti "Watanzania tumeibiwa sana"
Sasa kama unajua tumeibiwa sana mbona umesamehe Trillion 424, Wewe mzee vipi?
Huyu Mzee akitoka madarakani aondolewe kinga ashitakiwe maana huu ni zaidi ya uhujumu uchumi!
Tume kaunda mwenyewe, kapewa findings za kitaalamu ya kiasi tulichoibiwa halafu kaenda kuyasamehe matrilion, ajabu sana hii!!
Hii nchi ina viroja si kidogo... yaani ukiwasikiliza hawa viongozi wetu, mtu unaweza kupatwa na kiharusi bila kutarajia!!
 
Hoja zako nzito sina tatizo wewe sio mtu kuaminika hata kidogo mimi na wewe tunashea Rafiki yetu mmoja Mzee Anaishi London nimekuwa nikimueleza ili kila siku kuwa wewe si mtu kuaminika hata kidogo maana hatujui unania gani kwenye ili au niseme wakubwa zako makumbusho wamekutuma uwanase kina kwenye ili...
 
ruaharuaha,

MAJIBU YA INVESTOR WA CHINA JUU YA MADAI YAO NI HAYA HAPA

Source: The Citizens


The Citizen
Advertisement

Chinese investor in Bagamoyo port dismisses TPA boss over contract ultimatum
Monday October 28 2019
Dar es Salaam. The Chinese company behind the $10 billion (Sh23 trillion) Bagamoyo Port project plan has dismissed as “fake news” reports of an ultimatum from the government of Tanzania to accept new contract terms.


BY John Namkwahe @johnteck3 jnamkwahe@tz.nationmedia.com

Dar es Salaam. The Chinese company behind the $10 billion (Sh23 trillion) Bagamoyo Port project plan has dismissed as “fake news” reports of an ultimatum from the government of Tanzania to accept new contract terms.

The investor— China Merchants Port holdings Company Limited, also asked Tanzania Ports Authority (TPA) director general Deusdedit Kakoko to keep off the plan.

In a statement sent to The Citizen, investor’s chief representative Moosa Mao said they were unaware of any letter from the government about the stalled port project.

Mr Mao said they have received no contract terms or an ultimatum from authorities regarding Bagamoyo Port, noting that they never dealt with Mr Kakoko to whom the reports were attributed.

“The investor has not received any ultimatum in form of letter, notice or fax from the Government of Tanzania,” Mr Mao said adding: “The Investor is very disappointed to see fake information spread around, which not only damaged the ease of doing business environment of Tanzania, but also misguides the public and the top level officials of the government.”

The company’s response follows widely quoted reports by Mr Kakoko that the investor had been told to accept five revised conditions of the contract or leave. Mr Kakoko has been unavailable for comment since Friday on the turn of events.

Mr Mao said only the Prime Minister’s Office, Ministry of Industry and Trade and the Export Processing Zone Authority could comment on the project negotiations on behalf of the government. He said Mr Kakoko did not attend negotiation meetings.

TheEastAfrican last week quoted Mr Kakoko as revealing the revised contractual terms, including reduction of lease period from 99 to 33 years, scrapping of a tax holiday, no special investor status on payment of utility bills, removal of exclusive operating rights and compensation for dredging work.

But according to Mr Mao, none of the said conditions were part of negotiations between the Chinese investor and representatives of the government.

“Bagamoyo Port is a pure commercial investment project. Previous MoU/Framework Agreement expired years ago.

The government and the investor have not signed any legal binding contract or agreement,” Mr Mao said.

He said the parties have sat through 15 rounds of negotiation meetings between March 2017 and July 2018, during which they agreed most of the commercial terms with only 9 items pending. He did not, however, indicate the current status of the sticking points.

The Bagamoyo Port development project was initiated late into the tenure of President Jakaya Kikwete but it has since stalled due to what the current administration say are skewed provisions in the contract that do not protect the interests of the country.

It was to be implemented as a special economic zone investment by CMPort China
 
Usiwe mvivu wa kusoma. Rudia kusoma vizuri bandiko la ZZK uone jinsi amvavyo bandari iliyotarajiwa ingrhudumia bandari zingine za Africa sababu hizo zingine ni ndogo mno kuweza kupokeamimrli mikubwa zaidi. Bandari ya Dar haina space ya kutosha kufanya upanuzi mkubwa na kuwa Special Economic Zone. Sasa badala ya Bagamoyo itakuwa Lamu. Doplomasia ya kiuchumi imetushinda.

Kumbuka propaganda zilivyokuwa! Magufuli aliukandia mradi bila hata kufunguka kuhusu faida za mradi. Yaani watanzania waliachwa kujadili ubaya wa mrahi na ujasiri wa Maguguli tu huku ukweli kuhusu faida za mradi kwa Tanzania ukifichwa.

Iko siku tutaelewa lakini itakuwa baada ya kuchelewa kabisa!
Hivi hizi bandari tulizo nazo sasa hivi zimeshajaa?

Au ni mwendo ule ule wa kukurupuka kisa wewe ni mpinzani
 
Kwakweli Zitto amewandika mazito ila tu sio mtu wakuaminika... lazima kuna kitu nyuma sio kwa maandalizi ya maandishi hayo, Zitto asingekua mnafiki angekua the best presidential material wa nchi hi, anaupeo mwingi
Zitto janjajanja nyingi...toto tundu, mdaka fursa!!
 
Back
Top Bottom