Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda


Wasome wakenya wenye akili wanavyouona huo ni mradi wa kipumbavu kuwahi kutokea Kenya, mimi Siwezi kushabikia huyu zumbukuku anaetaka tuuze nchi yetu kisa kushindana na Kenya, huyu hafai kabisa kuwa kiongozi sababu atafanya maamuzi kimihemko badala ya kutumia weledi
Miradi mikubwa kama hii haikosi wapinzani na wanaosapoti.
 
Huyu Mwami kuna kipindi Mzee Dr. Harrison Mwakyembe alisema sikutegemea mtu makini Kama Zitto Kabwe anasema serikali inunue mitambo ya IPTL wakati alijua sheria ya Manunuzi PPRA inahitaka kununua vifaa, mali mpya ba si second hand.

Aidha aliongeza kwamba kununua kwa mitambo ile bado sio mwarobaini kwakua uzalishaji wa umeme wa mafuta Ni ghali na maintenance costs yake ni kubwa.

Badala ya kuipunguzia serikali mzigo itakua inauobgeza maradufu.

MH. ZITTO UNAKWAMA WAPI KAKA YANGU WEWE NI MTU SMART SANA KUJIINGIZA KWENYE SIASA UCHWARA KAMA HIZI. UNAITUMIA ELIMU YAKO VIBAYA.

OPPORTUNIST sana huyu jamaa hasa akiahidiwa 10% , hajali wananchi mchumiatumbo
 
Chige, Missile of the Nation, post: 33297469, member: 490108"]
MAJIBU YA INVESTOR WA CHINA JUU YA MADAI YAO NI HAYA HAPA

Source: The Citizens


The Citizen
Advertisement

Chinese investor in Bagamoyo port dismisses TPA boss over contract ultimatum
Monday October 28 2019
Dar es Salaam. The Chinese company behind the $10 billion (Sh23 trillion) Bagamoyo Port project plan has dismissed as “fake news” reports of an ultimatum from the government of Tanzania to accept new contract terms.


BY John Namkwahe @johnteck3 jnamkwahe@tz.nationmedia.com

Dar es Salaam. The Chinese company behind the $10 billion (Sh23 trillion) Bagamoyo Port project plan has dismissed as “fake news” reports of an ultimatum from the government of Tanzania to accept new contract terms.

The investor— China Merchants Port holdings Company Limited, also asked Tanzania Ports Authority (TPA) director general Deusdedit Kakoko to keep off the plan.

In a statement sent to The Citizen, investor’s chief representative Moosa Mao said they were unaware of any letter from the government about the stalled port project.

Mr Mao said they have received no contract terms or an ultimatum from authorities regarding Bagamoyo Port, noting that they never dealt with Mr Kakoko to whom the reports were attributed.

“The investor has not received any ultimatum in form of letter, notice or fax from the Government of Tanzania,” Mr Mao said adding: “The Investor is very disappointed to see fake information spread around, which not only damaged the ease of doing business environment of Tanzania, but also misguides the public and the top level officials of the government.”

The company’s response follows widely quoted reports by Mr Kakoko that the investor had been told to accept five revised conditions of the contract or leave. Mr Kakoko has been unavailable for comment since Friday on the turn of events.

Mr Mao said only the Prime Minister’s Office, Ministry of Industry and Trade and the Export Processing Zone Authority could comment on the project negotiations on behalf of the government. He said Mr Kakoko did not attend negotiation meetings.

TheEastAfrican last week quoted Mr Kakoko as revealing the revised contractual terms, including reduction of lease period from 99 to 33 years, scrapping of a tax holiday, no special investor status on payment of utility bills, removal of exclusive operating rights and compensation for dredging work.

But according to Mr Mao, none of the said conditions were part of negotiations between the Chinese investor and representatives of the government.

“Bagamoyo Port is a pure commercial investment project. Previous MoU/Framework Agreement expired years ago.

The government and the investor have not signed any legal binding contract or agreement,” Mr Mao said.

He said the parties have sat through 15 rounds of negotiation meetings between March 2017 and July 2018, during which they agreed most of the commercial terms with only 9 items pending. He did not, however, indicate the current status of the sticking points.

The Bagamoyo Port development project was initiated late into the tenure of President Jakaya Kikwete but it has since stalled due to what the current administration say are skewed provisions in the contract that do not protect the interests of the country.

It was to be implemented as a special economic zone investment by CMPort China
[/QUOTE]
Bado mwekezaji hasemi ni nini kinakwamisha mazungumzo. Anasema alichosema mtu wa TPA siyo chenyewe lakini hataki kusema chenyewe halisi ni kipi. Na kumbe MoU tayari imeishapitwa na wakati. Mkuu Chige, hapa utakuwa unatuonea tunaokubaliana na maelezo ya serikali.

Karibu.
 
Mkuu sasa si bora kukopa kuliko kujitoa ufahamu namna hii? Hapa ni kama umeuza moja kwa moja. Sasa kulikuwa na mantiki gani ya kudai uhuru na kuwafukuza wakoloni wakati nao walikuwa wanajenga n6a kuendesha nchi yetu? Huoni Afrika Kusini ilivyojengwa? Lakini pamoja na kujengwa kote wananchi wake walikuwa hawana raha. Kwa nini tujiweke kwenye hali ngumu kama hii wakati kuna mambo mengi basic tunaweza kufanya yakanufaisha wananchi zaidi? Waje tuwekeze kwenye kilimo. Mazao yakivunwa tunagawana kulingana na makubaliano.

Mkuu wao pia wanapowekeza huangalia faida na maslahi maana sio zawadi hiyo, hivyo lazima akili zisigane mfikie maelewano na atakayeshindwa kutumia kichwa vizuri lazima alie.. Lakini pia hakuna anayekulazimisha ni kila mtu kuangalia maisha ya watu wake kwanza na sio utashi binafsi, fact ni muhimu na sio konakona.

Maendeleo ni muhimu lakini yanagharama zake pia sio burebure. Hapo juu wadau wameweka sawa, 99yrs ni hati miliki ya ardhi na 33 - 40yrs ndio inahusiana na mradi.. Kwa hiyo tukisaini maana yake tutakuwa tumewapi hati miliki ya ile ardhi kwa 99yrs nafikiri wale wenye majumba na viwanja wanafahamu hili pia kifupi wanahizo hatimiliki za kuanzia miaka 50 - 100. Hili lakini sio geni maana hata awamu ya tatu chini BWM iliwapa wenye migodi hati miliki ya ardhi kwa 100yrs
 
Exposure juu ya mambo ya uwekezaji ni muhimu sana kwa watu wetu hasa walio kwenye mifumo na watunga sera. Taifa inaonekana linapata shida sana kwenye suala zima la uwekezaji mkubwa kwenye resources zetu. Hakuna mahala tuliwahi kupatia kwenye haya mambo zaidi ya kuishia kwenye makelele na mwicho wasiku tunaishia kupigwa au kupoteza fursa kwa watu wetu..

Uwekezaji na wawekezaji ni jambo ambalo likiendewa vizuri linaweza kuifanya Tanzania ikaendelea kwa kasi sana na watu wake kuwa na kipato kizuri kwa Africa. Tanzania tuna faida kubwa ya kubarikiwa resources nyingi sana na nzuri ambazo zinahitaji watu wenye akili sana kuweza kuzitumia na kuleta mafanikio, Nafikiri mpaka sasa tumekosa management nzuri ya hivi vitu..
 
TUJITEGEMEE,

Wachina wanatumia ustaarabu wa kutokimbilia public kubishanabishana katika vitu wanavyoweza kuvimaliza kwenye meza ya mazungumzo

Sababu ya serikali ya Jiwe kukimbilia kwenye media ili kuponda ni baada ya kuanza kupokea lawama kutoka kwa watu kutokana na kujivutavuta kusongesha huu mradi

ndiyo maana serikali ya Jiwe haituambii faida hata moja ya mradi zaidi ya kutueleza hasara.

Sasa katika mambo kama hayo huwa unalose kitu fulani huku unagain kitu kingine, cha ajabu serikali ya jiwe inatueleza tunacholose lakini haituelezi tunachogain ili tulinganishe sisi wenyewe!
 
Hadithi tu za kutoka kichwani kwa mtu

Hili mradi serikari za nchi zinazotegemea port za Kenya na Tanzania zina mahusiano mazuri na wote; muhimu kwao itabaki ni unafuu wa bei, urahisi wa kufanya biashara, speed ya kufika kwa mzigo and quality of services.

Vigezo ivyo vitabaki hadi mwisho wa dunia ni jukumu la nchi zinazoshindana kuvutia hao wateja kwa kuwekeza kwenye hizo nyanja.

Nani yuko advatageous today inategemea na miundombinu zinazowapa access hao watu ya kufikia port, kodi na urahisi wa kutoa mizigo. Over the years you expect Kenya and Tanzania to compete on those front port ijengwe na mchina au serikari zenyewe vigezo ni vile vile.

Mwisho hivi kuna mtu atawekeza kwenye SEZ billion of dollars bila ya mipango ya feedstock kwenye ivyo viwanda. Sidhani kwa wachina kuchagua
Bagamoyo ni kwa bahati mbaya wanajua nini kingine wanaweza pata Tanzania kama malighafi ya viwandani ndio maana wanaweka industrial park na kwengine awawezi pata hivyo vitu kwa urahisi.

Ni mradi mzuri na wenye multiplier effect nyingi lakini aina maana serikali iingie mkataba wa ovyo, mengine ni upuuzi kutoka kichwani kwa Zitto kwanza Sharjah ndio gateway ya Europe (centre of gravity being Antwerp) to Africa.
 
Missile of the Nation,
Ukitaka kujua huu mradi una makandokando mengi ya ubinafsi na hawa wanaokesha hapa kuupigia debe wanajua wanafanya nini soma hii habari ya The Citizens kwa umakini. Jamani tumefikia hatua ya ''mjinga'' mmoja Mchina kumkaripia Ofisa wa serikali ya Tanzania! ( rejea: The investor— China Merchants Port holdings Company Limited, also asked Tanzania Ports Authority (TPA) director general Deusdedit Kakoko to keep off the plan).

Kwanini wanamlazimisha ku-keep off the plan? Wanajuaje kama serikali yetu huwa ina-consult kuapata ushauri wake? Hii ni dharau kwa nchi yetu.
 
Chige,
Point ulizoleta zote ni speculations zako tu; leta mkataba wenyewe tuusome. Kama nilivyoandika hapo, analysis inakuwa na maana tu ukiwa na facts kamili. Dola $10bn kutoka Oman na China haziji bure. No free lunch!
 
Ukitaka kujua huu mradi una makandokando mengi ya ubinafsi na hawa wanaokesha hapa kuupigia debe wanajua wanafanya nini soma hii habari ya The Citizens kwa umakini. Jamani tumefikia hatua ya ''mjinga'' mmoja mchina kumkaripia ofisa wa serikali ya Tanzania! ( rejea: The investor— China Merchants Port holdings Company Limited, also asked Tanzania Ports Authority (TPA) director general Deusdedit Kakoko to keep off the plan.). Kwanini wanamlazimisha ku-keep off the plan? Wanajuaje kama serikali yetu huwa ina-consult kuapata ushauri wake? Hii ni dharau kwa nchi yetu.
We mpemba soma vizuri katika negotiations 15 huyu jama hakuwemo walio shiriki nawasemaji wa huo mradi elikua ofisi ya Waziri Mkuu ndiyo chief negotiator inakuaje sasa mnaingiza mtu mwingine ambaye hakushiriki tangu awali? Hilo lina logic isipo kua unataka kua mshabiki tu
 
@="mulwanaka,
Unafikiri sijasoma vizuri? Kauli aliyotumia ndiyo issue yangu. Angeweza kuwa diplomatic zaidi ikizingatiwa hajui serikali yetu inavyo operate.

Kama ni suala la kusema hakuwepo kwenye mazungumzo, alitakiwa awasiliane na ujumbe wa Tanzania na kuuliza zaidi. Sasa wao ndiyo wangetoa statement.

Hii protocal aliyoruka na kujifanya yeye ndiye kidume wa kuingia mambo ya nchi yetu inaonyesha wana jeuri na usongo mkubwa na huu mradi kama hao vibaraka wake kina Zitto.
 
ZZK nilikua nakuelewa sana miaka ya 2000 hadi 2014 zaidi ya hapo naiskia harufu ya beberu
 
Sasa mkuu kwa uzoefu wako uwe mkweli tu ni heri ya PFI au serikali ichukue mkopo directly ijenge bandari from the scratch?? Ipi ina RISK kubwa??

The issue is bankability. Dili ikiwa inalipa. any option is viable, but the thing is to balance the interest of the parties.
 
Yupo pia yule Mwenyekit mliyekuwa naye bega kwa bega kumpa chama
Zitto asitulishe matango pori. Asijifanye ana uchungu sana na nchi wakati ni mchumia tumbo. Anamjua anayemtumikia. Apeleke njaa zake huko. Bandari ya Bagamoyo tutaijenga wenyewe siku tukiamua au siku tukimpata mbia ambaye na sisi tutanufaika. Zitto siyo mchumi pekee nchi hii. Nchi hii ina wachumi wengi tena mahiri kuliko yeye na njaa zake.
 
Kwa hiyo unataka kuuaminisha umma wa wana JF kuwa maelezo yaliyotolewa na uongozi wa Tanzania juu ya masharti ya wawekezaji huko kwenye bandari ya Bagamoyo na kwenye hiyo EPZ ya Bagamoyo ni UONGO?

Na wanatuongopea ili iweje? Ili kuwanufaisha Kenya na hizo nchi nyingine ulizozitaja?

JE HIYO NI KWELI KUWA SERIKALI INAJIHUJUMU YENYEWE? KUWA RAIS MAGUFULI HAONI FAIDA YA MRADI HUO NA KUWA MASHARTI WALIYOWEKA "WAWEKEZAJI NI MAZURI KWA MASLAHI YA TANZANIA?
 
Exposure juu ya mambo ya uwekezaji ni muhimu sana kwa watu wetu hasa walio kwenye mifumo na watunga sera. Taifa inaonekana linapata shida sana kwenye suala zima la uwekezaji mkubwa kwenye resources zetu. Hakuna mahala tuliwahi kupatia kwenye haya mambo zaidi ya kuishia kwenye makelele na mwicho wasiku tunaishia kupigwa au kupoteza fursa kwa watu wetu..

Uwekezaji na wawekezaji ni jambo ambalo likiendewa vizuri linaweza kuifanya Tanzania ikaendelea kwa kasi sana na watu wake kuwa na kipato kizuri kwa Africa. Tanzania tuna faida kubwa ya kubarikiwa resources nyingi sana na nzuri ambazo zinahitaji watu wenye akili sana kuweza kuzitumia na kuleta mafanikio, Nafikiri mpaka sasa tumekosa management nzuri ya hivi vitu..
Asante Mkuu wa kulisema hili.

Na hili ndo tatizo kubwa linalotukumba kama nchi. Tumekosa watu wenye exposure ya mambo makubwa kama biashara na uwekezaji ili ndo wewe watunga sera wakuu na washauri wa viongozi wakuu juu ya mambo ya uwekezaji na maendeleo.

Kiukweli naamini Mh Raisi amepotoshwa sana kwenye hili na sio jambo jema hata kidogo.

Ukienda kenya kama unatoka Tanzania lazima utashangaa sana. Wanapiga hatua kubwa sana kwenye masuala ya uwekezaji uwe mdogo au hata mkubwa na inawaletea maendeleo sana.


Nashauri kuwe na Think Tank wa kumshauri Mh Raisi kwenye masuala ya kiuwekezaji na biashara na hili liwekwe kisheria kabisa. Tumechelewa sana Tanzania na tunatakiwa tukimbie sana. Dunia ya sasa sio ya kuacha fursa

Asante
 
Kwa hiyo unatakakuuaminisha umma wa wana JF kuwa maelezo yaliyotolewa na uongozi wa Tanzania juu ya masharti ya wawekezaji huko kwenye bandari ya Bagamoyo na kwenye hiyo EPZ ya Bagamoyo ni UONGO? Na wanatuongopea ili iweje? Ili kuwanifaisha Kenya na hizo nchi nyingine ulizozitaja? JE HIYO NI KWELI KUWA SERIKALI INAJIHUJUMU YENYEWE? KUWA RAIS MAGUFULI HAONI FAIDA YA MRADI HUO NA KUWA MASHARTI WALIYOWEKA "WAWEKEZAJI NI MAZURI KWA MASLAHI YA TANZANIA?
Hoja zako zinasikitisha kidogo.
 
Back
Top Bottom