We jamaa una matatizo si kidogo! Unajua nilipoiona hii post yako hapa chini:-Sio siri, niliposoma hapo kwenye RED, nikabaki kujiuliza haya madai kwamba "..
.naenda kufanya kazi zangu maana" umeyatoa wapi!! Ki ukweli nikapuuza, kwa kuamini kwamba ulikuwa umepitiwa tu!!!
Leo tena--Kurudia jambo lile lile, hatimae nimefahamu kwamba sio ulipitiwa bali ulimaanisha!! Ajabu ni kwamba, ambacho niliandika ni hiki hapa:-Sasa wewe hilo suala la "kazi zangu za maana" ambalo unaonesha limekuumiza kweli kweli umelitoa wapi?!!
And look at you... post ambayo nilimwambia
Malcom Lumumba nasepa zangu, ni ya jana... saa kibao zilizopita! Kwahiyo mtu ambae alikuwa JF jana, halafu akaja kutokea leo kwako wewe huyo ndo amekesha??!!!
Unanitia huruma sana!!