Umeelewa lakini point yangu?Uongo wa Mwendazake ulikuingia vizuri unajua mradi wa Bwawa la Mwalimu ni mkopo toka benki za Egypt na mkandarasi ni Arab Contractor, nani anajua kwenye huomradi tutalipa bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa lakini point yangu?Uongo wa Mwendazake ulikuingia vizuri unajua mradi wa Bwawa la Mwalimu ni mkopo toka benki za Egypt na mkandarasi ni Arab Contractor, nani anajua kwenye huomradi tutalipa bei gani?
Peleka upumbavu wako huko,kama unampenda sana jpm mfuate chato hapa mahali pake kwa ssNimejipanga kuwa mpiga kampeni wa Upinzani, na hili ni halali yangu kwa sababu katiba hainizuii kuhama Chama!!
Kwa tunakokwenda, ni Dhahili sasa CCM wamepigwa upofu ili tupate ukombozi mwingine
Kuendelea kupuuza misingi bora ya aliyotuonyesha kidogo JPM hayati kwa kujali na kutetea maslahi ya nchi yetu pia kulinda kwa gharama zote rasilimali zetu, huu ni upofu kwa CCM ya sasa
Leo hii ukimuuliza lowasa juu ya ujenzi wa bandari hii atakujibu vitu tofauti kabisa mpk utazimia....ni wanasiasa tu na maneno yao sio watu wa kuwaamini,wacha maisha yaende kama tulivyozoea..CAN YOU IMAGINE MTU ALIJENGA UWANJA WA NDEGE CHATO??[emoji3525][emoji3525][emoji3525],just imagine airport in CHATO..!!Elections 2015 - Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo. Amesema haoni mantiki ya kutumia mabilioni kujenga bandari moja Bagamoyo wakati bandari za...www.jamiiforums.com
Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo
Tuingie kwenye majadiliano na wawekezaji kwa kina km tulivyofanya kwenye madini. Timu ile bado ipo ipewe tu hadidu za rejea za mradi wa Bagamoyo kukwepa upigajiHii Bandari ina maana Hayati alitudanganya?.
kwa maslahi mapana ya Taifa mikataba iwekwe wazi
Kwa nchi nzima itakua haina maana.,
Labda Kwa Wizara,Wakuu wa Taasisi za Uwajibikaji nchini na Wadau wa muhimu
Kwa haya matusi kuna faida umevuna??Peleka upumbavu wako huko,kama unampenda sana jpm mfuate chato hapa mahali pake kwa ss
Kuna watu nchi hii shida sana wanadhani tuanishi karne ya 18 huko kutwa na nyimbo zao tunalinda rasilimali zetu hizo rasilimali hujui hata kuzalisha unadhani miaka yote watu watabaki kusubiri rasilimali zako maana dunia hii ni Tanzania tu. Tunalia wawekezaji waje wakija hawa wezi hata hujui nini tunataka, mwekezaji akija ni kazi ya wawakilishi wa Tanzania kupigania maslahi katika mikataba sio vingenevyo. Mama Samia wala JK hawakuwa wajinga na kila siku watu wanaambiwa bandari ya Dar haina uwezo tena kupokea meli kubwa za kisasa na ndio future ya baadae usipojipanga sasa itakuja siku tuaenda Zanzibar kuchukulia mizigo na bandari yetu itakuwa kama kituo cha daladala. Bandari ya Bagamoyo italeta fursa nyingi sana na kuchochea maendeleo nje ya Dar kama Bagamoyo na utaona Bagamoyo ya leo sio ya kesho mradi ukianza muanze kuwahi fursa Bagamoyo.Peleka upumbavu wako huko,kama unampenda sana jpm mfuate chato hapa mahali pake kwa ss
Mmmh! Unavyoandika tu inaonesha uko chini ya kiwango. Watu kulala njaa tena! Hiyo bandari ndo mkombozi? Foolish!Unavosema yamekataliwa na taifa una maanisha Mwendazake ndio Taifa au? Tuache siasa za chekechea haujaona iyo mikataba unashabikia, mama atafanya kilichp bora kwa Taifa watu hawawezi kulala njaa na kuna hela uko.
Ila nawe ni kama bwege. Kwa hiyo ukikopa mradi siyo wako? Au unataka kueleza lolote unalolijua bila hata sababu.Uongo wa Mwendazake ulikuingia vizuri unajua mradi wa Bwawa la Mwalimu ni mkopo toka benki za Egypt na mkandarasi ni Arab Contractor, nani anajua kwenye huomradi tutalipa bei gani?
Kuna mtu hapa alitwambia kuachiwa kwa Masheikh wa uamsho kuliendana na kuachiwa kwa papaa msofe?Waliporudishiwa hela akina Mbowe something fishy was coming! Duh hii nchi kuna watu ni professional! Kuna mtu ana swali?
Hata hivyo ktk bajeti ya 21/22 wameomba mkopo WB kumaliza ujenzi wakeUongo wa Mwendazake ulikuingia vizuri unajua mradi wa Bwawa la Mwalimu ni mkopo toka benki za Egypt na mkandarasi ni Arab Contractor, nani anajua kwenye huomradi tutalipa bei gani?
Hatukomoani, ndo Mambo yalivyo, ndo maana nimesema akijiridhisha, maana rais kwa katiba yetu Ni mfalmeMkuu, nakuunga mkono, lakini kwa nini tunataka kukata tamaa kiasi hiki, unadhani ni sahihi tuendelee kukomoana kwamba mbona huyu alifanya ujinga huu, acha na mwingine afanye ujinga huu!!
Hyo Ni haki yako, Mimi nitakuwa upande wa mama kwa nafasi ya urais nitamtafutia kura zisizopungua 5000, tukutane kwa debe, uchaguzi uwe huru na haki, Samia anazoa asubuhi tuNimejipanga kuwa mpiga kampeni wa Upinzani, na hili ni halali yangu kwa sababu katiba hainizuii kuhama Chama!!
Kwa tunakokwenda, ni Dhahili sasa CCM wamepigwa upofu ili tupate ukombozi mwingine
Kuendelea kupuuza misingi bora ya aliyotuonyesha kidogo JPM hayati kwa kujali na kutetea maslahi ya nchi yetu pia kulinda kwa gharama zote rasilimali zetu, huu ni upofu kwa CCM ya sasa
SGR ni international competitive tender sasa unafikiri ni mkataba tu ndugu Kama wa mwekezajiTuleteeni mkatabwa wa SGR na Mwalimu Nerere Hydro Power ndiyo mhoji wa Bandari ya Bagamoyo,Mwendazake aliukataa wa Bagamoyo akaanzisha yake apige hela
Kinginec ni Kuwa ile ni international competitive tenda ,sijui kwa nini watu hujitoa muhangaUnachoshindwa kuelewa ni kwamba Sgr na bwawa la umeme ni miradi ya Tanzania inamilikiwa na Tanzania asilimia 100 wale wamepewa tenda ya kujenga tu. Lakini bandari ya bagamoyo watajenga wao na kundesha wao ndo hapo wadau wanaomba mikataba.
10% wanajulikana tu! unadhani ukilipwa hiyo ndiyo itakufanya uishi duniani siku zote, tunalinda rasilimali kwa ajili ya vizazi vijavyoKuna watu nchi hii shida sana wanadhani tuanishi karne ya 18 huko kutwa na nyimbo zao tunalinda rasilimali zetu hizo rasilimali hujui hata kuzalisha unadhani miaka yote watu watabaki kusubiri rasilimali zako maana dunia hii ni Tanzania tu. Tunalia wawekezaji waje wakija hawa wezi hata hujui nini tunataka, mwekezaji akija ni kazi ya wawakilishi wa Tanzania kupigania maslahi katika mikataba sio vingenevyo. Mama Samia wala JK hawakuwa wajinga na kila siku watu wanaambiwa bandari ya Dar haina uwezo tena kupokea meli kubwa za kisasa na ndio future ya baadae usipojipanga sasa itakuja siku tuaenda Zanzibar kuchukulia mizigo na bandari yetu itakuwa kama kituo cha daladala. Bandari ya Bagamoyo italeta fursa nyingi sana na kuchochea maendeleo nje ya Dar kama Bagamoyo na utaona Bagamoyo ya leo sio ya kesho mradi ukianza muanze kuwahi fursa Bagamoyo.
Inaweza kuwa kabisa, wanaachia then nao wanapitia humohumoKuna mtu hapa alitwambia kuachiwa kwa Masheikh wa uamsho kuliendana na kuachiwa kwa papaa msofe?
Kwa kuna mkataba ulisha wahi kuwekwa wazi hapa Tz?Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa nini usiwe wazi?
kwa nini tunadhani JPM pamoja na aliyekuwa mgombea Uraisi kupitia Chadema 2015 mh EL wamekuwa waongo kuukataa huu mradi kwamba hauna manufaa yoyote kwa nchi yetu?
Kuanzisha mradi wa Bandari Bagamoyo bila kuwepo uwazi wa mkataba uliotiliwa mashaka na viongozi mbalimbali wa nchi hii, ni uhujumu uchumi mkubwa na kuziua bandari zetu ambazo ni tegemeo kubwa la uchumi wetu
Hivi, Tanzania ni lini tutafahamu kwamba, uwingi wa miradi na sifa ya kuwepo wawekezaji wengi wasio na faida haituongezei chochote zaidi ya kutufanya tuwe taifa tegemezi na lisiloweza kujikomboa na umasikini..!
Kuwa na uwingi wa miradi haina maana kwamba umasikini ndiyo basi tena, Isipokuwa ni kuwa miradi yenye tija
Mungu ibariki Tanzania na Mungu bariki viongozi wetu
Nyie si ndo mlikua mnamtukana Lowassa vipi tena?Elections 2015 - Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo
Leo katika taarifa ya habari ya Channel Ten nimemsikia Rais mtarajiwa wa awamu ya tano Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo. Amesema haoni mantiki ya kutumia mabilioni kujenga bandari moja Bagamoyo wakati bandari za...www.jamiiforums.com
Lowassa: Serikali yangu itaangalia jinsi ya kuvunja mkataba wa bandari ya Bagamoyo