Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vizazi vijavyo ni vipi hivyo? kauli za kijinga tu na kitapeli upumbavu nchi hii shida sana kuisha. Jenga nchi imara fursa kwa wote watakaokuja wakute misingi imara na wao waendeleze. ila usilete kauli ya kijamaa na kijinga vizazi vijavyo au kizazi chako. Ukimuona mtu yoyote anajificha nyuma ya udini na utaifa ogopa sana hao. Mahitaji ya kiuchumi duniani ya leo sio kesho tech inakuwa kwa haraka leo unayoona ni rasimali kesho hata bure hakuna wa kuchukuwa watu wanaendelea wewe utabaki naweka kwa kizazi kijacho.10% wanajulikana tu! unadhani ukilipwa hiyo ndiyo itakufanya uishi duniani siku zote, tunalinda rasilimali kwa ajili ya vizazi vijavyo
Ila Mbowe aliyewaletea chuma chakavu yeye sio tapeli? na bado mkampa uenyekiti...ndo maana nyie mkaitwa nyumbuLowassa hakuwa cdm na wala hatakaa awe cdm, yeye alimuhonga Mbowe na genge lake ili agombee urais. Lile zee lilikuwa tapeli tu la kisiasa.
Hivi mna matatizo gani lkn? Penda kufanya research ndo uje uandike hapa jukwaani. Unajitia aibu kwa huu mchango wakonwa chuki na ubinafsi hapa ujue. Acha kufata upepo. Mradi wa Bagamoyo una tija kwa Taifa. Hivi Ile chato airport haikusaidii?? Mbona mama alipoenda kigogo busisi hamkulalamika???Inasikitisha sana kuona rais ambaye ni muisalam ambaye anashinda kutwa nzima amefunika kichwa chake huko China kuna kabila la Uyghurs ambalo wamesema ni haki yako kuabudi uislam wote wamekusanywa na kuwekwa kwenye concentration camp, shame on us!
Hela ndiyo zinaabudiwa kuliko hata imani raisi anayo shinda ana valia ushugi. Hawa ndiyo wawekezaji wa bagamoyo kwa muislam mwingine ambaye ni kama foreigner kwenye nchi yake anayezungukwa na watu masikini hohehahe wa kizaramo, elimu duni na afya mbili. …Magufuli alikuwa na inside informations za madudu yote ndiyo maana amekatishwa uhai wake na hicho ndiyo kisa kilichobaki mfikisha huko aliko
. Kinachofuatia ni kuwamaliza asikali watiifu wa Magufuli period, but time will tell.
Hahahaaa!!! Ile comment yake imeniacha kinywa wazi....hawa ndio wapinzani wanaopigania kushika hatamu.....yeye kwa sasa hivi haya mambo sio kipaumbele chake.....kwanza tume huru....baada ya kushika madaraka wanakuja kulaumu ubovu wa mikataba......Mkuu, tunauwa vyanzo vya uchumi wetu kwa sababu tu tunataka tume huru
Hii Bandari ina maana Hayati alitudanganya?
Kwa maslahi mapana ya Taifa mikataba iwekwe wazi
Kwa nchi nzima itakua haina maana.
Labda Kwa Wizara,Wakuu wa Taasisi za Uwajibikaji nchini na Wadau wa muhimu.
Baada ya kusikia Rais wetu kaongea na simu ya Rais wa China nikajua Kuna suprise inakuja, sasa hii ndio suprise yenyewe.Kukataa mradi wa bagamoyo ilikua na lengo baya kwa mtangulizi wa jpm pia kwanini hilo hulioni unaona tu la mama kutaka majadiliano ili hali mwendazake aliukataa.
Mshale kwa nguruwe..........
Na wengi tuliamini hivyo lakini mkopo wa Trillion 31 katika miaka mitano tu,tena tokea benki za biashara akina EXIM Bank tutawalipisha hadi vitukuu.Kumbe tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.Kama mtu alituaminisha miradi yote ni hela za ndani na deni la Taifa ninapaa tu huyo sio wakuamini ata kidogo.
Mzee akili za aina hii za kuuliza maswali intelligent ya aina hii wanayo only 1 percent ya watanzania, hata hao viongozi sidhani kama wanayo. Tena humu JF sidhani kama utapata mtu wa kukujibu haya maswali, wengi humu ni viazi, sio watu wa kusoma, kujifunza, wengi niMmmmhhhh??? Kwetu sisi raia wa kawaida ambao hatujui huo mkataba inabidi mtufafanulie sintofahamu zilizokuwepo hadi kuwekwa kapuni na sasa kutolewa kapuni. Mkituelewesha cc hatuna shida hasa mambo haya: 1. Mkataba original ulisainiwa lini na nani (pre-signoff)? Je, ulifanyika uhakiki na kujiridhisha (Feasibility study/due diligence)? Tume ya watu wangapi ilihusika? Ulipaswa kuanza lini na kwa nini uliwekwa kapuni, zilikuwa sababu za kisiasa au uzalendo? 2. Mkataba ni wa miaka mingapi? Gharama ya mradi wote ni sh ngapi? 3. Pay back (Return on Investiment- (ROI) ni miaka mingapi? 4. Risk assessment. Je, ni kweli bandari nyingine (Dar, Mtwara, Tanga nk) inabidi zisiendelezwe? Nini faida na madhara (Pro and Cons)? Je, hakuna mwingiliano na objectives za SGR na bandari ya Dar? 5. Je, ni kweli kwamba mapato yote ya bandari yatasimawia na mchina (no revenue visibility)? 6. Je kuna project kama hii ilishanyika na Mchina hapa Africa ikawa na matokeo chanya au hii ya Tz ndo ya kwanza? 7. Na hoja nyingine kutoka kwa wadau wengine kama zipo. Nafikiri iundwe tume kama ilivyokuwa tume ya KATIBA, ikiwa na wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali wakiwemo na vyama vya upinzani wafanye uchambuzi kisha waje na majibu.
Madini si ndio aliwasumbua barrick gold,ndio mpaka makinikia yakazuiwa kuondoka,akafanya juhudi na kijenga ukuta?Katika utawala wote wa CCM hakuna mktaba hata mmoja uliowahi kuwekwa wazi ili tuhoji kama una maslahi kwa taifa, bahati nzuri tu wakati wa Mwalimu na Karume walijali maslahi ya watanzania.
Mikataba ya madini, gesi, mafuta, ununuzi wa ndege, SGR, uwanja wa ndege na bandari ya Bagamoyo haijawahi kuwekwa wazi au kujadiliwa hata bungeni. Na yote imegubikwa na utata. Kwa bahati mbaya JPM alishupalia sana suala la bandari wakati serikali yake imefanya hayo hayo na kudhindwa kurekebisha mikataba aliyoikuta hasa ya madini.
Sasa hapo ndio umeongea nini? Kujenga uwanja wa ndege chato ni justification ya kujenga bandari bagamoyo?Mama ajiridhishe tu, Kama vipi ijengwe tu.Mbona mwenda zake alijenga uwanja wa ndege kwao
Mkuu sidhani kama uko sahihi. Mikataba ya madini ilisainiwa JPM akiwa waziri na wakati huo mtaalamu wa sheria za madini (PhD) sasa hivi ni waziri na ndiyo mikataba iliyoleta mrahaba wa 3%. Na ndiyo mikataba mibovu sana ulimwenguni. Tundu Lissu alipiga kelele sana kuhusu hii mikataba ya madini ambayo kila serikali ya CCM haitaki kuipitia upya.Madini si ndio aliwasumbua barrick gold,ndio mpaka makinikia yakazuiwa kuondoka,akafanya juhudi na kijenga ukuta?
Au mimi ndio sielewi?
Hiko kieneo cha bagamoyo kitakuwa ni koloni la wachina,hiko kipande tunauza nchi yetu.watatusumbua sana wachina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mbowe aliyewaletea chuma chakavu yeye sio tapeli? na bado mkampa uenyekiti...ndo maana nyie mkaitwa nyumbu
wewe ni mtu duni mno kifikravizazi vijavyo ni vipi hivyo? kauli za kijinga tu na kitapeli upumbavu nchi hii shida sana kuisha. Jenga nchi imara fursa kwa wote watakaokuja wakute misingi imara na wao waendeleze. ila usilete kauli ya kijamaa na kijinga vizazi vijavyo au kizazi chako. Ukimuona mtu yoyote anajificha nyuma ya udini na utaifa ogopa sana hao. Mahitaji ya kiuchumi duniani ya leo sio kesho tech inakuwa kwa haraka leo unayoona ni rasimali kesho hata bure hakuna wa kuchukuwa watu wanaendelea wewe utabaki naweka kwa kizazi kijacho.
Gombea uraisi sasa weweLowassa na JPM walikuwa ni matapeli wa kisiasa. Mnamtaja Lowassa mkitegemea kwakuwa alipokelewa na Mbowe, basi mtapata uungwaji mkono na wapinzani. Mkitutajia hayo matapeli ya kisiasa ndio mnatuchafua kinoma.