Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
7,981
Reaction score
17,743
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
 
Labda hawanyonyi chuchu wameamua kunyonya kitu kingine, au wamepitia upya mikataba
 
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Wamebadili mkatabA kuwa wa faida kwa pande zote ule wa mwanzo sio mkataba ni unyonyaji.
 
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Rais alisema wakikubaliana masharti wataruhusiwa, sasa umejuaje kama serikali haijakubaliana nao Kwa sasa?
 
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Watakuwa wamekaa wakabadilisha baadhi ya vifungo.
 
Huu mradi hauna tija yaani ni ujinga kusema Tanzania haitoi hata senti tano kwani huu ni msaada! Hakuna mkopo wa bure na hakuna mwekezaji anayetegemea kupata hasara. Huu utakuwa utumwa kukubali
 
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Kuna mradi wa ovyo kama ule wa kununua mandege ovyo ovyo ?
 
Huo mradi ni deal la jiwe mana nae ni walewale tofauti ni style ya upigaji tu,hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
 
Mbona mara ya kwanza tulijua(kupitia Rais magufuli) kuwa haijakubaliana nao...

Sasa kama sahivi imekubaliana nao wewe ulitaka tujuaje.??
Wakati anaielezea ilikuwa ni katika mazingira gani? Aliongelea kama mfano wa mikataba ya kilagai, sikunhiuo haikuwa ni kwamba tunaongelea bagamoyo, sasa suala la kuongelea Kwa sababu tumekubaliana inategemea kama mazingira hayo yatapatikana, sio issue kama wamekubaliana ndio muhimu kuwepo na win win situation sio Ile wanayokataa Sisi kukagua
 
Cheza na handsome Kikwete!

Huo mradi ni "legacy" yake. Hakuna anaeweza kuuzuia huo.

Jamani eleweni Mtaalamu wangu Magu si kwamba anapinga miradi bali anapinga magumashi yaliyokuwa yamepachikwa ndani ya hiyo mitadi. Kama umeanza basi ni heri
 
Kama wamereview kwa faida za pande mbili si mbaya
Huu mradi utakuwa mkubwa sana, ninacho hofia ushindani wa bandari ya bagamoyo kama wao watakuwa ndiyo wanao kuja kuiendesha wachina wanapiga kazi kweli kweli halafu ni wajanja wajanja sana, tutaweza kuja kushindana nao na bandari yetu ya Dar?
 
Back
Top Bottom