KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Unatuwekea haya yatatusaidia nini.Tanzania ingekuwa hub ya imports kuliko exports kupitia bandari hiyo kama ingekuwa hai leo.
Sir Lanka aliumwa na Nyoka. NGOSHA katumia tahadhari kuliko kuingia kichwa-kichwa
Jihabarishe wengine walivyolizwa
Weka habari za uhakika kuhusu mkataba wenyewe wa Bagamoyo tuyasome wenyewe kuliko kubabaishwa na hizo ngonjera ulizoziweka hapo. Kwanza hukusema umezitoa wapi hizo habari!
Tuwekee hapa tuzisome wenyewe, na sio kuja kutuwekea habari zisizokuwa na kichwa wala miguu.