Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

Kumbe na wewe bibi huwa unapata nyepesi na kutamani mwanaume? Sorry kwa lugha kali bibi yangu! Uhandsome wake haujaongezeka kwa sababu ya dini kweli?
Kashika namba moja Afrika...

Rais alishakataa huu mradi na kuwananga wachina kama wanyinyaji. Ilisemekana kuwa hakuna chochote ambacho serikali itapata. Watanzania wote tuliamini kuwa ulikuwa ni mradi wa kinyonyaji. Mimi nafikiri, hatimaye mheshimiwa kapata alichohitaji kwenye mradi sasa mradi unaweza kuendelea!
Rais alisema wakikubaliana masharti wataruhusiwa, sasa umejuaje kama serikali haijakubaliana nao Kwa sasa?
 
Jambo kama hilo lingeshaandikwa kwenye magazeti. Ukimya uliopo ukilinganisha na siasa zilizokumba mradi huu, haueleweki!
 
Ks

Kama ilivyo daraja la Kigamboni,terminal 3,mwendokasi na reli ya SGR ( JK alisema anampongeza Magufuli kwa kuongeza kipengele Cha kuwa na umeme)
Hata matatizo ya umeme utatuzi wake ulianzia kwa Kikwete.
 
Bandari ya Bagamoyo haitakuwa ya wachina. Itakuwa ya watanzania. Waendeshaji wa hiyo bandari wengi wao watakuwa ni watanzania wakishirikiana na wachina wachache on a win-win 50/50 situation. Mamlaka ya juu ya maamuzi yatakuwa ni ya watanzania.
Tangu hiyo "win-win situation" ilipopata umaarufu kipindi cha makinikia mnataka kuaminisha watu kuna hali kama hiyo kwenye hiyo project ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kwenye makinikia matokeo yalikuja kuwa "win-win situation" au "Winnie-Winnie" situation?
 
Kwani kuna mtu muongo na asiyeaminika kama Rais Magufuli! Lengo lake ni kuipaka matope na kusitisha "mega projects" zilizoanzishwa na JK kwasababu yeye "halambi unga" kupitia miradi hiyo.

We naglia tu anavyoponda miradi ya gesi ya Mtwara na Kilwa na Umeme wa Kinyerezi.
Kama kweli mradi unaendelea basi uje na yeye "anatandaza ulimi" hapo.
Mradi wa Gesi ni wa kifara
 
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Ni ndoto kuvunja huu mkataba rais wa China alikuja kwa mbwembwe sana katika kipindi ambacho serikali ya Kikwete ilikuwa inakopa pesa ili ilipe mishahara ya watumishi wa umma. Ndo wakati huo tukawa tunasikia bank ya Exim(China) yaipa Tanzania mkopo nafuu,nakumbuka mikataba 19 ilisainiwa kwa mbwembwe nyingi huku viongozi wa wakuu wa chama Cha mapinduzi kwa nyakati tofauti( Kinana na mwigulu) wakizulu China kwa mwaliko wa chama Cha kikomunisti Cha China. Hii nchi nizaidi ya muijuavyo......! Meli ya kivita ya China inakuja Tanzania kutoa msaada na kubadilishana uzoefu na wenzao wa Tz lakini in exchange gari za serikali zinatumika kusombelea meno ya tembo kupeleka KWENYE hizo meli.
 
Ni ndoto kuvunja huu mkataba rais wa China alikuja kwa mbwembwe sana katika kipindi ambacho serikali ya Kikwete ilikuwa inakopa pesa ili ilipe mishahara ya watumishi wa umma. Ndo wakati huo tukawa tunasikia bank ya Exim(China) yaipa Tanzania mkopo nafuu,nakumbuka mikataba 19 ilisainiwa kwa mbwembwe nyingi huku viongozi wa wakuu wa chama Cha mapinduzi kwa nyakati tofauti( Kinana na mwigulu) wakizulu China kwa mwaliko wa chama Cha kikomunisti Cha China. Hii nchi nizaidi ya muijuavyo......! Meli ya kivita ya China inakuja Tanzania kutoa msaada na kubadilishana uzoefu na wenzao wa Tz lakini in exchange gari za serikali zinatumika kusombelea meno ya tembo kupeleka KWENYE hizo meli.
 
Rais alishakataa huu mradi na kuwananga wachina kama wanyinyaji. Ilisemekana kuwa hakuna chochote ambacho serikali itapata. Watanzania wote tuliamini kuwa ulikuwa ni mradi wa kinyonyaji. Mimi nafikiri, hatimaye mheshimiwa kapata alichohitaji kwenye mradi sasa mradi unaweza kuendelea!
Ulimsikiliza rais vizuri lakini au unaleta siasa? Alisema masharti ya sasa hayakubaliki lakini wakija na terms nzuri zinazokubalika tutakaa tuongee nao
 
Huu mradi una tija na faida kwa nchi

Namuunga mkono JPM kwa kukubali huu mradi uendelee

Tukiupiga teke huu mradi, Kenya atadominate biashara East Afrika kupitia bandari yake kubwa kabisa ya LAMU inayojengwa na haohao wachina.

Bora na sisi tuweke bandari, ili tuwe hub ya mzigo mkubwa na wa maana kwa ajili ya Interlacustrine countries.

Suala la muda wa lease siyo ishu, maana nchi ni taasisi endelevu, tusiponufaika leo sana watanufaika watoto na wajukuu wetu, tusiwe short sighted
 
Wivu wa kipumbavu tu!Hakutaka sifa ziende kwa JK wa Baga.
 
Back
Top Bottom