Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

Mradi wa bandari Bagamoyo pamoja na Magufuli kusema ni wakinyonyaji lakini unatekelezwa!!!

Kwenye hiyo miradi kabla ya kuwalaumu wachina tatizo ni uchoyo wa raisi aliekuwa madarakani muda huo kwa kupeleka miradi nyumbani kwao kijijini badala ya kufanya mambo kwa maslahi ya nchi.

China bila ya kujali ya kuwa watakuwa hawana uwezo wa kulipa kutokana na demand ndogo ya mizigo given the location of the port na na demand ndogo ya abiria kwenye uwanja wa ndege kutokana na kwamba sehemu yenyewe ni remote bado wakawajengea hiyo miradi.

Why so? waki default wanaendesha wao hasa bandari ambayo waliiweka kama mtego kwa strategy zao za logistic and apparently militarily wanaweza paki manowari zao in the future.

Ndio ujue hiyo port ya Bagamoyo hawafikirii sana sisi ni maslahi yao ndio swala la msingi, je sisi tunajua ina maslahi gani kwetu au ina impact gani za kiuchumi.

Wanaojua ni watu wale wale waliosaini mikataba mibovu na ndio hao hao leo walishindwa kupata better deal na ACCACIA na wanaotoa ushauri wa investment za ovyo; bila ya kuutoa huo mkataba kujadiliwa hili kupata mtazamo wa wengi. Kwa kudra za mungu hii investment inaweza kuwa blessing or a very bad one yenye manufaa kwa China tu.
 
Unaweza kukuta alipiga mkwara maana JK na genge lake ndio walipata 10% yao, ila kwa sasa na yeye si ajabu kapatiwa 10% yake hivyo anapitisha kimya kimya. Uzalendo hauna ubavu mbele ya 10%.
Naunga mkono Hoja yako kwa 100%
 
Asipoijenga hiyo Bandari ya Bagamoyo ujue kikwete atakuwa na kinyongo nae ingawa hatakionyesha machoni live
 
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Unapoleta bandiko kama hili eleza kwa undani ni kwa jinsi na namna gani mradi sasa unatekelezwa badala ya kujikita na lawama.

Kwa taarifa yako, nyuma ya pazia, makandokando yaliyoambatana na mkataba wa mradi huo yamefagiliwa mbali. Kwa hivyo unatekelezwa katika kile kinachoitwa "win-win situation" yaani mwekezaji na Taifa wote watafaidika na mradi huo.
 
Huu mradi utakuwa mkubwa sana, ninacho hofia ushindani wa bandari ya bagamoyo kama wao watakuwa ndiyo wanao kuja kuiendesha wachina wanapiga kazi kweli kweli halafu ni wajanja wajanja sana, tutaweza kuja kushindana nao na bandari yetu ya Dar?
Bandari ya Bagamoyo haitakuwa ya wachina. Itakuwa ya watanzania. Waendeshaji wa hiyo bandari wengi wao watakuwa ni watanzania wakishirikiana na wachina wachache on a win-win 50/50 situation. Mamlaka ya juu ya maamuzi yatakuwa ni ya watanzania.
 
Hata marehemu walidai ni mnyonyaji kwani muziki una maziwa?
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
 
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...

Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..

Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?

Kama mikataba imepitiwa upya, kuna ubaya gani?
 
Muda utaleta majibu sahihi. Naona wote mnajaribu kuhisi majibu na wakati mwingine kuwalisha watu maneno. Muda utakuja na majibu sahihi tuusubiri uje
Ni kweli kabisa. Kama hayo yaliyoelezwa na Azam TV ni ya ukweli, tutayashuhudia wakati JPM atakapokuwa anafungua jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo na hapo ndipo tutaelezwa yote yaliyoajili kwenye mkataba huo ambao pale awali tulitaka kutupiga.
 
Nafikiri China wameamua kucheza kwa akili. Africa nzima imeanza kuwaogopa
 
Mkandarasi ni nani? Na vipi kuhusu mashart ya mkataba ni Yale Yale au? Mapya

Zama kiundani ndo ulete Uzi kamili tujue tunaanzia wapi
 
Back
Top Bottom