Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Labda hawanyonyi chuchu wameamua kunyonya kitu kingine, au wamepitia upya mikatabaNimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
kama wamepitia upya inabidi aje atuambie tena nini kimebadilikaLabda hawanyonyi chuchu wameamua kunyonya kitu kingine, au wamepitia upya mikataba
Wamebadili mkatabA kuwa wa faida kwa pande zote ule wa mwanzo sio mkataba ni unyonyaji.Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Rais alisema wakikubaliana masharti wataruhusiwa, sasa umejuaje kama serikali haijakubaliana nao Kwa sasa?Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Watakuwa wamekaa wakabadilisha baadhi ya vifungo.Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Watakuwa wamekaa wakabadilisha baadhi ya vifungo.
Cheza na handsome Kikwete!
Huo mradi ni "legacy" yake. Hakuna anaeweza kuuzuia huo.
"ufara" ndiyo nini?Ni kweli kikwete ni kiboko ,lkn kama utakuwa na vipengele tulivyovisikia basi hapo hakuna legacy ni ufara.
Rais alisema wakikubaliana masharti wataruhusiwa, sasa umejuaje kama serikali haijakubaliana nao Kwa sasa?
Kuna mradi wa ovyo kama ule wa kununua mandege ovyo ovyo ?Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Nimeangalia kipindi Azam Tv wanaonyesha namna ya huu mradi utakavyo kuwa, yaani Tanzania haitatumia hata sent tano...
Lakini Magufuli alisema huu mradi ni wakinyonyaji na haufai kutekelezwa lakini leo nimeona kwenye kipindi Azam Tv wakisema mradi utaanza kutekelezwa..
Ni kweli huu mradi wa kinyonyaji utatekelezwa?
Wakati anaielezea ilikuwa ni katika mazingira gani? Aliongelea kama mfano wa mikataba ya kilagai, sikunhiuo haikuwa ni kwamba tunaongelea bagamoyo, sasa suala la kuongelea Kwa sababu tumekubaliana inategemea kama mazingira hayo yatapatikana, sio issue kama wamekubaliana ndio muhimu kuwepo na win win situation sio Ile wanayokataa Sisi kukaguaMbona mara ya kwanza tulijua(kupitia Rais magufuli) kuwa haijakubaliana nao...
Sasa kama sahivi imekubaliana nao wewe ulitaka tujuaje.??
Cheza na handsome Kikwete!
Huo mradi ni "legacy" yake. Hakuna anaeweza kuuzuia huo.
Huu mradi utakuwa mkubwa sana, ninacho hofia ushindani wa bandari ya bagamoyo kama wao watakuwa ndiyo wanao kuja kuiendesha wachina wanapiga kazi kweli kweli halafu ni wajanja wajanja sana, tutaweza kuja kushindana nao na bandari yetu ya Dar?Kama wamereview kwa faida za pande mbili si mbaya