luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Phase one kaka ile ilikuwa ni sponsored by WB kama sikosei ..ndio maana standard ilikuwa ya hali ya juu sanaa, na ndio maana kipindi kile nchi nyingi za Africa zilikuwa zina letwa kuja kuutazama mradi wa mfano wa kwanza wa BRT in SSC, hata wakat wapo ktk interim yaan kulikuwa na standard sanaa, dereva alikuwa ana tangaza jina lake, ana karibisha abiria ..yaan ilikuwa classic sanaa lkn kinachoendelea sasa ni MAKIMBA matupuuuuu in term.of service
Sasa in term of miundombinu aisee Wajerumani wale walifanya kazi bana, na hapa ndio tunaona tofauti sasa ...pale Ubungo terminal jamaa walichimbaaa pale,
Mfano ktk ivi vituo vya BRT vya zaman vile vituo ni zege tupu, lkn hii ya mbagala naona jamaa wame panga tofali kama za fundi michael sasa pale ..mlori ukigonga si kituo chote kushnei....