Mradi wa barabara ya mwendokasi Kilwa Road

Mradi wa barabara ya mwendokasi Kilwa Road

Nyufa kwenye zege
Nawe umeliona hilo !!
Ule mkeka (slab) sio kabisa yaani kuna maeneo umemwang'anyuka wakachapia kama siyo kupiga plaster.
Mwanzo nilidhani ni expansion joint kumbe siyo ni nyufa zimepasua kiaina.
 
Nawe umeliona hilo !!
Ule mkeka (slab) sio kabisa yaani kuna maeneo umemwang'anyuka wakachapi kama siyo kupiga plaster.
Mwanzo nilidhani ni expansion joint kumbe siyo ni nyufa zimepasua kiaina.

Aiseee
 
Waliojenga DART ya Morogoro road bdo wangepewa miradi yote.

Wachina sio watu wa kuwaamini.
Waliojenga ya Moro road pesa iliishia njiani,wakakataa pesa isiyokidhi viwango,wakamalizia wahindi
 
Huyu mchina Rais alimuomgelea kupewa tenda wakati uwezo hana
 
Waliojenga ya Moro road pesa iliishia njiani,wakakataa pesa isiyokidhi viwango,wakamalizia wahindi

Umechanganya DART ya morogoro road ni kimara kuja town na ile pesa Tanzania hatukumlipa mkandarasi. Ni WB ndio walimlipa sisi tulisubiri mradi kama ilivyokua flyover zote

Ile morogoro ni highway
 
Umechanganya DART ya morogoro road ni kimara kuja town na ile pesa Tanzania hatukumlipa mkandarasi. Ni WB ndio walimlipa sisi tulisubiri mradi kama ilivyokua flyover zote

Ile morogoro ni highway
Mbona palikua na delays ikiwa tulimlipa sisi!?..mradi 7k uchukue miaka minne!!?
 
Mchina ni kama paka kwenye ushirikina. Katumwa tu, mchawi mwenyewe yupo nyuma kajificha asionekane!
 
Back
Top Bottom