Nawe umeliona hilo !!Nyufa kwenye zege
Nawe umeliona hilo !!
Ule mkeka (slab) sio kabisa yaani kuna maeneo umemwang'anyuka wakachapi kama siyo kupiga plaster.
Mwanzo nilidhani ni expansion joint kumbe siyo ni nyufa zimepasua kiaina.
Waliojenga DART ya Morogoro road bdo wangepewa miradi yote.Kwanini.wasinge wapa wachina walio.jenga flyover ya ubungo?
Waliojenga ya Moro road pesa iliishia njiani,wakakataa pesa isiyokidhi viwango,wakamalizia wahindiWaliojenga DART ya Morogoro road bdo wangepewa miradi yote.
Wachina sio watu wa kuwaamini.
10 percentSijui kwanini Mjerumani wa Starbarg ambaye kajenga poa sana Morogoro RD hakuachwa aendelee na phase zingine badala yake kanyang'anywa na kupewa Mchina substanard
Phase 1 Jakaya...
Phase 2 Magu...
Jiwe kwa sababu ulianza kipindi chake na Maushungi kuendelea kumkumbatia.Nani tumshushie zigo la mavi
Waliojenga ya Moro road pesa iliishia njiani,wakakataa pesa isiyokidhi viwango,wakamalizia wahindi
Mbona palikua na delays ikiwa tulimlipa sisi!?..mradi 7k uchukue miaka minne!!?Umechanganya DART ya morogoro road ni kimara kuja town na ile pesa Tanzania hatukumlipa mkandarasi. Ni WB ndio walimlipa sisi tulisubiri mradi kama ilivyokua flyover zote
Ile morogoro ni highway
Mbona palikua na delays ikiwa tulimlipa sisi!?..mradi 7k uchukue miaka minne!!?