Mradi wa bomba la gesi asili toka Tanzania kwenda Kenya

Kenya ni ndugu na faida tuitakayopata katika ukanda wetu nu kubwa zaidi kuliko kusafirisha gesi kwenda Ulaya. Ajira zitaongezeka viwandani na kipato cha wananchi kinataongezeka. Uchumi wa Kenya au Tanzania ukipanda ni faida zaidi kwetu Tanzania na kwa Kenya kuliko Uchumi wa Ulaya.
 
Ivi kwanini tusiwasaidie Mozambique kuwatimua al Qaeda af tujenge bomba
then tutumie plant yao?
nawaza kwa sauti tuu


pia bila kuacha kujenga bomba malawi uganda kenya zambia
 
Ivi kwanini tusiwasaidie Mozambique kuwatimua al Qaeda af tujenge bomba
then tutumie plant yao?
nawaza kwa sauti tuu


pia bila kuacha kujenga bomba malawi uganda kenya zambia
Kwahyo tutoe maelfu ya ajira Tz tupeleke Mozambique eti!! Wacha nchi zao zipambane zenyewe, kwnz ndiyo fursa kwa nchi yetu mana investors watajiuliza waende Mozambique au waje Tz, km bomba la mafuta la hoima-tanga unadhani tumelipataje?
 
Ivi kwanini tusiwasaidie Mozambique kuwatimua al Qaeda af tujenge bomba
then tutumie plant yao?
nawaza kwa sauti tuu


pia bila kuacha kujenga bomba malawi uganda kenya zambia
Kila nchi inataka uwekezaji ufanyike nchini kwake, huoni Kenyans walivyokasirika walipokosa bomba la Uganda?.

Pili ni kwamba kiwanda cha gas ni Private investigators ndio wenye kuamua jinsi ya kuisafirisha katika soko la dunia, wataamua vile wapendavyo.

Dalili zote zinaonyesha kwamba, Msumbiji tutawapiga bao kama tulivyowafanya wakenya kutokana na sababu za kiusalama, hatuombi usalama uzidi kuendelea kuzorota Msumbiji, lakini kwa mbali ninaona kuna fursa inakuja kwa kasi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo watakapojua umuhimu wa peace [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu hawajui humu wanadhani tunawaombea dhiki majirani zetu kumbe cc tuna yetu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi na waarabu wa Misri wapi na wapi hadi niwashabikie kuishambulia Ethiopia?, kuna fursa ninaiona mwishoni mwa bomba (tunnel)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 

Umeme wetu una soko bila hata ya Ethiopia kushambuliwa kumbuka sie tuko connected to both Eastern Africa and Southern Africa power pools! The maret is immense ukizingatia nchi nyingi SADC na South Africa yenyewe inahitaji umeme. worry not look beyond EA!
 
wakichinjana wacha wachinjane tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna nchi moja nataka kuhakikisha hawana mlango wa kutokea bila kupiga magoti ( Ukimaliza kuisoma hii Post ifute Tony254 asione).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mtu akikutegemea kwa
1)Chakula
2)Gas
3)Umeme
4)Raw materials
5) Njia kuu na muhimu kupitisha bidhaa zake

Hivi hata ukimuambia shika ukuta atakataa? [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilivyo na roho mbaya, ikiwezekana wakati ndege za Egypt zinalipiga bwawa la Ethiopia, zikosee njia zikalibomoe hata lile la Uganda ambalo ndio pekee wanalotegemea, nina hasira nao sana kupitiliza,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
sasa utamfanya Museveni atuondolee deal la bomba! Polepole kijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…