Mradi wa bomba la gesi asili toka Tanzania kwenda Kenya

Binafsi siamini kama Kenya kuna Uchumi wa kuhalalisha uwekezaji wa 1 bilion USD, hiyo ni pesa nyingi sana, na hakuna Viwanda wala households za kurudisha hiyo gharama, Uchumi wao hautoshi, kwa maoni yangu ni bora Gesi yetu tungejikita kwenye kuexport kwenye Industrialized countries, huko ndiko kutakapo lipa, kama tukijaza Meli na Gesi na kuiuza Ulaya, Asia au hata USA ingawaje wana yao pia, lkn hasa Ulaya na Asia italipa, lkn kwa Kenya Uchumi wao ni mdogo mno kuhalalisha 1 billion Dollar USD investment hasa kama italipwa na walipa kodi wa uchumi mdogo kama wetu au Kenya.
Kenya ni ndugu na faida tuitakayopata katika ukanda wetu nu kubwa zaidi kuliko kusafirisha gesi kwenda Ulaya. Ajira zitaongezeka viwandani na kipato cha wananchi kinataongezeka. Uchumi wa Kenya au Tanzania ukipanda ni faida zaidi kwetu Tanzania na kwa Kenya kuliko Uchumi wa Ulaya.
 
Njia bora na nafuu duniani kote ni kusambaza kwa njia ya bomba, tatizo ni kuifikisha katika masoko ya mbali ambako huko ndiko unakotumika kwa wingi, hapo ndio tunalazimika kutafuta wawekezaji ili wajenge kiwanda cha LNG ili iweze kusafirushwa kwenda Ulaya, China na Marekani.

Hapa nchini na nchi za jirani, kitu muhimu ni kujenga mabomba ili kutumia CNG moja kwa moja toka mtwara ili kupunguza gharama zitokanazo na na mlolongo mzima wa Kuigeuza kuwa LNG, kuisafirisha na mitungi ambayo ni ghali Sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ivi kwanini tusiwasaidie Mozambique kuwatimua al Qaeda af tujenge bomba
then tutumie plant yao?
nawaza kwa sauti tuu

pia bila kuacha kujenga bomba malawi uganda kenya zambia
 
Kwahyo tutoe maelfu ya ajira Tz tupeleke Mozambique eti!! Wacha nchi zao zipambane zenyewe, kwnz ndiyo fursa kwa nchi yetu mana investors watajiuliza waende Mozambique au waje Tz, km bomba la mafuta la hoima-tanga unadhani tumelipataje?
 
Ivi kwanini tusiwasaidie Mozambique kuwatimua al Qaeda af tujenge bomba
then tutumie plant yao?
nawaza kwa sauti tuu

pia bila kuacha kujenga bomba malawi uganda kenya zambia
Kila nchi inataka uwekezaji ufanyike nchini kwake, huoni Kenyans walivyokasirika walipokosa bomba la Uganda?.

Pili ni kwamba kiwanda cha gas ni Private investigators ndio wenye kuamua jinsi ya kuisafirisha katika soko la dunia, wataamua vile wapendavyo.

Dalili zote zinaonyesha kwamba, Msumbiji tutawapiga bao kama tulivyowafanya wakenya kutokana na sababu za kiusalama, hatuombi usalama uzidi kuendelea kuzorota Msumbiji, lakini kwa mbali ninaona kuna fursa inakuja kwa kasi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo ndipo watakapojua umuhimu wa peace [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kila nchi inataka uwekezaji ufanyike nchini kwake, huoni Kenyans walivyokasirika walipokosa bomba la Uganda?.

Pili ni kwamba kiwanda cha gas ni Private investigators ndio wenye kuamua jinsi ya kuisafirisha katika soko la dunia, wataamua vile wapendavyo.

Dalili zote zinaonyesha kwamba, Msumbiji tutawapiga bao kama tulivyowafanya wakenya kutokana na sababu za kiusalama, hatuombi usalama uzidi kuendelea kuzorota Msumbiji, lakini kwa mbali ninaona kuna fursa inakuja kwa kasi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu hawajui humu wanadhani tunawaombea dhiki majirani zetu kumbe cc tuna yetu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi na waarabu wa Misri wapi na wapi hadi niwashabikie kuishambulia Ethiopia?, kuna fursa ninaiona mwishoni mwa bomba (tunnel)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi na waarabu wa Misri wapi na wapi hadi niwashabikie kuishambulia Ethiopia?, kuna fursa ninaiona mwishoni mwa bomba (tunnel)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Umeme wetu una soko bila hata ya Ethiopia kushambuliwa kumbuka sie tuko connected to both Eastern Africa and Southern Africa power pools! The maret is immense ukizingatia nchi nyingi SADC na South Africa yenyewe inahitaji umeme. worry not look beyond EA!
 
Mimi na waarabu wa Misri wapi na wapi hadi niwashabikie kuishambulia Ethiopia?, kuna fursa ninaiona mwishoni mwa bomba (tunnel)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
wakichinjana wacha wachinjane tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umeme wetu una soko bila hata ya Ethiopia kushambuliwa kumbuka sie tuko connected to both East African and Southern Africa power pools! The maret is immense ukizingatia nchi nyingi SADC na South Africa yenyewe inahitaji umeme. worry not look beyond EA!
Kuna nchi moja nataka kuhakikisha hawana mlango wa kutokea bila kupiga magoti ( Ukimaliza kuisoma hii Post ifute Tony254 asione).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Umeme wetu una soko bila hata ya Ethiopia kushambuliwa kumbuka sie tuko connected to both East African and Southern Africa power pools! The maret is immense ukizingatia nchi nyingi SADC na South Africa yenyewe inahitaji umeme. worry not look beyond EA!
Mtu akikutegemea kwa
1)Chakula
2)Gas
3)Umeme
4)Raw materials
5) Njia kuu na muhimu kupitisha bidhaa zake

Hivi hata ukimuambia shika ukuta atakataa? [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilivyo na roho mbaya, ikiwezekana wakati ndege za Egypt zinalipiga bwawa la Ethiopia, zikosee njia zikalibomoe hata lile la Uganda ambalo ndio pekee wanalotegemea, nina hasira nao sana kupitiliza,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Nilivyo na roho mbaya, ikiwezekana wakati ndege za Egypt zinalipiga bwawa la Ethiopia, zikosee njia zikalibomoe hata lile la Uganda ambalo ndio pekee wanalotegemea, nina hasira nao sana kupitiliza,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
sasa utamfanya Museveni atuondolee deal la bomba! Polepole kijana!
 
Back
Top Bottom