Kila nchi inataka uwekezaji ufanyike nchini kwake, huoni Kenyans walivyokasirika walipokosa bomba la Uganda?.
Pili ni kwamba kiwanda cha gas ni Private investigators ndio wenye kuamua jinsi ya kuisafirisha katika soko la dunia, wataamua vile wapendavyo.
Dalili zote zinaonyesha kwamba, Msumbiji tutawapiga bao kama tulivyowafanya wakenya kutokana na sababu za kiusalama, hatuombi usalama uzidi kuendelea kuzorota Msumbiji, lakini kwa mbali ninaona kuna fursa inakuja kwa kasi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app