Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
gesi inatumika moja kwa moja kwa ajili ya home heating kwa wale wenye pipelines kama viwanda na pia kwa mitungi na pia kuzalisha umeme kwa gas to power generators. Unajua ile ya magari sisi tuna LNG ambayo tunaifanya CNG! tatizo sisi gesi yetu ni methani na si propane ambayo ni LPG na ina ubora zaidi kwenye magari ikiwemo urahisi wa kubadili magari kutumia LPG zaidi ya CNG!Ngumu kumesa mzee. Sasa hii gas ya hawa makonde waliokataa haitoki Mtwara, imesaidia nini hadi sasa?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ya Mozambique ndio itakuwa ya kwanza Afrika. Eni (kampuni kutoka Italia) imeshaanza kujenga kiwanda cha kucompress gas. Kiwanda hicho kinajengwa ndani ya meli kisha meli hiyo italetwa na kufungwa karibu na ufuo wà bahari ya Mozambique. Plan yao ilikuwa ni kuanzisha kucompress gas mwaka wa 2022 lakini sijui kama hilo litawezekana ukizingatia jinsi wanamgambo wa kiislamu wanavyoshambulia port na vijiji vingi.Kaka gesi yoyote iliyopo ndani ya mtungi ni "Liquid form", yaani imekuwa "Compressed tayari. Hapa Africa hakuna kiwanda hata kimoja kinachofanya hivyo, hizo gesi zote zinatoka Uarabuni na mashariki ya kati.
Kama kiwanda kitajengwa mtwara kama tunavyotegemea huenda kikawa ndio cha kwanza Africa, hiyo haina maana kwamba gasi za kwenye mitungi zitapungua bei kwasababu kiwanda kipo Tanzania.
Chukulia mfano wa maji ya kunywa, chupa moja ya maji ya Lita moja ni Tsh 500, Lakini ndoo moja ya maji ya Lita 20 kwenye kiosk cha serikali ni Tsh 50. Kwahiyo mkombozi wa wananchi ni pipe za Vodacom gesi majumbani sio gesi za kwenye mitungi, hicho kiwanda ni kwa ajili ya biashara.
Mbona munakubali kupata 3% kwa migodi yenu? Yaani nani alituroga sisi Waafrika? Yaani rasilimali ni yenu lakini mwekezaji anakupea asilimia tatu na kuweka zilizobaki mfukoni? Aisee, hii ndio maana Tanzania ni masikini. Migodi haiwezi kuwatajirisha. Itatajirisha wawekezaji tu. Hii ndio maana Kenya hata bila migodi bado tunakusanya ushuru karibu mara dufu yenu. Fungeni migodi yote na mufukuze hao kupe hadi mupate wawekezaji watakaowalipa 20%.Ni nyingi sana kwa ukubwa wa Uchumi wa Tanzania, ukitaka kujua 1 bilion USD ni kiasi fikiria hili, Mgodi mzima wa Buzwagi thamani yake ilikuwa ni Milioni 300 USD, lkn Serikali ilitafuta muwekezaji kwa kuwa pamoja na mambo mengine haikuwa na hizo fedha, hivyo ina maana kwa 1 bilioni USD tuna uwezo wa kuwa na Migodi 2 kama Buzwagi na kubakia chenji, Migodi ambayo tungeimiliki kwa 100% na siyo kupata 3%, sasa kwa nini tutumiie 1 billion USD kujenga Bomba la mafuta kwenda Kenya ambapo hata haitolipa?
Huyo Mkikuyu- Akili timamu ni Mtanzania anayeishi hapa Nairobi. Hata kiswahili chake ni cha Kitanzania.
Nadhani lengo lako ni kuonyesha kwamba Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]. Huu ni muendelezo wa Kenya vs Tanzania rivalry jambo ambalo wewe mwenyewe umekua ukilipigia kelele sana kwamba linarudisha nyuma biashara kati ya hizi nchi mbili.Ya Mozambique ndio itakuwa ya kwanza Afrika. Eni (kampuni kutoka Italia) imeshaanza kujenga kiwanda cha kucompress gas. Kiwanda hicho kinajengwa ndani ya meli kisha meli hiyo italetwa na kufungwa karibu na ufuo wà bahari ya Mozambique. Plan yao ilikuwa ni kuanzisha kucompress gas mwaka wa 2022 lakini sijui kama hilo litawezekana ukizingatia jinsi wanamgambo wa kiislamu wanavyoshambulia port na vijiji vingi.
Ghana na South Africa wanapata kiasi gani?, wacha kupiga kelele kama hujui lolote, Nani aliyesema hiyo 3% ni tax inayokusanywa na TRA?, hiyo pesa ni nje ya kodi za serikali. Hivi makampuni ya Kenya yanayowekeza Tanzania katika kilimo yanatoa gawio kwa serikali kiasi gani cha faida yao ukiacha kodi wanayolipa?Mbona munakubali kupata 3% kwa migodi yenu? Yaani nani alituroga sisi Waafrika? Yaani rasilimali ni yenu lakini mwekezaji anakupea asilimia tatu na kuweka zilizobaki mfukoni? Aisee, hii ndio maana Tanzania ni masikini. Migodi haiwezi kuwatajirisha. Itatajirisha wawekezaji tu. Hii ndio maana Kenya hata bila migodi bado tunakusanya ushuru karibu mara dufu yenu. Fungeni migodi yote na mufukuze hao kupe hadi mupate wawekezaji watakaowalipa 20%.
Kwahiyo hata MK254 mwenye Kiswahili kizuri kuwazidi hata baadhi ya Watanzania pia ni Mtanzania?Huyo Mkikuyu- Akili timamu ni Mtanzania anayeishi hapa Nairobi. Hata kiswahili chake ni cha Kitanzania.
Meli hio ambayo itakuwa na kiwanda cha kucompress gas inajengwa South Korea. Soma hii article. Ujenzi utakamilika 2022Nadhani lengo lako ni kuonyesha kwamba Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]. Huu ni muendelezo wa Kenya vs Tanzania rivalry jambo ambalo wewe mwenyewe umekua ukilipigia kelele sana kwamba linarudisha nyuma biashara kati ya hizi nchi mbili.
Hivi unao uhakika gani kwamba Msumbiji ndio itajenga na kuanza uzalishaji mbele ya Tanzania?, unaweza kuonyesha hatua walizofikia Mozambique vs Tanzania?.
Sama hii utaelewa ujenzi ulipofikia. Wameshaanza kuweka mashine na viwanda juu ya meli hiyo.Nadhani lengo lako ni kuonyesha kwamba Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]. Huu ni muendelezo wa Kenya vs Tanzania rivalry jambo ambalo wewe mwenyewe umekua ukilipigia kelele sana kwamba linarudisha nyuma biashara kati ya hizi nchi mbili.
Hivi unao uhakika gani kwamba Msumbiji ndio itajenga na kuanza uzalishaji mbele ya Tanzania?, unaweza kuonyesha hatua walizofikia Mozambique vs Tanzania?.
Hii sio mambo ya battle kati ya KE na TZ. Mimi nazungumza ukweli tu. Kama unijuavyo, ukweli ndio kitu cha muhimu kwangu. Kwanza TZ haijasign revenue sharing contract na wawekezaji. Pili, Mwekezaji hajatoa FID (final investment decision). Tatu, mwekezaji hajaanza kujenga kiwanda hapo TZ.Nadhani lengo lako ni kuonyesha kwamba Tanzania haiwezi kuwa nchi ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]. Huu ni muendelezo wa Kenya vs Tanzania rivalry jambo ambalo wewe mwenyewe umekua ukilipigia kelele sana kwamba linarudisha nyuma biashara kati ya hizi nchi mbili.
Hivi unao uhakika gani kwamba Msumbiji ndio itajenga na kuanza uzalishaji mbele ya Tanzania?, unaweza kuonyesha hatua walizofikia Mozambique vs Tanzania?.
Mimi nilikua nikimaanisha ujenzi wa Kiwanda hapa Africa, kwa kutumia hizi meli, Msumbiji itawahi kuvuna hiyo gasi, lakina haitokuwa na Kiwanda jambo ambalo litaifanya Msumbiji kushindwa kuivuna gesi yao iliyoko nchi kavu(on shore discovery).Sama hii utaelewa ujenzi ulipofikia. Wameshaanza kuweka mashine na viwanda juu ya meli hiyo.
First Topside Module Lifted on Coral South FLNG Hull
Onshore bado ujenzi haujaanza ila Total, Eni na makampuni mengine yako interested sana kujenga onshore. Ila itachukua miaka nyingi kabla ya kiwanda cha onshore kukamilika, nadhani hii ndio sababu wameamua kujenga kiwanda offshore ili waanze kuzalisha haraka kabla kiwanda cha onshore kujengwa na kukamilika. Hata US imeprovide insurance ya $1.5 billion ili kuinsure assets za kampuni zitakazojenga onshore.Mimi nilikua nikimaanisha ujenzi wa Kiwanda hapa Africa, kwa kutumia hizi meli, Msumbiji itawahi kuvuna hiyo gasi, lakina haitokuwa na Kiwanda jambo ambalo litaifanya Msumbiji kushindwa kuivuna gesi yao iliyoko nchi kavu(on shore discovery).
Yes Mozambique watatangulia kuzalisha "LNG" lakini hawatokuwa na Kiwanda Cha LNG, hizi meli huwa zinahama toka nchi moja hadi nyengine kutokana na sababu mbalimbali.
Bado ninarudia pale pale kwamba wakenya mnachuki na Magufuli ndio sababu hizi nchi mbili hatutoelewana. Kikwete kwa kipindi chote cha miaka kumi alichokaa, hata ardhi ya ujenzi wa hicho kiwanda ilikua haijapatikana, ni Magufuli ndiye aliyewezesha kupatikana Ardhi na kuwakabidhi wawekezaji.Hii sio mambo ya battle kati ya KE na TZ. Mimi nazungumza ukweli tu. Kama unijuavyo, ukweli ndio kitu cha muhimu kwangu. Kwanza TZ haijasign revenue sharing contract na wawekezaji. Pili, Mwekezaji hajatoa FID (final investment decision). Tatu, mwekezaji hajaanza kujenga kiwanda hapo TZ.
Upande wa Mozambique, mkataba kati ya serikali na mwekezaji ulitiwa saini zamani. Mwekezaji ameshatoa final investment decision (yaani mwekezaji ameshaamua kuenda mbele na ujenzi) halafu tatu, mwekezaji amesha order ujenzi wa meli iliyobeba kiwanda cha kucompress gas kianze kujengwa huko South Korea.
sasa sijui ni kwa nini huoni kuwa Mozambique walishawapita zamani na wao ndio watakuwa wa kwanza kucompress gesi. Kama Kikwete bado angekuwa rais basi mngekuwa wa kwanza kwa sababu yeye alijua jinsi ya kuongea na wawekezaji na kuwapa matumaini, ila huyu wa sasa anatia wawekezaji uoga hadi wanatoroka.
Kwahiyo nilikua sahihi niliposema kama hicho kiwanda cha Mtwara kitajengwa kama ratiba ilivyo kwa sasa, Tanzania itakua nchi ya kwanza Africa kuwa na hicho kiwanda..Onshore bado ujenzi haujaanza ila Total, Eni na makampuni mengine yako interested sana kujenga onshore. Ila itachukua miaka nyingi kabla ya kiwanda cha onshore kukamilika, nadhani hii ndio sababu wameamua kujenga kiwanda offshore ili waanze kuzalisha haraka kabla kiwanda cha onshore kujengwa na kukamilika. Hata US imeprovide insurance ya $1.5 billion ili kuinsure assets za kampuni zitakazojenga onshore.
US okays $1.5bln insurance for Mozambique gas project - ET EnergyWorld
La hasha. Mozambique pia anataka kujenga onshore. Sio ninyi pekee mnayo huo mpango wa onshore. Mwekezaji wenu hajatoa FID. Yaani ni lazima mwekezaji amue kirasmi kusonga mbele na ujenzi ndio tutajua kama ujenzi utafanyika. US imeweka $1.5 billion kama insurance dhidi ya mashambulizi ya kigaidi ili kampuni ziweze kupata motisha ya kuinvest onshore. Yaani wewe huoni kwamba kila mwekezaji anafanya juu chini ili kupata nafasi ya kuwekeza huko. US haitoi pesa ovyo ovyo.Kwahiyo nilikua sahihi niliposema kama hicho kiwanda cha Mtwara kitajengwa kama ratiba ilivyo kwa sasa, Tanzania itakua nchi ya kwanza Africa kuwa na hicho kiwanda..
Sisi hatuna haja sana na gas yenu. Kaeni nayo. Maisha itaendelea tu hapa Kenya hata bila gas yenuHuu mradi ni mzuri, ila utakuwa unatuvuta shati kwa spidi tunayokimbia. Strategy ni ku-pull investors to the south kwa kuhakikisha kuna sera nzuri na gharama ndogo za uzalishaji. Hivyo hili litazamwe vizuri.. halafu namsupport Barbarosa huo mradi ni mkubwa.. kupata ROI itachukua muda na vile uchumi wa kenya umeanguka na kuelemewa na madeni ni shida tupu. Tusije ingia mtego wa white elephant maana hao jamaa hamna kitu.
Katka ujenzi wa kiwanda Tanzania tupo katika hatua za mbali sana ukilinganisha na Msumbiji. Mambo ambayo yatasababisha Mozambique wasijenge kiwanda onshore kwa haraka niLa hasha. Mozambique pia anataka kujenga onshore. Sio ninyi pekee mnayo huo mpango wa onshore. Mwekezaji wenu hajatoa FID. Yaani ni lazima mwekezaji amue kirasmi kusonga mbele na ujenzi ndio tutajua kama ujenzi utafanyika. US imeweka $1.5 billion kama insurance dhidi ya mashambulizi ya kigaidi ili kampuni ziweze kupata motisha ya kuinvest onshore. Yaani wewe huoni kwamba kila mwekezaji anafanya juu chini ili kupata nafasi ya kuwekeza huko. US haitoi pesa ovyo ovyo.
US okays $1.5bln insurance for Mozambique gas project - ET EnergyWorld
Ni kweli hatujui ni nchi gani itafaulu kucompress gas ya kwanza kati ya TZ na Mozambique ila dalili zote zinaashiria kuwa itakuwa Mozambique
Ten years from now, Kenya itakua katika hali mbaya sana bila hii gesi au kuungwa na umeme wa Julius Nyerere hydroelectricity dam.Sisi hatuna haja sana na gas yenu. Kaeni nayo. Maisha itaendelea tu hapa Kenya hata bila gas yenu