joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #221
Sasa hapo wapi nimekosea?, au unataka kucheza na Lugha ili kuhalalisha " your ignorance?". Kama mtu akiuliza hii gas ya kupikia katika mutungi (LNG). Inatoka wapi, ukimpa hilo jibu langu uliloweka hapo kuna kosa gani?, hapo maana yake ni kwamba Afrika nzima hakuna kiwanda cha Liquefied gas ambayo ndio inajanzwa katika mitungi kwa ajili ya matumizi ya majumbani, au wewe ulishaona gas gani inayotumika katika mitungi ya majumbani ambayo sio Liquid form?on record Huu ndo uropokaji uliofanya! [emoji3516]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app