Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Zilikuwa propaganda tu hizo za wapinga mradi kwa malengo yao.
 
Wote hao ni furushi la sangara waliooza
 
May be,lakini Dar Moro SGR haikumalizika wala kuanza kutumika.katika miaka 5 ya mjomba Magu.
Miradi ya kukurupuka bila kuwa na vyanzo vya uhakika vya fedha.
Ni kweli lakini angalau ingekuwepo nuru juu ya miradi hii, kwa sasa matumaini ni madogo mno.
 
Wakati mwingine mawaziri wawe wanaheshimu akili za raia. Yaani Makamba anatuambia uwongo wa wazi kama vile sote ni wajinga hatujui mifumo ya ugavi wa umeme?


Tanzania tunaliwa sana sasa hivi. Yaani miaka mitano ya utawala wa magufuli kweli umeua transformer zote kwenye substations zote zinahitajiwa mpya, porcelain insulators zote za kwenye transmission line zote zimepasuka pasuka zinahitajiwa kuwekwa mpya. Na hata zile aluminium conductors hazifai kwa vile hazikufunikwa, itabidi tuwekewe mpya ziliziofunikwa. maajabu kweli haya.
 
BI CHUI katika ubora wake!
 
Hata Maharage Chande majibu yake ni hayo hayo kama ya boss wake.
 
Hpna kwa kwa kweli wamezingua mno haiwezekan
 
Mradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Ko akili yako ndo imeishia apo
 
Apo sasa ndo upigaji
 
Jpm atazidi kudumu ktk moyo wangu Kama msipo maliza bwawa la nyeree kwa wkt hapo mtapata kura yangu vinginevyo itawaparua
Aliekwambia ccm wanategemea kupigiwa kura ili washinde nani?
 
Ingawa nataka miradi ya JPM ikamilike, ila hayo mambo ya kufa sababu zake anajua Mungu.
 
May be,lakini Dar Moro SGR haikumalizika wala kuanza kutumika.katika miaka 5 ya mjomba Magu.
Miradi ya kukurupuka bila kuwa na vyanzo vya uhakika vya fedha.
Mradi umelipiwa haudawi punguza chuki
 
Na hiyo gas inayohitaji $30 milioni sijui hizo pesa zake wamezipata wapi, tunatakiwa tujue.

How I wish tungekuwa na kiongozi anayetumia akili yake hata kwa dakika moja tu kwa siku.
Polepole aliambiwa na JPM kwamba gas siyo yetu mikataba ya JK na mabeberu, ndo maana JPM akaja na alternative ya bwawa la Nyerere, leo JPM ameondoka, JK anarudi kupitia dirishani na watu Wake akina Makamba, wanarudi kwenye gas yao ipo siku kitaimba tu, JK na pesa zote hizo bado anataka kuwafakarisha watanzania kwa kuwauzia umeme wa bei ghari, alimutosa swahiba wake lowasa, wakati deal lilikuwa lake la Richmond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…