Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
- Thread starter
- #41
Hatari sana.Solar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana.Solar
Zilikuwa propaganda tu hizo za wapinga mradi kwa malengo yao.Acha uchizi mzee baba, unao ushahid wa hizo pesa kuliwa? Ama chuki znakusumbua.
Alafu hiyo misitu inawanufaisha vip waTz kiasi kwamba izuie mradi mkubwa kujengwa?
Una elimu gani aisee, hujui ktk maendeleo kuna kusacrifice kitu kidogo ili kizae kikubwa.
Endelea na mindset za kupinga kila jambo bila facts.
Wote hao ni furushi la sangara walioozaKiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.
Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mh. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.
Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.
Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas, hii ndiyo Tanzania.
Wahuni!!!Wote hao ni furushi la sangara waliooza
Ni kweli lakini angalau ingekuwepo nuru juu ya miradi hii, kwa sasa matumaini ni madogo mno.May be,lakini Dar Moro SGR haikumalizika wala kuanza kutumika.katika miaka 5 ya mjomba Magu.
Miradi ya kukurupuka bila kuwa na vyanzo vya uhakika vya fedha.
Hata Maharage Chande majibu yake ni hayo hayo kama ya boss wake.Wakati mwingine mawaziri wawe wanaheshimu akili za raia. Yaani Makamba anatuambia uwongo wa wazi kama vile sote ni wajinga hatujui mifumo ya ugavi wa umeme?
Tanzania tunaliwa sana sasa hivi. Yaani miaka mitano ya utawala wa magufuli kweli umeua transformer zote kwenye substations zote zinahitajiwa mpya, porcelain insulators zote za kwenye transmission line zote zimepasuka pasuka zinahitajiwa kuwekwa mpya. Na hata zile aluminium conductors hazifai kwa vile hazikufunikwa, itabidi tuwekewe mpya ziliziofunikwa. maajabu kweli haya.
Ngoja tuone itakuwaje.BI CHUI katika ubora wake!
Wamezingua sana, mradi utakuwa unazoroteshwa maksudi kabisa huu.Hpna kwa kwa kweli wamezingua mno haiwezekan
Ko akili yako ndo imeishia apoMradi ulianza kitapeli, Kalemani na JPM walikata miti milioni moja, wakauza na Hela wamekula, nikisema miti, namaanisha Ile ambayo haijawahi kukatwa tangu dunia iumbwe
Apo sasa ndo upigajiWakati mwingine mawaziri wawe wanaheshimu akili za raia. Yaani Makamba anatuambia uwongo wa wazi kama vile sote ni wajinga hatujui mifumo ya ugavi wa umeme?
Tanzania tunaliwa sana sasa hivi. Yaani miaka mitano ya utawala wa magufuli kweli umeua transformer zote kwenye substations zote zinahitajiwa mpya, porcelain insulators zote za kwenye transmission line zote zimepasuka pasuka zinahitajiwa kuwekwa mpya. Na hata zile aluminium conductors hazifai kwa vile hazikufunikwa, itabidi tuwekewe mpya ziliziofunikwa. maajabu kweli haya.
Aliekwambia ccm wanategemea kupigiwa kura ili washinde nani?Jpm atazidi kudumu ktk moyo wangu Kama msipo maliza bwawa la nyeree kwa wkt hapo mtapata kura yangu vinginevyo itawaparua
Ingawa nataka miradi ya JPM ikamilike, ila hayo mambo ya kufa sababu zake anajua Mungu.propaganda zilipigwa mkajua mwendazake anashifa sana na ikulu kuna kiasi alikosea ila nia yake ya dhati kwenye nishati na miundo mbinu ili tujitegemee ilikuwa ni dhati kutoka moyoni kwa kifo chake ilitakiwa tuhoji kwa nini mtu aanze ziara halafu afe ghafla .
kwani walikua hawajampima kabla hajatoka chato.
Pili kwa nini mkapa, afe maalim, afe kijazi, afe jpm hlf afe msanifu madaraja hii chain ni moja na kuna watu walionganishwa ili kututengenezea picha kua walikwisha kwa corona na magonjwa ya moyo ila ukweli huwa hata kwa macho haifichiki.
Daima huyu jamaa huwa naamimi alikua sio pupet alisanua mambo Mengi.
Saivi bunge naibu spika kasogezwa hule alieutetea mradi wa bagamoyo ambao thamani yake ni sawa na bajeti yetu ya mwaka kikubwa wazingatie masharti yawe mazuri ila kwa hiyo hela nchi nzima imenunuliwa.
Huo mradi utakamilika ila ni kwa mazengwe sana na tuzidi kupiga kelele.
Mradi umelipiwa haudawi punguza chukiMay be,lakini Dar Moro SGR haikumalizika wala kuanza kutumika.katika miaka 5 ya mjomba Magu.
Miradi ya kukurupuka bila kuwa na vyanzo vya uhakika vya fedha.
Polepole aliambiwa na JPM kwamba gas siyo yetu mikataba ya JK na mabeberu, ndo maana JPM akaja na alternative ya bwawa la Nyerere, leo JPM ameondoka, JK anarudi kupitia dirishani na watu Wake akina Makamba, wanarudi kwenye gas yao ipo siku kitaimba tu, JK na pesa zote hizo bado anataka kuwafakarisha watanzania kwa kuwauzia umeme wa bei ghari, alimutosa swahiba wake lowasa, wakati deal lilikuwa lake la Richmond.Na hiyo gas inayohitaji $30 milioni sijui hizo pesa zake wamezipata wapi, tunatakiwa tujue.
How I wish tungekuwa na kiongozi anayetumia akili yake hata kwa dakika moja tu kwa siku.