Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Wewe uliandika sio mzima ,hayo maelezo kwani ametoa kwenye kichwa chake.. Hatua nzuri sana kabla huo umeme wa kutosha haujaanza kuingizwa kwenye Grid ya Taifa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
 
Gesi ya Mtwara, Lindi na Songo songo ipo ya kutosha. Great ruaha haina maji na Ihefu imejaa mifugo. Bora twende na umeme wa gesi.
 
Wewe uliandika sio mzima ,hayo maelezo kwani ametoa kwenye kichwa chake.. Hatua nzuri sana kabla huo umeme wa kutosha haujaanza kuingizwa kwenye Grid ya Taifa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
navajo naomba kukuuliza maswali machache kabla sijaja na data za consumption za mikoa na wilaya. unafaham kazi maalum za substations?
unafaham nyaya za 33kv na 11 kv zinatumika vipi na consumer TX inauwezo wakuudumia biashara na viwanda vidogo na makazi kiasi gani?
unafaham kuwa JHNPP itatumika kwa kiasi kikubwa kama powerpool ya sadc na eac kwa kiwango kikubwa na ita-act kama chip-in tuu kwenye grid ya taifa?
kwanini asitumie 11-33kv alafu ikifika watumie tuu step-down TX kusupply umeme instead ya kubuild un under-utilized substations ambazo in the long run zitaitajika maintenance ( despite the small power loss due to skindepth za wire na C-effect during transmission)?
 
Sikiliza hapa.
 

Attachments

  • 4846837-5f4ef98e9480301e188211befea5e4bf.mp4
    10.7 MB
  • 4846837-5f4ef98e9480301e188211befea5e4bf.mp4
    10.7 MB
Wewe unaongea kwa hasira tu huna fact yeyote! Kichwa kimejaa kamasi!
 
Watakulaani na kukutukana lakini umesema ukweli.

Ila sikubaliani na kusitishwa kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere, ijapokuwa hapo awali uamuzi ulifanywa kwa haraka lakini nguvu na fedha nyingi zimetumika kwa hivyo ni vyema kumalizia hiyo investment. Tanzania inakuwa na umeme ukiwa wa kutosha naamini maendeleo yatakwenda kwa haraka sana.
 
Hakuna kitu ambacho hakina matengenezo , tusiwe wajinga kusifia sana umeme wa maji ndio kila kitu.. hatukatai Stigler ni muhimu na mkombozi, lakini tuna vyanzo vingi ambavyo vinaweza kutupa umeme wa uhakika vlevle.. Umeme wa maji mpaka leo hatukuambiwa changamoto zake na ndio umeme wetu toka uhuru na still tunategemea mpaka hali ya hewa ndio umeme unakuwa wa uhakika.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Una hoja lakini mwandiko wako ni dhaifu, ni vigumu kung'amua ulichoandika kwa haraka.
 
Ila Mshua Magu alikuwa anaona mbali sana, sababu najiuliza tu huo mradi wa umeme wa bwawa la Nyerere usipokamilika tutaendeshaje mradi wa treni za umeme?
 
Hawawezi kujaza, Mbunge Musukuma anasema ujenzi uliofanywa pale ni substandard, labda watalivunja lote waanze upya
 
Hawawezi kujaza, Mbunge Musukuma anasema ujenzi uliofanywa pale ni substandard, labda watalivunja lote waanze upya
Kwanini substandard? Msukuma toka lini anaongea mambo ya maana? Yes kasema, ila we also need a technical opinion. Siasa na wanasiasa ni wavurugaji
 
Nashukuru kwa mawazo yako chanya
 

Wewe unayejitapa kujua kila kitu kuhusu umeme, kwani kuna shida gani kumalizia Mwalimu Nyerere Hyro hata kama ni Megawatt 100 ? Kwa nini isiwe Hyro + gesi yenu na vyanzo vingine ?

Hata kama kama Stiegler haitofikisha hizo Megawatt tatizo liko wapi ? Si bado utaingizwa kwenye gridi ya Taifa ?

Mr.Know it all , shida iko wapi ?
 
Mwenyewe naona hakuna tatizo kabisa.
 
Hivo viwanda vipo wapi? Unahitaji umeme wa Tanesco kuendesha cherehani 4?
 
Kuhusu Jiwe kuuwawa inabidi walinzi na wapambe wake wote watupwe ndani watueleze kinagaubaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…