navajo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 582
- 901
Wewe uliandika sio mzima ,hayo maelezo kwani ametoa kwenye kichwa chake.. Hatua nzuri sana kabla huo umeme wa kutosha haujaanza kuingizwa kwenye Grid ya Taifa.Naomba nichangie mada japo kidogo kwa akili yangu ndogo.
1. Mr Makamba anatarajia kuingia mkataba mwingine wa USD 1.6 billion (tzs 3.68 trillion) kutengeneza substation na kufanya repair. Je hiyo pesa siangeielekeza kwenye bwawa kusudi mradi kwa jnhpp ukamilike kwa wakati.
Makamba anajua mji wa dar unaviwanda vingapi na umeme kiasi gani unatumika ambao ni almost 35+% ya total consumption (nasema ivi sababu mbali na miradi inayoendelea, migodi mingi hata barrick wanatumia umeme wa wa mafuta mazito kama cjakosea.)
2. Makamba izo 59 new substations unajenga wapi na kwa uhitaji upi wa umeme kwenye izo wilaya. Unajua capacity ya substation moja. unasema waya(wire) wa 33Kv unaingia mitaani unajielewa kweli. staki kuongelea kitaaluma sababu ntaonekana mjuaji na bado kiumri umenizidi zaidi ya miaka 20+ ila nakuomba Mr Makamba USIPOTOSHE UMMA. You aint informed in this sector.
Kuna wazee dar tanesco makao makuu nlikutana nao kipindi SADC wanakuja dar 2020 kama na wale uliwatoa ama kwa namna moja umewapuuza hahah hii wizara sijui, TIME WILL TELL
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app