Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

Mkuu MALCOM LUMUMBA muda huu hata tukijadili ujinga wa Magufuli ni kupoteza muda, hata tujadili athari bado nikupoteza muda..labda for refreshment tu!

Swali langu! Huu mradi utakapokamilika na kukabidhiwa kwa Tanesco, je, watarecoop costs za investment ili wananchi wapungukiwe na mzigo wa kodi au ndio watakabidhiwa at zero cost.. wavujajasho tuendelee kumenyeka?
Kwa sasa tunalipa Matozo bila Umeme wa Uhakika...., Hata hio Gas tunayotumia hakuna Cost hapo ? na Mafuta je tuyoagiza hakuna Cost ?

All in all hydro-power is the cheapest Source to Operate once its installed..., hata hizo cost tukizispread out in so many years addition ya ile cost to a minimum operating cost is still minimum...
 
Hizi hujuma ni sababu ya ulaji watu waliojiwekea kwenye gas, tunahujumiwa
 
Ethiopia wenzenu washamaliza bwawa lao na wanakula matunda yake sasa... nyie na huyo mbunge wenu kilaza wa bumbuli mtasubiri sana .Wakulaumiwa ni Hangaya kuteua huyu seti tupu kwenye wizara nyeti kama hio huku akijua hao ndugu zake wa Znz wanategemea umeme wa bara 100%. Tumepigwa.
 
Daah, kwanza hilo crane la tani26 liko wapi?
 
Mimi ni mmoja kati ya watu waliopinga huu ila sio kwasababu hauna faida!
Faida zipo ila;
1. Mradi huu haukua kwenye power master plan ya mpaka 2050. Kuna miradi ilikuwepo na ingeweza kugenerate hizo megawatts au zaidi. Hazikutolewa sababu za kuiacha hiyo miradi ambayo naona ingediversify risk.
2. Selous ilikuwa kwenye list ya world heritage sites, tungeweza kuendelea kufaidika na utalii na vivyo hivyo kuitumia kupata funds za kuboresha miradi iliyokuwa kwenye master plan, of which hii ingekuwa cheap means of financing kufikia same goals.
3. Kuna research zimefanyika kuonyesha environmental side effects za hiyo project ...na kama unavyojua research hujibiwa kwa research..ila hapa research zilijibiwa kwa siasa.

Ikikupendeza usiturudishe kwenye hii mijadala..
Mwache mwendazake apumzike kama alikuwa amepumzika!
Ndugu naweza kuwa kilaza kwenye mambo haya, lakini wewe ni kilaza zaidi yangu, unazungumzia master plan za kisiasa ambazo utekelezaji wake hauna tija kwa taifa na kwanza hazitekelezeki hata Mungu ashuke mwenyewe afaye miujiza?, unazungumzia master plan zilizowekwa kifisadi, kwamba nile mimi mpaka na wajuu zangu? ok, tufanye hizo master plan ziko, na zinatekelezeka kuna ubaya gani kuongeza jambo lenye tija katika hiyo master plan, maana hiyo master plan imeandaliwa na binadau dhaifu kama mimi na wewe.

okey, selous imekuwa world heritage sites, as nation tulishawahi kufaidika na hiyo kitu zaidi ya sifa za kijinga ambazo hazina maslahi mapana, mkuu sitaki kuamini kuwa hizo funds za kulinda world heritages sites zinatosha kufanya yote uliyoyapanga kuyafanya ya kimaendelea kumbuka na hizo pesa zinakuja kwa kazi hiyo tu...kuchelewwshana tu huko..kwamba pesa ya maendeleo idudndulizwe dundulizwe ndio tuje tutekeleze so called master plan?

Ndugu, mazingira ni yetu, kama huo mradi ukitekelezeka pale kutakuwa na ziwa kabisa, sio mtu, so faida zake kimazingira sio tu zitauwepo bali zitaongezeka zaidi ya zilivyo hivi sasa, elewa wakati mwingie matokeo ya research yanapikwa kupata uhalali wa jambo. so simama kwenye facts za msingi , umeme kwa maendeleo endelevu ni muhimu , na ndio chanzo namba moja cha maendeleo, gesi kule mtwara kulifanyika yalyofanyika taifa halinufaini na mradi ule, umeme bado uko juu, nadhani vyema mradi huo wa rufiji ukamilike .
 
Umeongea sukari tupu 👍🏼
 
Umoja wa Ulaya (EU) wamekataza nchi za Tanzania na Uganda kutoendeleza mradi wa bomb la mafuta kwasababu za kimazingira. Wao mbona wanaendelea kutumia makaa ya mawe na mafuta kuendeshea viwanda vyao kipindi hiki ambacho wanapambana na Urusi ???

Umeme wa maji unaharibu mazingira, mradi wa mafuta nao unaharibu mazingira. Ila wao wenzetu wanatumia mafuta, maji na makaa ya mawe kuendesha viwanda vyao. Hapa tatizo ni nani ???

Tunaanza kupata taswira kwamba, Raisi Magufuli mbali na madhaifu yake mengi ya kiuongozi, lakini kuna baadhi ya mambo aliweza kuyaona vizuri kuliko watanzania tulio wengi. Hasahasa hili la kuitafutia nchi uhuru wake wa nishati....

Kwanini Tanzania na Uganda zipigwe marufuku kuzalisha nishati, hasa katika kipindi ambacho dunia imeonyesha uhitaji mkubwa wa nishati ya mafuta na gesi ??? Ukiangalia taswira pana, kama Tanzania ikizalisha gesi na mafuta, mbona hata Ulaya nayo itanufaika pia.....

What's good for the goose, is also good for the gander.......
 
Back
Top Bottom