Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

Kabisa, wabongo wengi walio nje ya nchi hawasemagi ukweli wasionekane wanyonge. Tena Sasa ivi ndobalaa Kabisa, ukipata kazi ni hizihizi za hovyo kufagia etc wenye bahati wachache sekta ya afya. Kipaumbele kiwe Watanzania kwanza kabla ya mgeni, mbona kwao wanatubania.
 
Watanzania hatuaminiki wengi ni wezi na wapenda rushwa.Kigoma kuna hawa sgr na mwajiri ni mtanzania.kila kijana wa Kigoma aliyeomba kazi ya udereva alikuwa anatoa milioni moja ndo apewe kazi.sasa ni bora waletwe wageni tu.kama sisi kwa sisi hatuthaminiani rushwa kwa kila kitu bora waje wageni tu
 
Tanzania mbele usituchanganye wakati ujui sheria inasemaje
 
Safi sana kuna watu wana roho za kichawi na ubinafsi kama huu, mchina amechoka na nyie wafanyakazi wakitanzania nyie ni wezi, hamna uzalendo, wavivu n.k
Amesema ni kampuni ya wachina kutokea kenya na imeajiri wakenya tu hapo hapo anasema kama watu watataka ushahidi wawaulize watanzania walioajiriwa hapo😁😁😁 huu ni upuuzi na upuuzwe tu, kama hata kama ni mimi siwezi mpa mtu asiye na vigezo kisa ni mzawa nikaacha watu wenye uwezo.
 
Wabongo wa wavivu, wezi wa vifaa vya ujenzi ni nani anayewataka pili wabongo nyinyi hamna uzalendo ningependa huo mradi hata hao watanzania waliopata kazi hapo wafukunzwe tu.
 
Ukitaka mradi uchelewe jaza wabongo, sisi tunachotaka ni mradi kuisha kwa wakati pia wakati wanasign mkataba walipeana masharti ya kuajiri watanzania wangapi? Acheni zengwe nyie bongo.
 
Watanzania ni wavivu. Ndo maana Mkandarasi anaingia gharama za kuwahifadhi wageni na kuwalisha.
 
Nenda kaangalie pale watanzania wanaojenga soko kuu wako bize kuselfika, na kubinua matako na kutunisha vifua wakiwa wamesahau wajibu wao.
Nenda pale jpm bridge watanzania walikuwa wanaiba cement, mafuta na vifaa vingine vya ujenzi kama mradi sio wao leo hii unataka waajiri watanzania wote, mchina sio lofa alishawajua tabia zenu.
 
Ivi
Niambie Ni wapi wako watakatifu wasioiba. Sio kuwa natetea wizi Bali generation ikichafuka huwa Ni planet nzima. Hata China ma operators wanaiba Kuna mchina mmoja ameshaniambia. Waarabu wenyewe wanatuibia kuwa Hakuna kulipa Kodi mktaba Hakuna kikomo,wazungu ndio wanatumia upungufu wa hela kwa mwaafrika na matatizo yake anapewa madini bwerere. Ila wewe unajua Kuna mahala watu Ni watakatifu. Tembea uone sio ubakir kuwapenda na kuwashobokea wa nje unadhani ama unaona watu wa nyumbani kwenu Ni wadhambi watupu.
Una mental attitude disease
 
Nimesoma hili bandiko nimeumia sana ....ina hii nchi hamna mwenyewe kabisa ?!!!

Inakuwaje hili linawezekana kwa watanzania zaidi ya mil 60 kufanyiwa haya miaka nenda rudi

Kuna haja watanzania kujiuliza na kuchukua hatua wenyewe pasipo kungoja viongozi ambao hawana muda na watanzania
 
Hao wachina hawawezi kuhujumu miradi ya nchi lakini mbongo anaweza kata shina alilokalia.
 
Mbona mimi nimepata kibarua hapo cha kuchimba kwani mimi ni mkenya ukiwa na sifa nzuri utaajiriwa tu, watanzania wengi wavivu, wezi, maneno mengi kazi sifuri.
 
Mbona mimi nimepata kibarua hapo cha kuchimba kwani mimi ni mkenya ukiwa na sifa nzuri utaajiriwa tu, watanzania wengi wavivu, wezi, maneno mengi kazi sifuri.
Hujanielewa,huwa Kuna kitu kinaitwa mental attitude disease
 
Halafu vitenda vingi hapo Mwanza wanapewa sana wakandarasi kutokea Kenya,sijajua kwa nini.

2007 walikuwepo wahindi kutoka Kenya ndiyo wamejenga mtandao wa maji ya bomba karibu jiji zima ikijumuisha gati na matenki,waliitwa "Maltauro".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…