Acha roho mbaya wewe Tanzania sio kisiwa,kiasi kwamba wageni hawatakiwi.
Kumbuka hata huko Kenya kuna watanzania wengi tu wana tafta riziki zao huko,pia dunia nzima kuna watanzania wengi.
Wewe kama akili yako haina ufahamu au upeo mpana wa kujitafta tulia hivyo hivyo, unataka serikali iwafukuze ili iweje sasa.
Una maanisha hata watanzania waliopo inje wafukuzwe,au hujui kuna watanzania wamezagaa dunia nzima wana jitaftia riziki kwenye inchi za wenzetu acha hizo.
Wewe kaombe kazi ukikizi vigezo watakuchukua tu,halafu huo ni ubaguzi kitu ambacho hakitakiwi kabisa.
Kuna watu wana zamia kwenye inchi za watu kujitafta wewe unaona ni zambi nakushauli tu achana na hizo mambo.