Wapewe wazalendo UVCCM kama walivyopewa mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar es Salaam.Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Mohamed Dewji ni mzawa @ mtanzania, kazaliwa Singida.Kwamba hakuna wazawa wa kuendesha huu mradi mpaka tukimbilie waarabu?
Katiba yetu hairuhusu uraia wa nchi mbiliNi watu wenye asili ya Tanzania na chimbuko lao ni hapa, hao wengine ni waarabu wana uraia wa nchi 2
Mke mkubwa akiingiwa na shetani ni hatari kwa maisha yako unaweza ukatafuta mwingine ndio akakuua kabisa,Bora tu kufuata mafundisho ya Mtume Paul ukiacha usioeMswahili akipata Hela kidogo anakwemda kuongeza kimada. Mzee Reginald Mengi (RIP);alipopata fedha kidogo TU akatafuta dogodogo. Waswahili hawawezi bhana, wamejifunza biashara ukubwani wakati wenye rangi nyeupe wamekuta biashara walipozaliwa.
Shabiby na Abood sio wazawa ? Ni waarabu wa nchi gani ?Hapana huu mradi wapewe wazawa wazalendo na siyo hao waarabu
Sababu ya sera mbovu za CCMHizi boti za Azam kama zingekuwa za serikali mradi unheshakufa siku nyingi sana zilizopita.
Ni kabila gani na ukoo upi?Shabiby na Abood sio wazawa ? Ni waarabu wa nchi gani ?
Ni ukoo wa nani na kabila gani? wewe kama ni masai ukizaliwa Bukoba unakuwa mhaya siyo masai tena?Mohamed Dewji ni mzawa @ mtanzania, kazaliwa Singida.
Kwani kuwa mtanzania lazima uwe mweusi?
#YNWA
Nani kakundanganya? Manji mbona alikuwa nao hata Rostam anaoKatiba yetu hairuhusu uraia wa nchi mbili
#YNWA
Wewe ukiwa mzaramo ukaja Moshi nikisema wewe ni mzaramo nakuwa nakubagua?Kwanini watu weusi mnakuwa wabaguzi sana halafu mkibaguliwa nyinyi mnataka dunia nzima iwaonee huruma?
Unaweza kuwa na hoja nzuri ila timing ya bandiko lako ni mbaya.Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.
Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
wote ni wezi.Ni kweli kabisa na wataiba mpaka wakose ya kuendeshea
Angalia stendi tu za mabasi wameshindwa kuziba mashimo, sio kwamba hela hakuna hapana waliisha zielekeza ila hazipo tena
Sijui kuna shida gani serikali kuwa wakali kwa haya mambo
Toa njia mbadala ya kuboresha usafiri wa BRT unaogharimu fedha nyingi za watanzani lakini unatoa huduma za hovyo. Hata brewery, NBC, NMB zilikuwa zinatoa huduma mbovu lakini wamepewa watu binafsi zinatoa gawio kubwa Sikh hizi. Hebu ona simu za mkononi za ttcl uzilinganishe Na tigo, Voda Na hallotel. Ni Mbingu Na ardhiUnaweza kuwa na hoja nzuri ila timing ya bandiko lako ni mbaya.
Kipindi hiki cha siku tatu toka Sgr ianze kwenda dodoma hao waarabu wanapata tabu sana kujaza mabasi yao kwa route hiyo.
Isije ikawa unatumika ku justify wema wao ili wapate second chance ya kula keki kwenye mwendokasi baada ya biashara zao kudoda.
Thibitisha tafadhaliNani kakundanganya? Manji mbona alikuwa nao hata Rostam anao
Ushauri ....Ni ukoo wa nani na kabila gani? wewe kama ni masai ukizaliwa Bukoba unakuwa mhaya siyo masai tena?
Aliepewa sasa hivi si ni mzalendo kabisa mtu toka kanda ya ziwa nadhani,umeona anachokifanya?Hapana huu mradi wapewe wazawa wazalendo na siyo hao waarabu
It is never too late to do the right thing. Sahihisha makosa wakati na stage yoyote utakapoyagundua bila kusita wala kujali watu watajisikiaje na kusema nini. Bandari zetu hazifanyi vizuri kwakuwa zilikuwa zinaendeshwa na serikali. Serikali imeua viwanda, reli, ranches, mashamba ya mkonge, hoteli zake, shule zake, nk. Serikali itoze kodi tu kwa njia ya hands off eyes on.Unaweza kuwa na hoja nzuri ila timing ya bandiko lako ni mbaya.
Kipindi hiki cha siku tatu toka Sgr ianze kwenda dodoma hao waarabu wanapata tabu sana kujaza mabasi yao kwa route hiyo.
Isije ikawa unatumika ku justify wema wao ili wapate second chance ya kula keki kwenye mwendokasi baada ya biashara zao kudoda.
Good Point,I think they canSerikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?