Mradi wa mabasi ya haraka BRT-UDAT wapewe akina Shabiby na Abood wauendeshe kwa faida

Kabla mradi wa mwendo Kasi kumilikiwa na serikali rasmi mwaka 2015.ilikuwa chini ya Simon group mmiliki na msimamizi kipindi hicho alikuwa Kisena. Abood na shabiby anaozungumzia ni miladi inayosimamiwa na watu wa serikali waliojificha kwenye vivuli vya wabunge
 
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?

Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.

Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Wapewe wazalendo UVCCM kama walivyopewa mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar es Salaam.
 
Mswahili akipata Hela kidogo anakwemda kuongeza kimada. Mzee Reginald Mengi (RIP);alipopata fedha kidogo TU akatafuta dogodogo. Waswahili hawawezi bhana, wamejifunza biashara ukubwani wakati wenye rangi nyeupe wamekuta biashara walipozaliwa.
Mke mkubwa akiingiwa na shetani ni hatari kwa maisha yako unaweza ukatafuta mwingine ndio akakuua kabisa,Bora tu kufuata mafundisho ya Mtume Paul ukiacha usioe
 
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?

Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.

Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Unaweza kuwa na hoja nzuri ila timing ya bandiko lako ni mbaya.
Kipindi hiki cha siku tatu toka Sgr ianze kwenda dodoma hao waarabu wanapata tabu sana kujaza mabasi yao kwa route hiyo.
Isije ikawa unatumika ku justify wema wao ili wapate second chance ya kula keki kwenye mwendokasi baada ya biashara zao kudoda.
 
Ni kweli kabisa na wataiba mpaka wakose ya kuendeshea
Angalia stendi tu za mabasi wameshindwa kuziba mashimo, sio kwamba hela hakuna hapana waliisha zielekeza ila hazipo tena
Sijui kuna shida gani serikali kuwa wakali kwa haya mambo
wote ni wezi.
 
Shabiby na Abood sio wazawa ? Ni waarabu wa nchi gani ?
Achana nao hao wamefilisika akili zao. Watu wako mjengoni wanatunga sheria zetu halafu unasema sio wazawa ni waarabu sijui nn nn nn!!
 
Unaweza kuwa na hoja nzuri ila timing ya bandiko lako ni mbaya.
Kipindi hiki cha siku tatu toka Sgr ianze kwenda dodoma hao waarabu wanapata tabu sana kujaza mabasi yao kwa route hiyo.
Isije ikawa unatumika ku justify wema wao ili wapate second chance ya kula keki kwenye mwendokasi baada ya biashara zao kudoda.
Toa njia mbadala ya kuboresha usafiri wa BRT unaogharimu fedha nyingi za watanzani lakini unatoa huduma za hovyo. Hata brewery, NBC, NMB zilikuwa zinatoa huduma mbovu lakini wamepewa watu binafsi zinatoa gawio kubwa Sikh hizi. Hebu ona simu za mkononi za ttcl uzilinganishe Na tigo, Voda Na hallotel. Ni Mbingu Na ardhi
 
Ni ukoo wa nani na kabila gani? wewe kama ni masai ukizaliwa Bukoba unakuwa mhaya siyo masai tena?
Ushauri ....
Siku zote kabla hujaongea FANYA RESEARCH.
Nenda kawakosea Wizara ya Uhamiaji.
Screenshot_20240729-135742.jpg

#YNWA
 
Unaweza kuwa na hoja nzuri ila timing ya bandiko lako ni mbaya.
Kipindi hiki cha siku tatu toka Sgr ianze kwenda dodoma hao waarabu wanapata tabu sana kujaza mabasi yao kwa route hiyo.
Isije ikawa unatumika ku justify wema wao ili wapate second chance ya kula keki kwenye mwendokasi baada ya biashara zao kudoda.
It is never too late to do the right thing. Sahihisha makosa wakati na stage yoyote utakapoyagundua bila kusita wala kujali watu watajisikiaje na kusema nini. Bandari zetu hazifanyi vizuri kwakuwa zilikuwa zinaendeshwa na serikali. Serikali imeua viwanda, reli, ranches, mashamba ya mkonge, hoteli zake, shule zake, nk. Serikali itoze kodi tu kwa njia ya hands off eyes on.
 
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?

Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi, Kodi, vipuli, uchakavu na matengenezo) za uendeshaji kisha wachaji abiria kwa uhalisia.

Pale Ethiopia mabasi ya umma watu wote hata wanafunzi na askari wanalipa sawa. Kule ulaya na Marekani hivyohivyo ila wanafunzi Kuna namna wanavyolipiwa usafiri wao.
Good Point,I think they can
A public limited company can be established to undertake the operations via PPP..

Watanzania wengine wawe na mapana ya kununua shares ..Hili linaweza ku enhance accountability na efficiency kwa kiwango kikubwa.
 
Back
Top Bottom