Mradi wa Maji Jordan wenye takriban miaka 2,000 bado unahudumia watu

Mradi wa Maji Jordan wenye takriban miaka 2,000 bado unahudumia watu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ancient Nabataeans Water Management:

The 2,000 year old city of Petra,Jordan, known for its magnificent temples carved into its red sandstone cliffs is also home to an incredible feat of hydraulic engineering.

An extensive water supply system turned this ancient city into a man- made oasis supporting a extensive population. The ancient Nabataeans incorporated known water technologies from all over the ancient world, producing a highly effective system of aqueducts and pipelines that transportated almost every drop of surface water from the surrounding area directly to the city.

1636880117698.png

1636880135228.png

1636880150071.png

1636880167986.png
 
Unajua watu wa kale walikuwa wana ujenzi flani ambao sijui knowledge walikuwa wanaitoa wapi. Mfano kuna cement ya waroma mpaka leo haijulikani walikuwa wanaitengenezaje. Ilikuwa inatumika kujenga madaraja na majengo ya kwenye maji. Yani jinsi inavyozidi kukaa majini ndivyo inazidi kuwa imara.
 
Barabara za Warumi zilikua imara sana. Huu mradi unakusanya maji ya mvua mengi sana na kuyapeleka kwenye reservoir
 
Barabara za Warumi zilikua imara sana. Huu mradi unakusanya maji ya mvua mengi sana na kuyapeleka kwenye reservoir
Itabidi nikatazame maelezo yake maana imenivutia. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa kuliko tunavyofikiri.
 
Back
Top Bottom