Unajua watu wa kale walikuwa wana ujenzi flani ambao sijui knowledge walikuwa wanaitoa wapi. Mfano kuna cement ya waroma mpaka leo haijulikani walikuwa wanaitengenezaje. Ilikuwa inatumika kujenga madaraja na majengo ya kwenye maji. Yani jinsi inavyozidi kukaa majini ndivyo inazidi kuwa imara.