Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.

Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.
 
R.I.P Magufuli
 
Mwendazake kwanini alikurupuka kusaini mikataba huku akijua hamna hela??
Au ndio alikuwa anatafuta kiki
 
Watu wanasema awamu hii imekopa sana pia waseme ndiyo awamu iliyojenga sana!
By chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…