Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Bado sana. Hata miaka miwili ijayi, hamalizi. Wanachofanya ni kujenga vipande ambavyo vinakatiza barabara. Maeneo yote ya huko kati bado sana.
Walianza kwa kujenga madaraja.
Sasa hivi wanajenga tuta na kutandika reli.
 
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.

Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.

Waache wafungashe virago kwanza wanatangazaga ajira feki wapuuzi kabisa
 
Kwanin mkandarasi kabadilishwa?.

Mkuu tymkumbuke nani, nchi sio familia kwamba akiwa hayupo mama au Baba haitoenda mbele.
Nchi ni familia mkuu. Kwani mama au baba yako wakitoka ndiyo inakuwa mwisho wa maendeleo!!
 
Nilipoona tu juzi Mbarawa hajafoka kuhusu wachina wa Lot 5 kuwa nyuma ya muda nikajua serikali ndiyo chanzo cha huko kusuasua.

Propaganda zikifika mwisho ndiyo ukweli unajitokeza.

BTW:Kama hiyo Lot 4 kapewa mchina huyu wa Lot 5 hii reli kukamilika ni 2035 huko.
 
Back
Top Bottom