Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
NAKAZIA.Kiki gani lile ni Jembe kwa hakika WaTz hatutomsahau kwa mema aliyo yafanya, Magufuri alifanya makubwa sana ambayo hayakufanywa na Viongozi wengine waliopita.
Alidhibiti mafisadi ama kwa hakika Leo angekuwopo Magu huo Mradi mpaka saivi ungekuwa umeshakamilika. Ila kwa vile Kuna mafisadi, Rushwa nyingi Hela zinatolewa watu wanakula naa hakuna anaye wafuatilia ndo maana miradi ya Magu alioianzisha haiendi, kwa sabab hamna anayeisimamia.
Mungu amkumbuke huko aliko Mzee Magu watanzania tunamkumbuka sana kwa mema yake