Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

Tusipoteze muda na kamati za kutafuta kwa nini mambo ya kijamaa yalishindwa na yanaendelea kushindwa duniani kote. SGR ikikamilika huo mwaka itakaokamilia sekta binafsi ipewe fursa ya kuendesha biashara ya treni.
Mambo ya "kijamaa" yapo na yatakuwepo milele ndani ya 'jamii' zote duniani. Hiyo kushinda au kushindwa ni uamzi auonao mtazamaji kufuatana na akili yake inavyoongozwa.
 
Mama huko ziarani Moshi na Arusha ni sifa zinaimbwa kama wakati wa marehemu kaka yake sijui naye kashaanza kuficha uvundo? Mungu tusaidie!
 

ivi zile aspects za economics ulisoma? mfano socialism, communism, capitalism?
 

anyway nmejaribu kukpuuza wacha nkupe maarifa kidogo usije ukalalamika kwamba hukueleweshwa!

- Serikali ni kwa ajili ya law enforcement, politics and organisation of people! nkimaanisha nn? aspect mfano za uchumi serikali plays a very very small portion probably 0.0000001% izo zote znazobaki znakuhusu wewe, mfano mtu anaefanya miamala kwa kutumia blockchain hapangiwi chochote na serikali yoyote kokote ulimwenguni ndo maaana inaitwa DECENTRALIZED meaning no one is in control hata serikali yenyewe haina mamlaka nayo, nadhan mpaka apo izi details znakutosha maaana naweza kukaa apa naelezea mtu ambae ni bangi!
 
I knew utakuja na hadithi za kitaahira kama hizi, hizo block chain ni uchumi wa wapi? Hujasikia china imepiga marufuku huo utapeli? Sio china tu nchi nyingi tu.

Huo uchumi wa block chain unafanya wapi kazi, ama ni nchi gani 100% uchumi wake unaendeshwa kwa cryptocurrencies? Na aliekudanganya kua cryptocurrencies ni mfumo sa uchumi na sio mfumo wa malipo ni nani? Ama huelewei unachokiandika humu? Kwa kukusaidia paper yangu ya masters degree ilikua inahusu cryptocurrencies, kwa hiyo nazijua in and out.

Nimekwambia hizi ngonjera za kitaahira kawaambie wajinga wenzako, sio mimi.
 
ivi zile aspects za economics ulisoma? mfano socialism, communism, capitalism?
Acha maswali ya kitoto, wewe umesema serikali haina mchango wowote wala wajibu wowote kwenye kuondoa umasikini. Nimekupa papers za shirika la fedha Duniani na taasisi ya utafiti ya Brookings, inawezekana huzijui hizi taasisi, sio?, ama na wao hawakusoma hizo aspects za uchumi? Maana usingeendelea kuandika uharo wako hapa.
 

si ndo maaana nimekuweka pemben maaana si ushaonyesha kabisa huna akili zaidi ya link za IMF, ingekua ata una kitu kichwan ningekupa a new light sasa shida hata kichwan huna kitu, yaaani hata kujua tafauti ya socialism na capitalism hujui unategemea nn kingine?
 

skia hii takataka ingine, nani kakwambia unaweza kupiga ban crypoto? yaaani hata silaha na madawa ingekua ngumu sana kununua zingepigwa ban

- masters gan umesoma dogo ambayo inasema crypto ni mfumo wa malipo? have you ever heard of crypto billionaires? have you ever heard about these people 5 People Who Became Millionaires from Bitcoin | Trading Education , have you ever traded any bitcoin? have you ever bought any drug? sasa uliandika nn kwenye paper zako za masters? na hio paper yako ilipita kwa professor gan kiasi kwamba akaikubali?

(Huo uchumi wa block chain unafanya wapi kazi, ama ni nchi gani 100% uchumi wake unaendeshwa kwa cryptocurrencies?) huyu ndo aliefanya masters, PATHETIC! na unafanya kazi wap ndugu maaana we ni takataka
 
Yaani hujuu kama china alipiga matufuku cryptocurrencies?😂😂. Kweli wewe hamnazo.

Uwe unasoma habari kutoka vyanzo vya kuaminika, ujichote chote tu habari kutoka kwa mataahira wenzako.

Nimekwambia nitajir basi hata nchi moja ambayo 100% transactions zake ni cryptocurrencies umeshindwa, basi hata 10% basi nijue mimi kutoka kwako mtaalam, nisaidie mkuu kujua😂😂.

Wazungu husema little learning is very hazardous. Kweli naamini stupidity is still common in Tanzania.

Kwenye hayo mambo dogo tafta wa kumdanganya, sio mimi.
 
Izo Basi zikiwa za kampuni binafsi kipi kitaharibika. Serikali kumiliki mabasi NI ujinga uliopitiliza. Landcruser mkonge mpya halmashauri inazitumia miaka minne tu zinalala. Leo imiliki bus kweli.
Hakika wewe ni mpumbavu juha Waheed
Kaka uchambuzi wako hauna uhalisia. Kwa mwaka 2014 Hadi 2018 shirika limefanya matumizi makubwa Sana kukarabati.
Ilinunua behewa karibu 200. Vichwa 15 vipya, ukarabati wa njia ya dar Arusha.
Matumizi yote hayo ya ukarabati kuazia 2015 NI zaidi ya hayo. Kama ukichukua bajeti hizo shirika kwa kipindi hicho kwa reli ya Kati iliingia hasara zaidi ya b 300. Hizo b 12 NI walizokusanya na kutumia nauli. Isitoshe shirika liopo kwenye michakato wakubadilisha na kulibinafsisha katika malengo yake. Bila ruzuku haliend kbs Sasa.
 
Unaropoka sana aisee

Perhaps hata familia na ndugu wa Karibu unashindwa kwenda nao sawa lakini unajipa uwezo president a kuanalyse multi million dollar project

What the heck
Uje ujibu hoja kwa hoja sio viloja
 
Kaka sijasema isijenge miundombinu. Hapana Ila ifanye tu sehemu chache ambazo Sekta binafsi haiwezekani kufanya. Sehemu Kama Afya, ELIMU na ujenzi wa miundombinu Kama barabara. Ila kuwa na Basi, ndege au treni za biashara dunia ilishaaama uko. Ata British airways inaendeshwa na kumilikiwa na secta binafsi Tena waspain wale.
 
Bado unakataa kunielewa mkuu wangu 'Mshumbusi',

Kama unavyoeleza wewe, ni hivyo hivyo ninavyoeleza mimi ila kwa upande tofauti. Upande wa serikali.

Hakuna mfanya biashara yeyote anayezuiwa, kama anataka kujenga hata barabara au reli na kuiendesha yeye au aonavyo yeye anazuiwa. Kwani ni lazima hao wafanya biashara wasubiri serikali iwajengee reli halafu wao waiendeshe?

Wajenge barabara wakipenda ili wafanye biashara, kama mchina anavyofanya na "Nairobi Expressway" hapa jirani yetu. Atakayetaka kuitumia barabara hiyo kwa malipo hazuiwi; lakini hapo hapo isiwe nongwa kwa serikali kuacha wajibu wake wa kujenga barabara au reli kwa matumizi ya raia wake eti kwa vile mwekezaji kajenga barabara yake.
 

ungetulia zako tu maaana ilikua rahisi sana kujua we takataka, kwanza umesema umefanya masters ukaandika pepa lakini hujui crypto inatokea wap, sjui nchi gan inatumia crypto, yaani ungeenda zako tu kusoma upya hakuna unachojua zaidi ya kushare links tu, hata hizo china kupiga ban ni siasa tu, CRYPTO huezi kuipiga ban na huezi kujua mlipaji na anaemiliki account ni nan

- onTop of that CRYPTO haina ofisi kwamba ukisahau password au unamalalmiko unaeza kwenda, unaweza kufanya mwamala wa crypto na anaevalidate mwamala wako yupo nyumba ya jiran na usijue, hii process inaitwa MINNING

  • na pia CRYPTO hazina data center, infact hata mmiliki wa BITCOIN mpaka leo its a mystery hakuna anaemjua
  • vingine ni kupoteza mda tu kukueleZea Maana hakuna cha maaana unachojua, japokua hata izo whatsapp na facebook zimepigwa ban mda mrefu sana china ila znatumika vizuri sana INGAWA crypto ni tafauti kabisa na mitandao ya internet! mengine mengi rudi kwenye papers zako za masters ulizosema sjui uliandika nn uko, probably ni kituko
 
Mambo ya "kijamaa" yapo na yatakuwepo milele ndani ya 'jamii' zote duniani. Hiyo kushinda au kushindwa ni uamzi auonao mtazamaji kufuatana na akili yake inavyoongozwa.
Ujamaa uliwashinda warusi na wachina na ulidumaza uchumi wao miaka nenda Rudi. Sector binafsi na akina Alibaba ndio walioleta mapinduzi ya viwanda na biashara kote duniani
 
Ujamaa uliwashinda warusi na wachina na ulidumaza uchumi wao miaka nenda Rudi. Sector binafsi na akina Alibaba ndio walioleta mapinduzi ya viwanda na biashara kote duniani
Huo ni muono wako uliofunikwa na mawazo ya aina hiyo.
Kwa mawazo yako unadhani uchumi wa China haukuwepo hadi pale walipoamua kufanya marekebisho ya namna ya kuuendesha! Ni mawazo ya ajabu sana hayo.
China hadi leo ni wakomunisti siyo mabepari. Na hata huko kwa mabepari, ujamaa upo, hata kama hutaki kujuwa hilo.
 
Ingelikuwa enzi za jiwe usinge toa maoni nondo heavy kama haya kweli sasa uhuru wa maoni hupo mama oyee
 
Miradi ni ya mhimu ,tatizo lipo kwenye usimamizi this why miradi inaonekana ni ya hovyo
Ni wazi miradi yote ya umma tatizo usimamizi, upelekea hasara, hii toka tupate uhuru kwa sasa inajulikana, ni vipi tunarudi kwenye biashara hizi, viongozi ni wabinafsi, wana hamu ya biashara hivyo wanashinikiza serikali ifanye biashara!
 
Ni mpaka tutakapobadili katiba na kuambiana ukweli kwamba ujamaa umeshindikana. Hizi biashara tuwape wazawa ambao wako serious serikali kusanya kodi na kulinda muslahi ya waajiriwa kama nchi za Magharibi. Vinginevyo hakuna jipya atakuja rais huyu "ubinafsishaji" akija mwingine "rudisha serikalini".Miaka inaenda😭
 
Wewe na huyo aliyesema financial statement hela inatoka huku kwenda kule akili zenu zinafanana.

Ukinunua vichwa vya train unatengeneza hasara? Hizo si ni ‘tangible asset’ za kampuni.

Isitoshe tangible assets na retained earnings kwenye financial statement ni kitu kimoja? Retained earnings ni ‘liquidity’ (cash) ambayo ipo bank. Wakikwambia wana surplus ya billion 200 hiyo hela ipo bank.

Kama ata elementary info za statement yenyewe ni shida kuelewa; kuanza kufanya analysis ya hiyo biashara with that info si mtihani.

Net profit is what the definition says; kwa lugha yako ni faida baada ya madeni na kulipa kodi.

Kama TRC inatengeneza faida kwa hali ya leo. SGR ikiisha faida zake si zitakuwa za level za nyingine.

Kadogosa ata ukimsikiliza anayo future strategic plan ya shirika na future ya TRC chini yake ni brighten. Unlike MD’s wengine waliobaki wa mashirika ya umma yaani ukiwasikiliza tu unaona shirika linapoelekea ni kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…