Unajua maana ya White elephant?Hahaha. Lakini hongera yenu. Umeme ndio nguzo ya maendeleo. Hakuna nchi imewahi kuendelea kiuchumi bila kuwa na umeme wa kutosha. Hakuna heavy industries ambazo zinaweza kufanya kazi bila umeme wa kutosha. Heavy industries kama steel processing plants zinahitaji umeme mwingi. Kwa hivyo nafurahi kusikia hivyo,lakini isije ikawa white elephant.
3000MW ni kutoka eneo moja tu hapo baringo na wala si nchi nzima, ukichanganya na lamu coal power plant tayari tuko na extra 4000mw juu ya ile 2, 500MW tulio nayowakati mnafikisha 3000MW sisi tupo na 5000MW au kwa kifupi kabisa 5GW mkiwa na 3G sisi tupo a 5G
3000MW ni kutoka eneo moja tu hapo baringo na wala si nchi nzima, ukichanganya na lamu coal power plant tayari tuko na extra 4000mw juu ya ile 2, 500MW tulio nayo
Visima ishirini vitachimbwa ndano ya eneo hili, na itagaramia $90M kuchimba visima vya kwanza.......mwanzo wtaanza na 200MW, alafu 105MW, alafu 400MW, mwishowe ikifika 2026 watakua wamefika 3,000W kutoka hili eneo moja tu!
 Google MapsDrilling operation for geothermal energy in the Baringo Silali Block will commence in January 2017 - according Eng. Johnson Ole Nchoe, the Managing Director and CEO of theGeothermal Development Company (GDC).The Baringo Silali Block Project has been funded by KFW of Germany to the tune of Ksh. 8 billion. GDC is expected to drill about 20 wells that will produce up to 200 MW of electricity. The Baringo Silali Block has a potential output of 3000 MW. GDC has already carried out comprehensive scientific exploration. The company has also paved roads in the project area that are critical for drilling operations.Meanwhile, GDC has announced that power plant construction at the Menengai Geothermal Project, will commence in the next three months to tap and produce 105 MW of electricity. The company has contracted three Independent Power Producers (IPPs) to build three power plants in the project. This way, Kenya’s efforts towards cheap green electricity will be realized.Read More.........GDC starts exploration works for Baringo-Silali geothermal project
Wakenya mnaumia sana. Naona jinsi roho zenu zimejaa husda. Haahahaha
Key Word: mwishowe ikifika 20263000MW ni kutoka eneo moja tu hapo baringo na wala si nchi nzima, ukichanganya na lamu coal power plant tayari tuko na extra 4000mw juu ya ile 2, 500MW tulio nayo
Visima ishirini vitachimbwa ndano ya eneo hili, na itagaramia $90M kuchimba visima vya kwanza.......mwanzo wtaanza na 200MW, alafu 105MW, alafu 400MW, mwishowe ikifika 2026 watakua wamefika 3,000W kutoka hili eneo moja tu!

Ona sasa unakimbilia bagamoyo. Kwikwikwikwi hapa tunaongelea umeme dogo. Au huelewi? Wakenya tunawashika mbavu, mpaka mnajichukia kuzaliwa Kenya. Mnatamani muwe watanzania, ndiyo maana mnalazimisha urafiki wakati sisi hatuwataki kwikwikwikwikwi.Tunaumia vipi kwa kitu ambacho huwa mnakitaja taja na kumbe hata hamjakianza, ndio zenu tushawazoea, mara Bagamoyo, mara hiki mara kile mara tunajenga kwa hela zetu mara tunaomba Zuma atutaftie mikopo, mara benki kuu itupe mkopo, mara 1.5 trillion tumetumia kwa miradi ambayo haifai kutajwa mara.....
Watapotea na hela kama vile Serikali ya CCMu ilitoroka na 1.5 trillion peas ya madafu.Wewe tatizo lako ni nini? Lengo letu ni bwawa kukamilika. Mengine ni yenu huko.
Kwa sasa mko na 1350 MW mkubali kwanza juu sisi wetu ni more than double yours. Tag me if am wrong and provide sufficient evidence to refute my claims 😀😀wakati mnafikisha 3000MW sisi tupo na 5000MW au kwa kifupi kabisa 5GW mkiwa na 3G sisi tupo na 5G
Bagamoyo iko 0% complete ,110% inaugural season.Ona sasa unakimbilia bagamoyo. Kwikwikwikwi hapa tunaongelea umeme dogo. Au huelewi? Wakenya tunawashika mbavu, mpaka mnajichukia kuzaliwa Kenya. Mnatamani muwe watanzania, ndiyo maana mnalazimisha urafiki wakati sisi hatuwataki kwikwikwikwikwi.
Pipi mnazowanunulia watoto wenu.😀😀Kwikwikwikwikwi, naona kijana stress zinakuondoa kwenye uso wa dunia. Kuna jambo lolote la maana toka kenya?
Hahaha unadhani sisi tunafanya mambo kama nyie. Tumewaona nyie ni wachawi tunafanya mambo kimya kimya.Bagamoyo iko 0% complete ,110% inaugural season.
Hakuna cha maana toka kenya rafiki. Hakuna mtanzania mwenye mihemko na kenya. Tanzania is big country and potential for everything. Mtakoma miaka hii hakuna ujanja ujanja tena. Bakini na wizi wenu huko kibera. Kwikwikwikwi.Pipi mnazowanunulia watoto wenu.😀😀
Hahahaha ati magu ni anti- corruption leader??😀😀 1.5 trillion iko wapi??😀😀Angola about to complete HEP project of Stiegler’s Gorge size
Tony254 Nobody dares to corrupt JPM's Government, ask the Chinese attempt on SGR in Tanzania! I give my cents to Oldebrecht as they have more experience on such projects from within Brazil n global engagement.
Moreover the guys have just completed the project of similar scale in Laúca Angola. Therefore mobilisation of their equipment to from Angola to Southern Tanzania will be easy via Benguela n TAZARA Railways.
Mkuu mbona ukiritimba uko wazi kabisa hatuwezi kaa kinywa kirahisi. Na na wewe miongoni mwoa hao wezi! Wa taifa la kondoo?Wewe tatizo lako ni nini? Lengo letu ni bwawa kukamilika. Mengine ni yenu huko.
Sissy boy hasira za nini na pipi mnaziwanunulia watoto mikocheni zimetoka Kenya. Zindueni miradi zaidi labda kuzindua ndio kutatukomesha lakini kujenga miradi tuachie sisi Manyang'au.Hakuna cha maana toka kenya rafiki. Hakuna mtanzania mwenye mihemko na kenya. Tanzania is big country and potential for everything. Mtakoma miaka hii hakuna ujanja ujanja tena. Bakini na wizi wenu huko kibera. Kwikwikwikwi.
Wewe mkenya unatupangia mambo ya kufanya watanzania? Ukiritimba upi unaouongea? Au mambo yenu ya kenya unataka kuyaleta Tanzania!!? Sisi watanzania tunahitaji mradi huu kwa sana kuliko uhusiano wetu na ninyi wakenya. Kwikwikwikwi, tulia unyolewe kisha sindano iingie vizuri. KwikwikwikwikwMkuu mbona ukiritimba uko wazi kabisa hatuwezi kaa kinywa kirahisi. Na na wewe miongoni mwoa hao wezi! Wa taifa la kondoo?