Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
2026 watu watakuwa zaidi ya 10,000MW we vipi? nyinyi wenye resources mbona mpo maskini wa kutupwa ldc?Nitupilie mbali vipi wakati unasema ifikapo mwaka 2026 mtakuwa na 3000MW? Wakati ikifika miaka hiyo sisi tutakuwa tunaongelea GW. Nataka kukueleza kwa ufupi Tanzania inakila aina ya Resources kilichokuwa kimekosekana TZ ni utashi tu.
Huko kenya hakuna resources zozote mnapumlia mashine. Ndiyo maana kila kukicha viongozi wenu wanajipendekeza kwenye nchi za watu.
Mara Zambia, mara SA, mara Mozambique mara wapi. Hizo ni dalili za kupotea kwenye ramani ya dunia.