Mradi wa Stiegler’s Gorge kuanza Julai

Mradi wa Stiegler’s Gorge kuanza Julai

Sissy boy hasira za nini na pipi mnaziwanunulia watoto mikocheni zimetoka Kenya. Zindueni miradi zaidi labda kuzindua ndio kutatukomesha lakini kujenga miradi tuachie sisi Manyang'au.
Pipi zipi wewe domo kaya!!?
Umezoea sana dogo hahaha mbona unahaha sana kijana!? Hizo hapo pipi za kitanzania zinazonunuliwa

6YD-Iringa-Veg.gif
 
Hahaha unadhani sisi tunafanya mambo kama nyie. Tumewaona nyie ni wachawi tunafanya mambo kimya kimya.
Kwikwikwikwi endelea kuamini hivyo. Na hatutaki mjue mipango yetu kwa ndani, mtaona vitu tu vinashushwa mkishituka mmebaki hohehahe. Kwikwikwikwi.
Kwani hizo project zenu ni microscopic ati haziwezi kuonekana na naked eye? 😀😀 mumefikisha wapi uzinduzi wa Bagamoyo, Pipeline, kinyesi na SGR 😀
 
Iyo project ianze kwa hela zipi??
Serikali IMEFILISIKA.

Hakuna fedha za ndani za kuweza kujenga huo mradi..

Shugulikieni miradi ya MAJI kwanza..

Tanzania mijini na vijijini shida kubwa ni MAJI.

Ule umeme wa gesi vipi??
Na gharama kubwa zilizotumika kujenga miundombinu mpaka Dar lakini wapi.
 
Pipi zipi wewe domo kaya!!?
Umezoea sana dogo hahaha mbona unahaha sana kijana!? Hizo hapo pipi za kitanzania zinazonunuliwa

6YD-Iringa-Veg.gif
Hebu weka market share yake utagundua haitoshelezi Tz inabidi mnaimport from big brother Kenya
 
Sasa unataka mimi niweke market share!!? Hahaha nimekueleza kuwa wewe huijui Tanzania unabweka bweka tu kama mbwa koko. Mambo ya kununu bidhaa za kenya ilikuwa miaka ya 90s. Usitembelee historia, ilishapitwa na wakati. Weka mwenyewe market share.
Kwikwikwikwikwi. Utachekwa dogo ondoa ushamba
6YD-Iringa-Food.gif

Tembelea hapa ujionee.
Ondoa ushamba wa kizamani dogo, mambo hayo yamepitwa na wakati. Kwikwikwikwikwi
Ivori | index
 
Angola about to complete HEP project of Stiegler’s Gorge size

Tony254 Nobody dares to corrupt JPM's Government, ask the Chinese attempt on SGR in Tanzania! I give my cents to Oldebrecht as they have more experience on such projects from within Brazil n global engagement.

Moreover the guys have just completed the project of similar scale in Laúca Angola. Therefore mobilisation of their equipment to from Angola to Southern Tanzania will be easy via Benguela n TAZARA Railways.

e48e3e43e79dcfaa03b587003f2c7d2b.png

Ati Bagamoyo port under construction.😀😀😀😀
 
Kuna vijana zaidi ya milioni moja hawana kazi. Bwawa lingechimbwa kwa sululu na udongo kutolewa na toroli, tungetengeneza zaidi ya ajira milioni moja fasta. Mkandarasi angekuwepo tu pale site kwa ajili ya kupima pima. Sasa tunakwenda ku spend trilions if money ambazo hazitanufaisha local citizens.
Wachumi waisaidie serikali ili combination ya labor to capital f(L,K) iwe 0.7: 0.3.
Pale wangeajiriwa vijana kwa shift tatu za masaa nane kuchimbua kifusi, kazi ingeenda fasta.
Mpaka bwawa linakwisha hata kama litachukua miaka kumi, nguvu kazi inayopotea huku mtaani ingekuwa imepona.
 
combination ya labor to capital f(L,K) iwe 0.7: 0.3.
Napenda sana hizi nondo, tiririka mtaalam....tupe elimu.
 
Ndo ivo mkuu. Kama tulivyojenga reli ya TAZARA, nguvu kazi ilitumika zaidi ya matumizi ya mitambo (labor intensive).
Sisi lengo letu ni kujenga bwawa lakini lazima mradi huu uzalishe ajira.
Ili kuzalisha ajira huwezi kufanya hivyo iwapo kazi inayoweza kufanywa na binadamu itafanywa na mitambo.
Kwa hiyo pale kinachofanyika ile ardhi inapigwa baruti, ule udongo una bomoka na kulainika. Then ile ardhi inagawanywa kwa vitalu vyenye ukubwa wa uwanja wa mpira. Kila kitalu kunakuwa na vijana kama mia mbili kwa ajili ya kufukua vifusi. Na kila kitalu kinapewa maroli ya kubebea kifusi.
Kwa hiyo vijana watakuwa wanajaza vifusi kwenye maroli na maroli yatakuwa yanapita kwenye bara bara zinazotenganisha vitalu kwenda kumwaga vifusi nje ya bwawa.
Zoezi hili likiendelea kwa miaka miwili, bwawa litakuwa limeshachimbwa kwa ukubwa wa kutosha na vijana wengi (hasa waliopitia JKT) watakuwa wamepata ajira.
Tena ikiwezekana mkandarasi awe JKT atafutwe na mbia mwingine wa kuingia JV ambaye atasimamia mambo ya technical huku JKT wakisimamia mambo ya labor.
 
Kuna vijana zaidi ya milioni moja hawana kazi. Bwawa lingechimbwa kwa sululu na udongo kutolewa na toroli, tungetengeneza zaidi ya ajira milioni moja fasta. Mkandarasi angekuwepo tu pale site kwa ajili ya kupima pima. Sasa tunakwenda ku spend trilions if money ambazo hazitanufaisha local citizens.
Wachumi waisaidie serikali ili combination ya labor to capital f(L,K) iwe 0.7: 0.3.
Pale wangeajiriwa vijana kwa shift tatu za masaa nane kuchimbua kifusi, kazi ingeenda fasta.
Mpaka bwawa linakwisha hata kama litachukua miaka kumi, nguvu kazi inayopotea huku mtaani ingekuwa imepona.
Akili za miaka ya 1800.
 
How about vijana wachache kupata ujuzi wa kitumia vifaa na kuweza kukabiliana na hali ya ushindani was maarifa na technolojia duniani? Na hata ushindani wa ajira nje ya nchi?

Hizo nguvu za vijana milioni moja wakazielekeze mashambani mapori yamejaa Tanzania. Siasa kwenye ujenzi ni sumu! Umeme unahitajika sasa na vijana wataajiriwa ila si kwa namba unayoitaka matumizi ya mashine ni muhimu ya uhakika na salama zaidi.

Be realistic mzee!
 
wakati mnafikisha 3000MW sisi tupo na 5000MW au kwa kifupi kabisa 5GW mkiwa na 3G sisi tupo na 5G
where is 5000MW? 😀😀😀😀😀😀 yaani tumefikia mpaka tunadanganya peupe?
 
Kwanini wewe usitoe maelezo kuhusu 3000MW yako? Maana unasema ifikapo 2026 wakati sisi tunaongelea 2020. Hahahaha
 
Ndo ivo mkuu. Kama tulivyojenga reli ya TAZARA, nguvu kazi ilitumika zaidi ya matumizi ya mitambo.
Sisi lengo letu ni kujenga bwawa lakini lazima mradi huu uzalishe ajira.
Ili kuzalisha ajira huwezi kufanya hivyo iwapo kazi inayoweza kufanywa na binadamu itafanywa na mitambo.
Kwa hiyo pale kinachofanyika ile ardhi inapigwa baruti, ule udongo una bomoka na kulainika. Then ile ardhi inagawanywa kwa vitalu vyenye ukubwa wa uwanja wa mpira. Kila kitalu kunakuwa na vijana kama mia mbili kwa ajili ya kufukua vifusi. Na kila kitalu kinapewa maroli ya kubebea kifusi.
Kwa hiyo vijana watakuwa wanajaza vifusi kwenye maroli na maroli yatakuwa yanapita kwenye bara bara zinazotenganisha vitalu kwenda kumwaga vifusi nje ya bwawa.
Zoezi hili likiendelea kwa miaka miwili, bwawa litakuwa limeshachimbwa kwa ukubwa wa kutosha na vijana wengi (hasa waliopitia JKT) watakuwa wamepata ajira.
Tena ikiwezekana mkandarasi awe JKT atafutwe na mbia mwingine wa kuingia JV ambaye atasimamia mambo ya technical huku JKT wakisimamia mambo ya labor.

Natumai wakuu serikalini wanapitia hoja kama hizi maana kuwa na vijana mamilioni haswa waliopitia JKT au NYS ya Kenya wamepata mafunzo ikiwemo ya kijeshi lakini hawana ajira ni hatari sana. Ni muhimu kutumia mashini ili kurahisisha kazi, lakini pia kuna upande wa jamii ambao haufai kufumbiwa macho, hivyo striking a balance is important.
 
Kwa viongozi wa Kenya labda kule bridges zinacollapse! Si Tanzania chini ya serikali yenye nia ya kupata transfer of skills n technology!

Hao vijana wanaolalamika Hawana kazi Kenya ina njaa kila mwaka na ardhi yenye rutuba bwelele ipo wamekosa maarifa.
 
Kwanini wewe usitoe maelezo kuhusu 3000MW yako? Maana unasema ifikapo 2026 wakati sisi tunaongelea 2020. Hahahaha
mambo ya 2026 tupilia mbali..tuko mwaka upi sasa hivi?...look at this ldc idiot
 
Nitupilie mbali vipi wakati unasema ifikapo mwaka 2026 mtakuwa na 3000MW? Wakati ikifika miaka hiyo sisi tutakuwa tunaongelea GW. Nataka kukueleza kwa ufupi Tanzania inakila aina ya Resources kilichokuwa kimekosekana TZ ni utashi tu.
Huko kenya hakuna resources zozote mnapumlia mashine. Ndiyo maana kila kukicha viongozi wenu wanajipendekeza kwenye nchi za watu.
Mara Zambia, mara SA, mara Mozambique mara wapi. Hizo ni dalili za kupotea kwenye ramani ya dunia.
 
Back
Top Bottom